Chameleone azuiwa kuondoka nchini na Shigongo kisa deni!?

c utupe bac hyo facebook page ya huyo kinyonga tuwanyooshe,sa wao wana nn,kiingereza cha kishamba?,ah ah ah ah,wagandaaaa,vilazaaaa
 
Sikua nimefatilia sana hilo sakata la Jose Chameleone wa Uganda na Eric Shigongo, leo baada ya kusikia kwenye habari kwamba hata DJ JD (wengi tunamfahamu) alikua dj maarufu sana hapa mjini na kwa kiasi kikubwa mtu mwenye heshima sana akilalamika kwamba alidhulumiwa na chameleone USD 3,000 miaka saba iliyopita nikaamua kufwatilia hili suala, na haya ndio niliyokutana nayo


  1. Kutoka facebook page ya chameleone utakutana lugha mbaya sana zikielekezwa kwa shigongo lakini sio tu kwa shingongo ila kwa watanzania wote, kila mganda anayeingia pale anatutukana, iliyoniuma zaidi ni post moja iliyosema watanzania ni wajinga na maskini, na hata wafanyaje hawawezi kufikia level ya waganda, imenikera, sipendi dharau.

  2. chameleone ameenda ku-protest ubalozi wa Tanzania UG, na haraka eric akaitwa na passport imeishatumwa UG baada ya wanadiplomasia kuingilia kati, lakini wakati eric kapata tabu ya kudhulumiwa, alienda ubalozi wa UG hapa, hakusikilizwa, ndio kwanza ubalozi wa UG hapa ukampa papers za kusafiria hivyo kumuwezesha kukwepa kulipa pesa anazodaiwa.

  3. Baada ya kupata passport yake jose kaendelea kujisifia kwenye mitandao kwamba yeye hawezekani, na amewaonyesha watanzania kwamba yeye ni nani (haelekezi hizo dhararu kwa eric, no anazielekeza kwa watanzania). . . Waganda, pamoja na kuwatandika 1978 lakini wanatudharau sana

Tulipowapiga mwaka 1978 tulifanya makosa kutowaingilia kinyume na maum........le. Ndio maana leo wanatukana sana.
 
c utupe bac hyo facebook page ya huyo kinyonga tuwanyooshe,sa wao wana nn,kiingereza cha kishamba?,ah ah ah ah,wagandaaaa,vilazaaaa


hili wazo zuri, tafadhali check hiyo address, kuna sehemu kaweka picha za shingongo na mrisho afu hao waganda ndio wakaanza kutumiminia mitusi, kama mkienda huko kuwaambia (sio kuwatukana) kwamba warudi class itasaidia sana, UG bado iko nyuma sana ya TZ inaelekea hawajui hata kinachoendelea duniani

hapa
DR. JOSE Chameleone | Facebook

na hapa

Wall Photos | Facebook



 
Chamillion kama ww ni mkweli kwa nn huelezi maovu yako...hadi wasanii wenzio wakina Ay wanakujua vzr kwa utapeli wako....kama ww ni ni mkweli na unajua haki eleza ulichowafanyia wakenya mpaka huendi kufanya shoo huko...siwatetei Gpl lakin najua matatizo ya Chamillion za mwizi ni arobain....Wakenya wanakusubiri kwa hamu ili uwalipe ulichowafanyia
 
kuna mdada wa kiTZ anajiita Mtasha Jill, yuko huko peke yake anafanya kazi nzuri (ingawa na yeye anatumia lugha za matusi), naona yeye ndio anajibujibu hizo post zao, i am appealing to you, najua fb na JF mbalimbali, hata mie huwa siendi huko, lakini hili ni Jambo la dharura na kwa mambo ya dharura hata bunge huwa linasimamisha shughuli za kawaida, twendeni fb tukaseme na hawa waganda, angalau kwa leo
 
Shigongo alishindwaje kudai pesa yake kwa njia tofauti hadi akamate passport ambayo kimsingi ni nyaraka ya serikali ya Uganda? Kwa jinsi ilivyokua ilikua ni lazima airudishe hiyo passport..ajilaumu mwenyewe kwa kuingizwa king dolali zake na kutumia mbinu dhaifu kudai njuruku zake.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wabongo kwa kukurupukia mambo msiyoyajua hembu andikeni vitu vya maana huko..Nchi imejaa matatizo kila kona halafu mnapoteza muda hapa kumjadili Shigongo na Chamillion wakati wenzenu wanaingiza fedha usiku na mchana....Nyambafu
 
Halafu naona kama hii ishu inachanganywa na siasa vile...kweli bongo makorokocho kila kitu nw dayz kinamixiwa na siasa hahahahahaha
 
Shigongo alishindwaje kudai pesa yake kwa njia tofauti hadi akamate passport ambayo kimsingi ni nyaraka ya serikali ya Uganda? Kwa jinsi ilivyokua ilikua ni lazima airudishe hiyo passport..ajilaumu mwenyewe kwa kuingizwa king dolali zake na kutumia mbinu dhaifu kudai njuruku zake.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

hii haihalalishi mganda kumtukana mTZ! ilikua issue ya eric na chameleone sasa hivi vi-UG vinatutukana, si sahihi
 
Shigongo alishindwaje kudai pesa yake kwa njia tofauti hadi akamate passport ambayo kimsingi ni nyaraka ya serikali ya Uganda? Kwa jinsi ilivyokua ilikua ni lazima airudishe hiyo passport..ajilaumu mwenyewe kwa kuingizwa king dolali zake na kutumia mbinu dhaifu kudai njuruku zake.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

 
Last edited by a moderator:
Wakati Wafanyakazi wa Shigongo wakifanya mawasiliano na Chamillion Shigongo alikuwa safarini nje ya Africa sasa ni lini alienda huko Uganda......Chamillion hy ni tabia yako kuweka mawakala feki mbona wasanii wenzio tunajua tabia yako au tuweke wazi......mim naomba Chamillion aeleze alichowafanyia Wakenya na walishatangaza vita dhidi yake kisa ni huhuo utapeli wake leo hii hata akipata shoo ya dola 10000 hawezi kwenda Kenya cz walishatangaza kummaliza......GPL laiti mngesikia maneno yangu kuhusu huyu jamaa haya yote yasingetokea leo hii
 
Tatizo la Shigongo ni elimu ndogo aliyonayo, ndio maana hufanya mambo kwa kukurupuka kwa mtindo huo. Na ndio sababu alikurupuka kumtangaza Cheka kuwa atapigana bila kuangalia kiwango cha kidunia cha mpinzani wake. Mwisho akamuomba Cheka akubali kupima uzito tu ili watu wasiache kuja.
Na kwa taarifa nilizonazo alimlazimisha Wema Sepetu kupigana na Wolper, coz Wema alikataa katakata kupigana kutokana na kutumia mkorogo, akazima simu na kutoweka.
Shigongo akaenda kumpiga mkwara mama Wema, vinginevyo angewachafua yeye na mwanawe kwenye gazeti lake, ndo Wema akaibuliwa
.

Hapo kwenye nyekundu umeiniacha hoi though ni off topic!!:smile-big:
 
mvuvi wa samaki yule....uwezo wake unaishia kuchambua kina wema sepetu na ant ezekiel...hata sheria ndogondogo kama hizo hazijui...kavue samaki babu..hahahahahhahhhahaha:A S 465:
 
Back
Top Bottom