CHADEMA yashambuliwa na kukosolewa kila kona mitaani kwa kupendekeza kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,714
Ndugu zangu Watanzania,

Huku mitaani kumechafuka na hali ni mbaya sana kwa CHADEMA,baada ya kuwa na mashambulizi makali na ukosoaji mkubwa sana kutoka kwa wananchi kwa hoja ya CHADEMA ya kutaka kwa kila jimbo kuwa na wabunge wawili.watu wana laani sana na kuipinga sana kauli hiyo iliyoonyesha ulafi mkubwa wa madaraka walionao CHADEMA.

Ni kauli ambayo imeidhalilisha sana CHADEMA mitaani na kuonekana ni chama cha kupigania maslahi yake tu. Ni kauli ambayo wananchi wanasema kuwa imeonyesha ni namna gani CHADEMA wasivyo na huruma wala uchungu wala kuguswa na maisha ya watanzania. Wanasema badala CHADEMA kubuni na kutoa hoja kwa serikali zinazoweza kupunguza gharama na mzigo kwa wananchi, wao wanakuja na hoja wanazoona zitawahakikishia shibe ya matumbo yao huku zikileta na kuwabebesha mzigo wa mateso watanzania wanyonge..

Kwa hakika CHADEMA inapaswa kuwaomba radhi watanzania na kufuta kabisa pendekezo hilo la kijinga lisilo na mashiko wala msaada wowote kwa maisha ya watanzania.yaani wao wanataka kodi zote na makusanyo yote zielekezwe katika kulipa mishahara na marupurupu ya wabunge badala ya huduma kwa wananchi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Tulijua kwamba wale wenye Ubongo wa Udongo hawataelewa ule MKAKATI , nadhani sasa JF itaanza rasmi kuwajua wenye ubongo wa Majivu.

Kifungu kile ilikuwa "JAMBO MAALUM" ulipaswa kuwa na akili kubwa kung'amua mambo ya COVID 19 , Pole sana
Acha porojo zako hapa wewe. Jambo maalum lipi? Ujinga wa kutaka wabunge wawili katika kila jimbo ndio jambo maalumu? Ndio mahitaji ya watanzania hayo? Ndio suluhisho la kero hilo?

Ndiyo Watanzania walisema wanataka hivyo? Nani aliwapa maoni na mawazo hayo ya kijinga na kihayawani? Kwanini mnataka kumbebesha mtanzania gharama zisizo na msingi?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huku mitaani kumechafuka na hali ni mbaya sana kwa CHADEMA,baada ya kuwa na mashambulizi makali na ukosoaji mkubwa sana kutoka kwa wananchi kwa hoja ya CHADEMA ya kutaka kwa kila jimbo kuwa na wabunge...

Wewe jamaa na chedema duh

Mbona hiko chama hakina nguvu tena, hakina uwakilishi wowote hakina impact yoyote

Ila ndugu kila topic unakuja na chedema chadema
 
Acha porojo zako hapa wewe. jambo maalum lipi? Ujinga wa kutaka wabunge wawili katika kila jimbo ndio jambo maalumu? Ndio mahitaji ya watanzania hayo? Ndio suluhisho la kero hilo? Ndio watanzania walisema wanataka hivyo? Nani aliwapa maoni na mawazo hayo ya kijinga na kihayawani? Kwanini mnataka kumbebesha mtanzania gharama zisizo na msingi?

Hivi kuna chama kinachofanya mambo ambayo watanzania wanayataka?

Tusidanganyane hapa wote ni wale wale Tu

Ingekuwa kuna chama ambacho kiko tayari kufanya mambo ya watanzania Leo tusingekuwa hapa tulipo
 
CHADEMA walafi sana. Yaani wao akili zao zipo kwenye kuwaza matumbo yao tu bila kuwa na huruma na watanzania.hii ndio sababu watanzania kwa sasa wanawapuuza tu maana walishatambua ya kuwa ni wababaishaji na wachumia tumbo.

Vyama vyote ni vilafi Tu

Baba waziri, mama mkurugenzi, Mtoto wa kwanza DC Mtoto wa pili DED

How do you call it kama sio ulafi?

Nenda kwenye makampuni huko uone Nani wanashinda tenda kila siku
 
Ruzuku ikifutwa na CHADEMA utakuwa mwisho wake .maana viongozi wake wapo kwa ajili ya kukitumia chama kujinufaisha kwa kutafuna kila senti inayokatisha mbele yao.

Ww mwenyewe uko hapa unaweka na contact zako kila siku ili uje kupata chochote

Usijifanye mwema sanaaaaaa

In reality viongozi wote wa kisiasa wapo Kwa ajili ya kujinufaisha wao kwanza

Ndio maana hata salary zao ni hatari

Posho zao ndio balaaa
 
Kuna mtu atakuwa kachomeka pendekezo - labda John Mnyika mwenyewe aliyebeba hayo makaratasi bungeni - halafu hakuna mwingine aliyesoma kila kurasa, yakapita. Kama mikataba na miswaada vile inavyo kuwa processed. The incorruptible think factory of the party, John Heche, Tundu Lissu, Azaveli Lwaitama and others of their ilk have not seen this document au wamepitisha chini ya mkono wa chuma wa Chairman Mbowe, ambae siku hizi ni corrupt to the bone.

Kwa saab haiwezekani ghafla chama kizima kikawa mentally bankrupt namna ile kutaka mabilioni ya nchi yakaliwe na wana CCM. CHADEMA watake Bunge la CCM liongezeke mara mbili! Overwhelming majority of those seats will be pillaged by CCM at gun point. By far and away, the most appaling policy scandal in all of CHADEMA party's existence.
 
Hivi ulimsikiliza mwenyekiti wa ccm taifa alivyosema? Acheni kuandika mambo ya kipuuzi, andikeni hoja zenye mashiko na panapotakiwa takwimu ziwekeni.

Sasa kwa uandishi huu wa kichawachawa mtaeleweka kweli? Na yawezekana ndiyo maana hupewi uteuzi ndugu Lucas mwashambwa . Badilika.
Mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huku mitaani kumechafuka na hali ni mbaya sana kwa CHADEMA,baada ya kuwa na mashambulizi makali na ukosoaji mkubwa sana kutoka kwa wananchi kwa hoja ya CHADEMA ya kutaka kwa kila jimbo kuwa na wabunge wawili.watu wana laani sana na kuipinga sana kauli hiyo iliyoonyesha ulafi mkubwa wa madaraka walionao CHADEMA.

Ni kauli ambayo imeidhalilisha sana CHADEMA mitaani na kuonekana ni chama cha kupigania maslahi yake tu. Ni kauli ambayo wananchi wanasema kuwa imeonyesha ni namna gani CHADEMA wasivyo na huruma wala uchungu wala kuguswa na maisha ya watanzania. wanasema badala CHADEMA kubuni na kutoa hoja kwa serikali zinazoweza kupunguza gharama na mzigo kwa wananchi, wao wanakuja na hoja wanazoona zitawahakikishia shibe ya matumbo yao huku zikileta na kuwabebesha mzigo wa mateso watanzania wanyonge..

Kwa hakika CHADEMA inapaswa kuwaomba radhi watanzania na kufuta kabisa pendekezo hilo la kijinga lisilo na mashiko wala msaada wowote kwa maisha ya watanzania.yaani wao wanataka kodi zote na makusanyo yote zielekezwe katika kulipa mishahara na marupurupu ya wabunge badala ya huduma kwa wananchi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Chadema ni mafii ya bata ...kama ni kweli basi ni wapumbavu sana
 
Kwani kwa sasa kuna wabunge wangapi??
Mbunge Anachaguliwa na wananchi na kila mbunge huwa ana mbunge wa Kiti maalumu wake kila Mkoa kwahyo ni kama kila jimbo au kila mkoa kuna Wabunge wasio teuliwa na wananchi sasa ni bora wananchi wakateua tu hao wabunge
 
Back
Top Bottom