Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,333
- 24,227
Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri.
Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi.
Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona foleni kimbia, ukiona huna maji, kimbia...!
Najiuliza, je haya ni mawazo ya kiongozi aliyepikika kuongoza wananchi?
Je sera za CCM zinasema mtanzania akiona tatizo mahali, asilitatue badala yake akimbie kwenda kijijini?
Na kijiji, wenye matatizo wakimbilie wapi?
CCM na serikali wakiendeleza viongozi wasio na vision, Tanzania inaelekea shimoni.