Rekebisha afya yako ya uzazi kwa lishe kamili

Love Doctor

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
726
786
REKEBISHA AFYA YA UZAZI, UBORA WA MBEGU, NGUVU ZA KIUME, HAMU YA TENDO, UUME KUWA Mdogo & KUONGEZA TESTOSTERONE.

Kutokana na mtindo mbaya wa maisha uanaume umeshuka sana, mixer matrix, p0rn, vyakula vibaya, nyeto na stress vimefanya uwe dhaifu kwenye mechi.

Mwaka 2024, Kula vyakula hivi 15 kila siku, kwa siku 14 tu utakuwa bomba.

1. Asali mbichi iliyochanganywa na Kitunguu swaumu & Tangawizi- vijiko viwili kabla ya kulala au baada ya kuamka tu

Au unaweza kutumia Tangawizi kwenye chai na ukatumia asali na Kitunguu tu

2. Kula Tende 3 kila siku - Nunua tendo za kupima na sio supermarket

3. Kula ndizi 2 kila siku asubuhi na Usinywe chai - Hela unayotumia kununua maandazi na chai itumie kununua Ndizi 2, karoti 3 na tango 1. Utaepuka magonjwa na uume kuwa mkubwa

4. Habat soda - unaweza kuongezea kwenye asali na kulamba asubuhi. Ipo kwenye maduka ya dawa za asili (Ulizia habat soda ya Unga)

5. Karanga au korosho na mbegu za maboga - zitafune wakati umechill au unasogeza muda wa lunch upite. Hizi ni muhimu kwa sababu ya zink yake & kuongeza nguvu.

6. Parachichi & tikiti maji - Usipite siku hujapata kipande cha Parachichi. Tikiti maji tafuna hadi mbegu zake ndio zenye nguvu (damu kushuka kwa wingi) na hakikisha unakula mpaka weupe wake, hii itakuondolea tatizo la kuwahi kufika kileleni (kama mkongo)

7. Kula pweza, chaza na dagaa kamba- Mtaani wanauza kila siku jioni ila tatizo lako unakimbilia kula viazi na sio Mchuzi.

8. Chocolate nyeusi - masaa kadhaa kabla kula hii kitu itakuokoa na vingi sana ikiwemo kutokuchoka na kusinzia.

9. Mihogo - vipande wanauza 2, ya kuchemsha kipande 500 ila mwanaume anafanya delivery ya junks food kuanzia 5000. Nisikupangie maisha

10. Maji-kunywa maji mfalme moyo uelee, maji ni 10× ya energy na panadol. Huwezi kuelewa kwa sababu hujui na hutaki kuambiwa.

11. Kegels - haya mazoezi napost kila siku ila mnapuuzia. Fanya kegels x100 kila siku.

12. Madafu & nyama zake - jioni pale usihangaike nini ule kutoa uchovu, pata Dafu la jero au buku. Itakurudishia hamu ya tendo hata kama unadaiwa na dunia.

13. Karoti na Tango - Kuongeza ubora wa mbegu na ukubwa wa uume kwa kuzibua mishipa iliyoathirika na punyeto n.k

14. Zabibu - Zabibu zote zitaongeza mzunguko wa damu na kukua uume mrefu, inauzwa jero jero ila unaziacha kunaliwa na nzi.

15. Pomegranate - haya matunda yapo mtaani, kariakoo, posta, mnazi nayaona sana.

Sijaeleza vitu vingi, umuhimu, na ule vipi ila hakikisha unakula hivyo kuliko kula vyakula vingine.

-Itakusaidia kupunguza mafuta mwilini & kitambi

-Kukupa mwili imara.

Kama una kazi siku ya mwaka mpya, anza kula leo.

Nimeshaelezea sana nyuma ila maswali ni yale yale.

Ukitaka msaada zaidi njoo DM na hela ya maji.

#Mfalmecode
 
Asante kwa somo
 
Back
Top Bottom