Chakula na sex!

Mmm,kazi kweli Jf.Yaani watu hata ukakasi na aibu hawana hata kidogo.Hivi usingeweza kumuona daktari wa mambo hayo kama una tatizo privately.


Mkubwa! JF ni mambo yote! Anika mambo yako huduma yote utapata!
 
Siioni gahawa hapa na tangawizi na karanga...
Afu kuna kamzizi kamoja hv kule mbeya wanaita Numbu....

Mengine yote upo sahihi sana...
 
Fanya sana mazoezi, kimbia mchangani Kwa spidi kali, uwezo wako wa kuhimili mazoezi ndio uwezo wako kitandan
 
tukiutafuta utajiri Kama unavyotafuta nguvu za kiume, uchumi wetu utakua
 
Back
Top Bottom