Chadema yapewa gari na yazidi kujipanua hadi nje ya Tanzania

I hope ndugu zake TZ hakuna anaye angaika kujiendeleza kimaisha.

Hata kama wapo, na yawezekana alishanya kwa kipimo chake kuwasaidia ndugu zake.kutoa ni moyo acha asaidie chadema kujiimarisha na siku moja kiwatoe watanzania katika hali duni ya maisha
 
Watanzania tunapenda sana kuongea kwa hisia, kuna yeyote kati yenu mwenye kujua hiyo gari ina tatizo lolote katika injini yake au body yake? Au kwa vile wengi mmezoea RAV4, Suzuki, Subaru, Xtrail, n.k; basi gari lolote lisilo na umbile linalofanana na hayo ni bovu?
Hii mimi inanihusu vipi??? Dr. Kipeng'ele aliuliza hii ni gari gani? Mimi nikamjibu ni Chevrolet Suburban. Hapo nimeongea wapi kwa hisia au ushabiki!!??? Acha kukurupuka bila kuelewa maandishi yana maana gani.
By the way soma signature yangu,pengine itakusaidia kujua msimamo wangu kwenye "siasa zetu uchwara"..
 
Usiponde,hata kama la kuebea ulichosema poa tu ,our aim is M4C itakapofanikiwa even u will benefit on it.TUMEONEWA VYA KUTOSHA,TUMENYANYASWA VYA KUTOSHA SASA TUNATAKA MAPINDUZI/MABADILIKO.

Watanzania tumechoka na umaskini huu. Tuna maliasili nyingi hata kuliko nchi za ulaya. ViongozI watakao tuongoza vizuri ndiyo hasa tunachohitaji. MUDA WA MABADILIKO KWA VIJANA NI HUU. 2015 JIBU LETU HASWA.
 
Sasa hv utamsikia katibu Mwenezi akisema chichiemu nayo imepewa helicopter huko Washington Dc na New York ili kuwafikia Wanachama wake kirahisi.

Chadema imezidi kujiimarisha hadi nje ya mipaka ya Tanzania baada ya mwanachama mpya Hussein Msabaha kukabidhi
gari tawi la washington DC ili liweze kutumika kwa ajili ya kuwafikia watanzania wapenda mabadiliko wanaoishi Marekani.

Hongera watanzania munaotambua nyakati na kutambua wajibu wakila mtu kuleta mabadiliko katika taifa letu.

Bofya hapo chini ujisomee mwenyewe
Blog: VIJIMAMBO
Post: TAWI LA CHADEMA WASHINGTON DC LAKABIDHIWA GARI NA MDAU HUSSEIN KAUZELA MSABAHA
Link: VIJIMAMBO: TAWI LA CHADEMA WASHINGTON DC LAKABIDHIWA GARI NA MDAU HUSSEIN KAUZELA MSABAHA
 
Moyo wa kujitoa kuchangia CDM Udumishwe, kila mwanachadema Tukiandae vema chama chetu kushika Dola
 
kwa wenzetu ulaya hadi gari ipitishwe ujue inafaa, kumbuka wapo marekani si Tanzania
 
kweli Magwandammepotea kwa gari ambalo litafanya watu wachangie kila siku kwenye mikutano ili liende garage.fikirieni kuhusu hasara na sio kufungua tawi lisilo na Mantiki yote katika chama.kwani wapiga kura wapo Tanzania.

Lingekuwa bovu lisingekuwa barabarani huko USA.
 
Hii gari inaelekea ilitumika kwenye vita ya pili ya dunia. Imekomaa kama binadamu, looh. Mi nikipanda humo naugua Typhoid, Malaria, Kifua Kikuu na Fangasi.

mbona wewe umekomaa sana?au umetumika sana hapo nyuma? Yani nikikupanda naweza kupata tb, gono, kaswende, na ukimwi.
 
Back
Top Bottom