CHADEMA yapeleka majeshi ya ardhini Igunga

Where are Wenje and bwana mdogo wa MBOZI?

Watu wanatakiwa waambiwe kuwa CDM ni chama kinachopendwa kila mahali na watu wamediriki hata kuwachagua vijana wadogo tu kwa sababu hawaitaki tena CCM. Je wana-Igunga mnataka mfie kwenye mzoga wa CCM? Waambieni washutuke wasiwe kama KUPE anayengania kwenye ngozi ya ngo'mbe ili hali ngombe alishachinjwa watu wameshakula nyama zamani.

CCM ya Nyerere ilishachinjwa zamani na mafisadi na yameshaila nyama zamani kilichobaki ni ngozi tu ambayo wanaCCM KUPE ndo wameng'ang'ania. Watu wa Igunga wanahitaji waelezwe kwa mifano si kwa kutumia maneno magumu hawataelewa kwa sababu wengi hawakusoma.

Niwajuavyo wasukuma wanapenda mtu anayesema nao kwa mifano ya kuwavutia.
 
Kanuni ya mapambano ni kwamba pale unapohisi adui anadhoofika ndo pale unapotakiwa kuongeza nguvu zaidi ili umchakaze kisawasawa adui. Na siyo kupunguza nguvu kama unavyofikiri wewe NGWENDU.Hii ndo fomula na wapambanaji wote wanajua labda wewe siyo sehem ya wapambanaji ndo maana hujui hili.Sasa ni gwaride mtindo mmoja mpaka CCM masaburi yatoe moshi
 
mkuu sijui ni uelewa wako mdogo? hata sikuelewi. wewe umesema ccm wameanza kudhoofika, halafu tena chadema wanaongeza majeshi? ya nini? wakati adui husika yupo dhaifu? Rephrase it to clarify. Other wise poor thinker.
Labda huelewi namna vita vinavyopiganwa,MAJESHI YA ARDHINI yanatumika kukamata eneo ambalo MAJESHI YA ANGA yameliDISABLE.
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21

Natamani WENJE na SUGU wawepo....
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21

Hongera sana Kamanda. Hayo ni majembe ya ukweli na tunataka Makamanda wa ANGA waje faster.
People'sses Poweeeeeer.
 
mkuu sijui ni uelewa wako mdogo? hata sikuelewi. wewe umesema ccm wameanza kudhoofika, halafu tena chadema wanaongeza majeshi? ya nini? wakati adui husika yupo dhaifu? Rephrase it to clarify. Other wise poor thinker.
Wivu wa kike huu!!!

Ngoja tutaona jeshi la vijana vs jeshi la wastaafu wa CCM.

by the way, hivi yule Mangula si ndio alishindwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa a CCM \iringa?? sasa katibu mkuu mstaafu wa CCM, anashindwa uenyekiti wa mkoa, halafu wanamleta kwenye kampeni??!!!

kweli masaburi yamepata kazi!!
 
FREEDOM AND PEOPLE-CENTRED DEVELOPMENT COMING TO IGUNGA SOOOOOOOOOOOON!!!!!!

Jamani, kwa mtaji wa jeshi hilo lililosheheni washambuliaji chipukizi wakiungana na BAVICHA na Wana-Igunga kutoka vyuo na vyuo vikuu mbalimbali mbona raaaaaahaaaaaaaaaa zaidi sasa Igunga!!!!!!! CCM kwishni!!!!!!!!!

Wale wabakaji wake za watu, wachapa usingizi maarufu nchini na virusi vinginevyo vya UFISADI CCM sasa watupishe njia haraka kwani saa ya ukombozi Igunga ndio hiyo imewadia.

Hakika enyi viongozi wangu na vijana wenzangu akina Makamanda Zitto Kabwe, Jenerali mwenyewe wa ukweli Mhe Godless Lema, Kamanda Halima Mdee, Kihwelu, Mnyika, Chiku Abwao na Mr II ni wasikivu sana kuitikia haraka maombi yetu kutia timu Igunga na kusaidia kulainisha zaaidi njia kuelekea kwenye ushindi wetu si tu kwa hicho kiti cha ubunge bali ni ushindi dhidi ya UFISADI nchini tukianzia kutakasha wana-Igunga kuondokana na Kirusi Rostam Aziz.

BAVICHA na vijana Wana-Igunga mnaosoma katika vyuo na vyuo vikuu mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kweli kazi mnayofanya hapo kwenye grassroots, nyumba hadi nyumba na kudhibiti shughuli za Mabalozi Haramu waliotumwa na CCM kununua kadi za kupigia kura, yote ni raha tupu.

Jamani mnatufanya kujivunia kazi mnazofanya hapo Igunga; Dalali yeyote wa kununulia CCM kura siku nyingi hata kabla uchaguzi kufanyika, hata kama atabainika kuwa ni Kamanda Tossi mwenyewe ndiye anayefanya kazi hiyo au hata Afisa Usalama wa CCM hapo Igunga aliyesahau jukumu lake kwa taifa na kuanza kushabikia vyama vya kisiasa - apate kisago cha kufa mtu tena cha mmbwa mwizi ili asiturudishe nyuma na juhudi za uchakachuji kama alivyotufanyia mzee makame yule!!!!!!!!


Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21
 
CCM wamekamatwa vibaya, yaani mpaka Masaburi hayafanyi kazi, sasa wamekuja na hoja ya DC kuvuliwa hijabu...
Dah!
 
Guys mna siku kumi tu na kuna vijiji 96 na hii ina maana kuwa kila siku ni vijiji kumi vinatakiwa vihutubiwe. Napendekeza kuwa na timu kumi ambazo zitaongozwa na wafuatao. Makamanda wengine ambao sijawataja watapangwa kwenye hizi timu kumi. Ili kuhakikisha kila kijiji kina hutubiwa kwa siku.


1. Dr. Slaa
2. Mbowe
3.Zitto
4.Lema
5. Mnyika
6. Mdee
7. Msigwa
8. Nyerere
9.Tindulisu
10.Wenje


Kila la kheri wapiganaji!
 
hahahahaaaa.....!!mia!

Ukisikia mtu anasema mpotezee huyo! Hiyo ndio poteza bovu,hatutaki upumbavu chadema,kama unaona kasi ya kuendana na vijana inakushinda basi chagua magamba uendelee na umbea,unafiki,wizi na ukigeugeu, shibudaaa.......!!
 
its interestive men! cdm badala yakukaza buti niwakati sasa wakuvua buti nakukimbia mbio mita 100 hadi vijijini na kushusha hoja zenye nguvu hatuwezi kuendelea kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wanaigunga mpo chagua chadema sasa kwa maisha bora ya sasa kesho na vizazi vijavyo
 
Kama tunanawa vile CDM...hapa naona labda wa kuongezeka ni Wenje,Kiboko Nyerere na Salvatory Naluyaga,wengine waongezwe kwenye kata za Iringa,Sikonge,Mbeya na Manyara ili tukamalize shughuri kabisa..pipoooooozpawaaaaa.
 
Chadema! Now this is too much. Si Utafiti umeshasema mna 74% ya kura! Na kwa kulitambua hilo hata Magamba hawajaupinga utafiti huo bali wapo bize kununua shahada ili wapunguze aibu. Sasa na hili mnaona halitoshi mpaka nae Zitto aende! CCM si wazee wenzenu? Cha kutaka kuwatia fedheha mbele ya kizazi hiki na mbele ya Mgoni wa Mwigulu Nchemba ni nini!
 
Back
Top Bottom