CHADEMA yapeleka majeshi ya ardhini Igunga

Chadema! Now this is too much. Si Utafiti umeshasema mna 74% ya kura! Na kwa kulitambua hilo hata Magamba hawajaupinga utafiti huo bali wapo bize kununua shahada ili wapunguze aibu. Sasa na hili mnaona halitoshi mpaka nae Zitto aende! CCM si wazee wenzenu? Cha kutaka kuwatia fedheha mbele ya kizazi hiki na mbele ya Mgoni wa Mwigulu Nchemba ni nini!

huna tofauti na huyo kwnye avata yako aliyepigia magoto watot wa shule

sasa hivi mnatafutakila sababu ili cdm ionekane ina vurugu

yule kijan mmlimmwagia tindikali

leo mlikuwa mmpenga kuchoma ofc za ccm igunga ili ionekane ni cdm bahati nzuri mpango wenu umejulikana na kugonga ukuta

mwaka huu mmepigwa kwenye mshono na nyuzi zimefumuka ....kazi mnayo
 
Magwanda kweli vilaza hata wa lugha, hiyo heading ilitakiwa iwe ' Zitto on his way to Igunga'
 
Chadema! Now this is too much. Si Utafiti umeshasema mna 74% ya kura! Na kwa kulitambua hilo hata Magamba hawajaupinga utafiti huo bali wapo bize kununua shahada ili wapunguze aibu. Sasa na hili mnaona halitoshi mpaka nae Zitto aende! CCM si wazee wenzenu? Cha kutaka kuwatia fedheha mbele ya kizazi hiki na mbele ya Mgoni wa Mwigulu Nchemba ni nini!
nguvu zaidi zahitajika mana tamko la polisi leo ati kukamatwa na hati za kupigia kura ambazo si zako ati sio kosa,inabidi wakawabane huko
 
Hiyo kikosi naiamini. mbona inawezekana tu kubadili nchi na tukaondokana na hawa mafisadi!!!!!!!!!!!!!!! Big up CDM ni vizuri kila sekunde itumike vizuri kwenye kampeni!!!!!!!!!.
 
huna tofauti na huyo kwnye avata yako aliyepigia magoto watot wa shule

sasa hivi mnatafutakila sababu ili cdm ionekane ina vurugu

yule kijan mmlimmwagia tindikali

leo mlikuwa mmpenga kuchoma ofc za ccm igunga ili ionekane ni cdm bahati nzuri mpango wenu umejulikana na kugonga ukuta

mwaka huu mmepigwa kwenye mshono na nyuzi zimefumuka ....kazi mnayo

Mkuu Edson nafikiri umem quote vibaya mkuu Said Bagaile mbona hakua na maana mbaya hapo zaidi nimemuelewa kua mpaka muda huu ushindi kwa CDM upo wazi so hope jamaa yupo sawa.
 
Kwa hiyo kitu gani hujaelewa, tunakujua wewe ni mzee wa kidhungu mbona siku hizi hutumii Mwita25?

Ni afadhali abaki hivyo hivyo philanderer, mzinzi. Alikuwa anawashushia hadhi wapiganaji wenye jina alokuwa akilitumia la Mwita25 !
 
Where are Wenje and bwana mdogo wa MBOZI? Watu wanatakiwa waambiwe kuwa CDM ni chama kinachopendwa kila mahali na watu wamediriki hata kuwachagua vijana wadogo tu kwa sababu hawaitaki tena CCM. Je wanaigunga mnataka mfie kwenye mzoga wa CCM? Waambieni washutuke wasiwe kama KUPE anayengania kwenye ngozi ya ngo'mbe ili hali ngombe alishachinjwa watu wameshakula nyama zamani. CCM ya Nyerere ilishachinjwa zamani na mafisadi na yameshaila nyama zamani kilichobaki ni ngozi tu ambayo wanaCCM KUPE ndo wameng'ang'ania. Watu wa Igunga wanahitaji waelezwe kwa mifano si kwa kutumia maneno magumu hawataelewa kwa sababu wengi hawakusoma. Niwajuavyo wasukuma wanapenda mtu anayesema nao kwa mifano ya kuwavutia.

Dogo wa Tunduma yuko songea uchaguzi mdogo wa diwani anasimamia kule
 
huna tofauti na huyo kwnye avata yako aliyepigia magoto watot wa shule

sasa hivi mnatafutakila sababu ili cdm ionekane ina vurugu

yule kijan mmlimmwagia tindikali

leo mlikuwa mmpenga kuchoma ofc za ccm igunga ili ionekane ni cdm bahati nzuri mpango wenu umejulikana na kugonga ukuta

mwaka huu mmepigwa kwenye mshono na nyuzi zimefumuka ....kazi mnayo

umeelewa tofauti kaka. Mtake radhi bwana Said B
 
Wanatumia Usalama wa Taifa kuchukua Igunga ninakuja kupambana na hawa Fedhuli waliomnyima Dr Slaa uhalali wa Uongozi wa Tanzania Tuitakayo.
 
Kila la Heri makamanda wa kikosi cha ardhini sasa tutapiga angani na Ardhini nimatarajio yangu kuwa Prof. Safari, Marando na Vicent Nyerere watajoin mda c mrefu.
 
Zitto na Mnyika ndio watu pekee wenye akili Chadema nzima!
Wengine wote kuanzia katibu wao VILAZA
 
haina shida nasi yupo Mangulla tumemuita

Hata umlete KIKWETE wanaigunga tuko mbele kusaka mabadiliko.
Hatuangalii cheo wala sifa tunataka Ku-clean z so called MAGAMBA.

ZITO IS COMING WITH--------------
PEOPLE'SSSS POWERRRRRRRRRRRRRR
 
Back
Top Bottom