Chadema yapewa gari na yazidi kujipanua hadi nje ya Tanzania

Mkuu hii nadhani ni Chevrolet Suburban (1980s) Kama sikosei.

Watanzania tunapenda sana kuongea kwa hisia, kuna yeyote kati yenu mwenye kujua hiyo gari ina tatizo lolote katika injini yake au body yake? Au kwa vile wengi mmezoea RAV4, Suzuki, Subaru, Xtrail, n.k; basi gari lolote lisilo na umbile linalofanana na hayo ni bovu?
 
Yaaani hii scraper ya mwaka 1645 ndo chama kinakabithiwa?

kweli chadema ni chama cha makapi

hii gari nahisi viwanda havitengenezi tena

Chadema wako wanapambana kuikomboa Tanzania sasa kuwa na hata aina hiyo gari is a big step forward maana wanatumia aina ya uwezo wao sasa waache na mambo yao wewe pita tu kama huna la kusema zaidi ya kuponda
 
Yaaani hii scraper ya mwaka 1645 ndo chama kinakabithiwa?

kweli chadema ni chama cha makapi

hii gari nahisi viwanda havitengenezi tena
Kutoa ni moyo bora linakutoa from point A to point B. hatuangalii ni la thamani gani. Au una wivu na hao waliopata na aliyetoa?
 
Hii gari inaelekea ilitumika kwenye vita ya pili ya dunia. Imekomaa kama binadamu, looh. Mi nikipanda humo naugua Typhoid, Malaria, Kifua Kikuu na Fangasi.
 
Jamani huyo Dr Kupeng'e anawivu. Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.gati safi hiyo.
 
haya mambo hayaendani na ufisadi hili gari hata upewe bure huwezi kuendesha
kila siku itakuwa kwa FUNDI

HVI ILI NA GARI GANI

166682489.JPG

Aibu tupu kupokea liability.
 
kweli Magwandammepotea kwa gari ambalo litafanya watu wachangie kila siku kwenye mikutano ili liende garage.fikirieni kuhusu hasara na sio kufungua tawi lisilo na Mantiki yote katika chama.kwani wapiga kura wapo Tanzania.



HUO NDIO UZALENDO WA KWELI, KWANI NI ISHARA TOSHA KUWA RAIA NDANI NA NJE YA NCHI WAMECHOKA NA DHAIFU SASA NA WANATAKA IMARA KWA GARAMA YOYOTE, CHEZEA NGUVU YA WANANCHI WEWE? HATA WAKATI WA UKOLONI, KILA MTU ALICHANGIA KUTOKANA NA UWEZO NA HALI YAKE KIUCHUMI NA ILIWEZEKANA KWA UDUNI TULIOKUWA NAO KIPINDI KILE, SASA TUNA MKOLONI, TENA LUBA KANGANGANIA SHATI ZA WATZ HATAKI KUTUACHIA (ccm). MIMI BINAFSI NIPO TAYARI KUCHANGIA CHOCHOTE KILE NILICHONACHO ILI KULETA UKOMBOZI SIO KWANGU TU BALI KWA WATOTO NA WAJUKUU WANGU.

PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEES, POOOWERRRRRRRRRRRRRR: MTAIPENDA TU.
 
yes cha msingi M4C ipo kazini daima

mi naona ni bora hii gari kuliko vibajaj vyenu mlivyo ahidi sijui mumenunua ???
 
GARI gani linatumia site mirror moja?

kwanini wamepiga picha moja?

Hivi hii ni aina gani? toyota, harrier, benz?

Dr wa madawa ya kienyeji nini. Nyie ambao mlikuwa mnanufaika na ufisadi wa CCM mnabalaa saana. Sasa wewe unataka mpaka waibe pesa za wavuja jasho wakanunue mavx kama magamba wenzio. Kafie huko na wivu wako
 
Mbona Mbowe alitoa mitumba ya FUSO tena akaidhinishiwa mamilioni, mwacheni huyo dada naye achangie.
 
GARI gani linatumia site mirror moja?

kwanini wamepiga picha moja?

Hivi hii ni aina gani? toyota, harrier, benz?

Rafiki USA gari ambalo liko chini ya kiwango halipiti barabarani. Pia mwaka jana nilikuwa USA na nilisafiri na bus Greyhound kutoka DC mpaka Seattle then Vancouver kama kilometa 10,000 hivi. Gari hilli unaloliona ni moja ya magari niliyokuwa nakutana nayo kwenye high way za Baltimore MD,Chicago IL,Minneapolis, MN, Fargo ND,bILLINGS MT, Missoula MT, Seattle WA na hata Vancouver,
 
Back
Top Bottom