CHADEMA Yasimamisha Dodoma

Hiki chama ni janga kabisa hakioni kuwa kuna msiba hata bunge limesimamimishwa kama heshima ya marehemu wao wanaendelea kuomba huruma kwa wanchi tena pale pale dodoma. Shame shame
 
makongoro nyerere ccm inaongozwa na vibaka lissu ananukuu
 
Attachments

  • 1433341989525.jpg
    1433341989525.jpg
    33.6 KB · Views: 284
mbona walisema Dodoma hakuna chadema...ivi kumbe wachaga asili yao in Dodoma eee...safi sana piga kazi chama langu mwaka huu lazima kieleweke..

Walieneza ukabali hila hawakufanikiwa, watashindana ila hawatashinda mkuu.
 
Ingekuwa CCM wanategemea sanduku la kura basi miaka tungeshawasahau kwenye siasa za Tz,lakini huko kujaza watu kama dangaya toto, CCM ushindi wao hautegemei sanduku la kura, kama mnajidanganya mtakuja iadhibu ccm kwenye sanduku ni ndoto,
 
Hiki chama ni janga kabisa hakioni kuwa kuna msiba hata bunge limesimamimishwa kama heshima ya marehemu wao wanaendelea kuomba huruma kwa wanchi tena pale pale dodoma. Shame shame
Watangaza nia wa ccm wao wanaona fisi tuu
 
Na Maisha Bora kwa kila Mtanzania yapo wapi kwenye kale kawimbo chenu?
We unadhani maisha bora ni kunywa maziwa kila siku na kula pilau na kuku plus viepe? Hahahaha una akilimza kitoto kweli wewe kijana, maendeleo huyaoni kwani ktk nchi hii?
 
Ingekuwa CCM wanategemea sanduku la kura basi miaka tungeshawasahau kwenye siasa za Tz,lakini huko kujaza watu kama dangaya toto, CCM ushindi wao hautegemei sanduku la kura, kama mnajidanganya mtakuja iadhibu ccm kwenye sanduku ni ndoto,
Ndio Maana Mzee Marandu akasema atatangaza mapema
 
hivi kati ya ccm na Chadomo nani wanafanya maigizo? Nyie mmetafuta urais kwa muda gani mpaka hvi leo? Je mmewahi kuupata huo urais? Sasa hauoni hapo nyie mnaigizo, sawa sawa na kutwanga maji kwenye kinu!

Maigizo mnayofanya kwamwe hamtafanikiwa na vingine si maigizo bal ni ukwl kwa ccm kuwa mafisad na kuifilisi Nchii huku Watz wakiwa maskin,
Mwisho wenu ni Oct Watz wameamka sasa ni ww tu unakubali kuhongwa na kununuliwa ila ipo cku itakutokea puani usipende kununuliwa.
 
Ndio Maana Mzee Marandu akasema atatangaza mapema
Watu kuja kwenye mikutano yenu ya njaa sio ndo kupewa kura na hao wananchi, wengi ni kama watazamaji kwenye mpira wa miguu, wako wanaofatilia kwa makini lkn wengine wako kuangalia tu ilimradi ndo akina nyie hapo mnashabikia tu lkn hamjui kitu.
 
Maigizo mnayofanya kwanye hatafanikiwa na vingine si maigizo bal ni ukwl kwa ccm kuwa mafisad na kuifilisi Nchii huku Watz wakiwa maskin,
Mwisho wenu ni Oct Watz wameamka sasa ni ww tu unakubali kuhongwa na kununuliwa ila ipo cku itakutokea puani usipende kununuliwa.
Wewe kipaji chako ni kuendesha baiskeli, sasa siasa na wewe wapi na wapi!? Umbeya tuu kama dada
 
Watu kuja kwenye mikutano yenu ya njaa sio ndo kupewa kura na hao wananchi, wengi ni kama watazamaji kwenye mpira wa miguu, wako wanaofatilia kwa makini lkn wengine wako kuangalia tu ilimradi ndo akina nyie hapo mnashabikia tu lkn hamjui kitu.

Ndio maana yenu mnadanganya watu na ubwabwa
 
Mungu hapendi wezi wanaokula ruzuku za chama kama wanavyofanya akina Mbowe na Kaka yake Slaa

Acha ubogaz mnatapatapa tu maana mnakufa wizi mliofanya sasa bac hapo unakenua tu angalia Nzi ataingia mdomon wakati Nchi imeuzwa na ccm kwa Deni la Taifa kupanda hd kufikia kila Mtanzania anadaiwa zaid ya Laki 8 na ishirin mda wowote unaweza kuambiwa Nchi si yako,
Nani kafanya hv ni mafisadi wa ccm nyambafu mwisho wenu ni Oct.
 
Hiki chama ni janga kabisa hakioni kuwa kuna msiba hata bunge limesimamimishwa kama heshima ya marehemu wao wanaendelea kuomba huruma kwa wanchi tena pale pale dodoma. Shame shame

Wassira na wenzake wameenda kuchukua fomu za Urais tena Dodoma .......unasemaje hapo?
 
Sasa wew jamaa HOVYO..ndo unaona hawa ni watu ,kwenye manispaa kama Dodoma ,kwanza mpiga picha kapiga kijanja janja ili ionekana halaiki ya watu

Sababu mmezoea ujanjaujanja ndiyo maana akili yako haipokei kile macho kinachoonyesha kweli bado kuna kazi.
 
nawapongeza kwa kuhamasisha wananchi kujiandikisha!!!
ila mkimaliza mumalizie kile kiporo cha kugawana vyeo!!
 
Back
Top Bottom