Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

Usiteseke bure........
Download Poweramp unlocker
HAPA

N.B
1-kumbuka kudownload poweramp trial version kutoka play store ndo uinstall hii unlocker yake
2-Haiitaji kuroot simu yako usihangaike
Anza kula midundo mwanaJF
Ukichakachua baada ya wimbo mmoja inakata
 
Taifa linaibiwa mabilioni ya shilingi wewe unaona nongwa mtu kuibiwa buku 8
Mimi nilimuuliza hizo app kama lucky patcher, aptoide, busybox, na blackmarket zimetengenezwa na nani kama sio hao hao developer na zilitengenezwa kwa kazi gani.
Wadau kuleni raha, maisha yenyewe mafupi haya. Mwenye ujuzi wowote weka uwanjini japa siku ziende...
 
ee2f1cc1a7a10251bd96cb08192f42ca.jpg


Wakuu Naombaa Msaada hapa tutani..
 
Natangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo ROOTED
Kama simu yako umeshai ROOT
UPDATE:
KWANZA: Dawnload luck patcher hapa LUCKY PATCHER
PILI: Dawnload busybox hapa BUSYBOX

Haya sasa twende hatua kwa hatua
1. Dawnload poweramp trial kutoka playstore kisha ifungue nenda kwenye setting utaona hivi
4653c6afcc2cc295fdf52c75c5a70b6f.jpg

2.Fungua Lucky patcher na utaiona poweramp ikiwa na huu ujumbe
81d761b99cfff89725386dd92453519d.jpg

3.ukiwa kwenye lucky patcher Iguse kwa sekunde kadhaa hiyo poweramp hadi uone hii menu imetokea chagua custom patch
de7a02879473e051e02cb10d97efab41.jpg

4. Baada ya kuchagua custompatch vitatokea vipengele vitatu chagua kipengele cha tatu.
21ec38b0951513066f5627c31fc687e0.jpg

5. Yatakuja maelekezo kwa rangi ya njano ambayo tulisha yafanyia kazi hatua ya 1.
Wewe utachagua Apply
e2bbb73ba98bd900e79ae74cdfbd2b2b.jpg

6.Subiri hadi lucky patcher imalize kuichakachua hiyo poweramp. Itakapo maliza utaona maandishi ya kijani utachagua Launch
61002eeaa995e3244c5a00ad2af9aec8.jpg

7. Poweramp itafunguka nenda kwenye kipengele cha setting angalia kama imekuwa verified.
2a470f3a094e982d8f12e1fdf3b68cdf.jpg
.
8.Enjoy poweramp...
Hii poweramp ni kwa audio pekee?
 
Usiteseke bure........
Download Poweramp unlocker
HAPA

N.B
1-kumbuka kudownload poweramp trial version kutoka play store ndo uinstall hii unlocker yake
2-Haiitaji kuroot simu yako usihangaike
Anza kula midundo mwanaJF
Big up kaka.
Inapga mziko knouma
 
Usiteseke bure........
Download Poweramp unlocker
HAPA

N.B
1-kumbuka kudownload poweramp trial version kutoka play store ndo uinstall hii unlocker yake
2-Haiitaji kuroot simu yako usihangaike
Anza kula midundo mwanaJF
Msada wa upgrade android version kwenda 6 phantom z mini 4.4.2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom