Sibhonike
Senior Member
- Apr 10, 2011
- 156
- 16
Nyie mnakuwa kama wageni kwa Chameleone...uyu alishajirusha hadi gorofani ili aandikwe kwenye magazeti achilia mbali kuslim kwa 24 hours...itakuwa kuitumia hii nafasi adimu kuuza bongo..
Mi nashangaa watu, jinsi povu linavowatoka.
KINYONGA NI KINYONGA TU.
Walio wengi hawajawahi fatilia skendo zake za ajabu ajabu.
Tanzanians, 'wek-ap'!!
Love each other bana.