Nifuate njia ipi kwa matokeo ya haya ya kidato cha nne

phael vet

Senior Member
Sep 30, 2016
126
82
Je ungepata nafasi ya kumshauri kijana huyu wa kidato cha nne mwaka jana afate njia ipi kufikia malengo yake ikiwa anapenda masomo ya science na ufaulu wake ni Div 3 ya 23 {chemistry C, Biology C, Math D, English C, History C, Kiswahili C, Physics F, Geographia D, Lit.English C }
 
Kwa ufaulu wake anaweza soma kidato cha tano kwa tahasusi za CBG , lakini kama anapendelea afya namshauri aende chuo ngazi ya stashahada kwa fani ya famasia, maana fani ya udaktari anatakiwa awe na ufaulu wa somo la physics
 
Je ungepata nafasi ya kumshauri kijana huyu wa kidato cha nne mwaka jana afate njia ipi kufikia malengo yake ikiwa anapenda masomo ya science na ufaulu wake ni Div 3 ya 23 {chemistry C, Biology C, Math D, English C, History C, Kiswahili C, Physics F, Geographia D, Lit.English C }
Kachukue Diploma ya Lab technician
 
Je ungepata nafasi ya kumshauri kijana huyu wa kidato cha nne mwaka jana afate njia ipi kufikia malengo yake ikiwa anapenda masomo ya science na ufaulu wake ni Div 3 ya 23 {chemistry C, Biology C, Math D, English C, History C, Kiswahili C, Physics F, Geographia D, Lit.English C }
Kasome Diploma ya pharmacy Kama upon interested na afya... Lakini course nyingne za afya huwez chaguliwa kwa sababu nyingne zote wanahitaji D ya physics,biology na chemistry....
 
Back
Top Bottom