CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

Huu ni ushindi mkubwa sana kwa CCM.

Kuwawacha mfurahi ili "stability" iwepo ndani ya nchi, na hakuna atakaefungua mdomo baada ya leo kusema hakuna demokrasia.
 
Asa sioi itakuwaje maana familia inamtegemea? aligombea ili alishe familia
 
na pamela na mumewe lazima watusindikize jamani sio vita siasa ni mapenzi
tumemaliza lazima turudi pamoja kuendelezaa na si waikimbie arumeru daima
doh jamaa kaukosa uwaziiri wa fedha 2015 hivi hivi

Umeona eeeh!
 
Weweweweweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee magamba tumewapiga hahahahahahahaha!
Chadema32535,ccm 26239! Hahahahahahahaha!
Sasa wanatupiga mabomu hapa makumira!
Lusinde mbyueeeeeeeeeee!
 
Ahsante sana kwa taarifa ndugu Tumaini. Hongereni sana makamanda kwa ushindi. Sisi tuko nje ya nchi lkn tuko pamoja. VIVA CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
na pamela na mumewe lazima watusindikize jamani sio vita siasa ni mapenzi
tumemaliza lazima turudi pamoja kuendelezaa na si waikimbie arumeru daima
doh jamaa kaukosa uwaziiri wa fedha 2015 hivi hivi

pamela atakuwa na mwigulu mida hii...
 
Kwa umoja wetu .....na pumua ki..dooo...gooo?! SALA YANGU: Ee Mungu unaeendelea kutupigania waja wako,tuna amini hakuna linaloshindikana chini ya jua hili..kama ww ukiwepo..tumeona na tumeshuhudia uweza wako..Aksante Baba kwa zawadi ya Nassari, mjaze hekima na uwezo wa kuongoza pasipo tamaa wala hasira..kwako yote yanawezekana...Basi baba tukuomba na utukomboe tena 2015 kwani najua sasa umesema yatosha! Mpumzike sasa wangu! Mungu ibariki CDM, Mungu ibariki Tz.
 
Hongera Nassary, hongera chadema, hongera watanzania wote wanaoipenda nchi yetu na wapenda amani wote.
Tusibweteke, safari bado ni ndefu lakini tutashinda vita dhidi ya mafisadi.
 
Kwani hao ndio NEC?

Kwani NEC wanakazi gani ya zaidi ya kusimamia uchaguzi ndugu yangu? au ulidhani wako pale kupanga matokeo? Kama walikuwa wakipanga matokeo basi ni huko nyuma sasa hv hawawezi kushindana na Technology wataumbuka.... Ila pole najua hupendi kusikia haya matokeo.
 
leo ni siku ya ukombozi

Ukombozi wa Arumeru? ni kipi zaidi mtachokomboa huko?

Mimi naona mnawazidishia dhiki wana Arumeru. Mmewadanganya wamedanganyika, haya sasa tuone bajeti yenu na kuwapa maisha bora.
 
Dr. Wilbrod Slaa
@wilbrodslaa
Arumeru Mashariki. Matokeo: CHADEMA: 32,535. CCM: 26,296 .
7 minutes ago via web

Zitto Zuberi Kabwe
@zittokabwe
Matokeo #ArumeruEast #CHADEMA 32,535 na #CCM 26,296 . Our first win from #CCM in a byelection since founded. Only 2nd byelection win.RAHA
11 minutes ago via Twitter for BlackBerry® Zitto Zuberi Kabwe
@zittokabwe
Matokeo
 
Back
Top Bottom