...Dr Bana ...umeaibisha wasomi na usomi....,jibu ulilotoa lime base ..kwenye matokeo ya uchaguzi wa 2010..,,,
Mimi nilidhani umeongea "sasa",ukiwa na Ripoti ya kiutafiri ya sasa......
Je kwa sasa kwa wimbi la uongozii uliopo Sasa hakuna chama mbadala?
Kwa mfumko mkubwa huu asilimia ishirini wa bei hakuna chama mbadala...
Kwa uwezo wa hoja na kiongozi na hata kwa ushauri wanaoutoa kwa serikali ...hakuna chama mbadala...?
Kwa uchumi huu mbovu?? Kwa migomo hii ??
Unaongelea nguvu ndogo ya upinzania.....kwenye katiba ya sasa? Tume ya uchaguzi ?
Nadhani tuna haja ya kuwa na Shaka na maoni ya daktari Bana,,...
Hao ndiyo chadema bwana hataki hata ukiwaambia ukweli kupinga ni jadi yao. ila kwa hapa nakupongeza kwa kuwaomba waelewe manaa ya neno Mbadala maana tutaruka Maji na kukanyaga matopeee
Mie uwa sioni tofauti yoyote kati ya wasomi wa Tanzania na wavuta bange wa Tandale kwa Bibi Nyau.
Hangover ya kukulia katika mfumo wa chama kimoja. Unfortunately, it is too late for him to change. Kwamba hataki mabadiliko haimanishi kwamba hayatatokea.
...Dr Bana ...umeaibisha wasomi na usomi....,jibu ulilotoa lime base ..kwenye matokeo ya uchaguzi wa 2010..,,,
Mimi nilidhani umeongea "sasa",ukiwa na Ripoti ya kiutafiri ya sasa......
Je kwa sasa kwa wimbi la uongozii uliopo Sasa hakuna chama mbadala?
Kwa mfumko mkubwa huu asilimia ishirini wa bei hakuna chama mbadala...
Kwa uwezo wa hoja na kiongozi na hata kwa ushauri wanaoutoa kwa serikali ...hakuna chama mbadala...?
Kwa uchumi huu mbovu?? Kwa migomo hii ??
Unaongelea nguvu ndogo ya upinzania.....kwenye katiba ya sasa? Tume ya uchaguzi ?
Nadhani tuna haja ya kuwa na Shaka na maoni ya daktari Bana,,...
bana kasema kweli chadema bado sana kupewa nchi[/QU Bana ni mwana CCM Pamoja na wewe,unategemea chongo kuona horizon? Wapo wasomi wachache km Dr Kitila Mkumbo,wanaochambua hoja,huyo Bana ndo ukomo wake,hawezipata u-Prof,tafiti zake ht za karibuni tu hapa ni chongo tupu! Mabadiliko ni lazima,there's no altenaltive,watakaombadili CCM nao wakiharibu watabadilishwa,this is nt a dynest,na wewe unaonekana ni kijana tu,lkn unasikitisha,hopful mtaelewa,mazoea yanawafanya mjisahau,kuwajibika is paramount to our well being!
Hangover ya kukulia katika mfumo wa chama kimoja. Unfortunately, it is too late for him to change. Kwamba hataki mabadiliko haimanishi kwamba hayatatokea.
Redet haijawahi kufanya kazi kwa maslahi ya nchi. Mara zote wamekuwa wakifanya kazi za propaganda kwa niaba ya ccm. Dr. Bana amewekwa pale na ndugu yake Mukandara, ambaye kwa kweli ameshindwa kuiongoza UDSM kama msomi. Mtakumbuka wakati ule wa uchaguzi wa 2005 na 2010 jinsi taasisi hiyo ilivyotumika. Hata hivyo walipata aibu mara zote kwani maeneo yote ya wasomi ccm ilipata kura kiduchu tu za wale walamba magamba.
Tusimshangae, tumuombee.
Kuhukumu moja kwa moja si sahihi, lazima kwanza tutazame shina la hoja na lazima tuwe wakweli...maneno ya Dr.Bana lazima yawe changamoto kwa vyama vya upinzani hasa CDM, ukweli ni kwamba chama chochote cha siasa huzaliwa,hukua na kuzeeka (kama ilivyo kwa CCM), na kwa kuwa CDM ni chama kinachokua lazima kijenge ukomavu wa kimkakati na kifikra katika jukumu kubwa la uongozi wa taifa letuHangover ya kukulia katika mfumo wa chama kimoja. Unfortunately, it is too late for him to change. Kwamba hataki mabadiliko haimanishi kwamba hayatatokea.
dokta poyoyo
sijaelewa kwanini huyu bana anapewa sana airtime na vyombo vya habari wakati hana mawazo endelevu ya kuwasaidia watanzania.hata anapoongea unajua kabisa huyu ana kadi ya ccm.hivyo hawezi kuwa na mawazo nje ya ccm.hana mkusanyiko wa mawazo amekwisha kabisa na usomi wake feki huo.bana si mtu wa kumhoji kwa ajili aya kupata mawazo yenye kujenga.huyu nu mshauri wa jakaya.hana jipya aende zake.akiongea katika tuongee asubuhi kupitia star tv,yule msomi wetu wa redet dr bana amesema yeye mpaka sasa ajaona chama mbadala cha kuongoza nchi zaidi ya ccm,nadhani hizi ni dalili mbaya kwa wasomi wetu.badala ya kuwasaidia watanzania kujua haki zao za msingi yeye anasema hakuna wa kuiongoza hii nchi..