CHADEMA yapeleka majeshi ya ardhini Igunga

Na kweli Mungu akikuweka juu utabakia kuwa juu..Wanadamu wakikuweka juu kama XXM then ujue Mungu atakuporomosha vibaya vibaya...XXM sasa wanaporomoka kuliko Land slide ya maeneo ya milima.....watu eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee......Chadema tumesubutu na tunaweza....
 
labda bado wanakategemea kale ka-hoja kao ka yule dc 'kudhalilishhwa' ambako wanadhani katawasaidia. Nasikia yeye mwenyewe dc anapinga kutumiwa ile picha katika kampeni za ccm.

naweza kuamini maneno haya kwani hata alipofumaniwa aliomba akamuombe dr slaa radhi!!!!
 
mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo, Jumatano kikosi maalum cha kampeni.

SOURCE: MWANAHALISI Sept 21
CHADEMA wanaongeza majeshi baada ya kuendelea kudhoofika kwa CCM??? You are not making no effing sense!
 
Back
Top Bottom