CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

nasikia rahaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!! utamu
nasikia rahaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!! utamu
 
mi furaha yangu ni pale msimamizi wa uchaguzi atakapotangaza ndio nitachekelea zaidi
kwani haya makundi hayaaminiki
1,polisiccm
2,necccm.

MUNGU IBARIKI CHADEMA MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Ujio wa technlogy una faida yake na hasara yake,kwa mwenye kukumbatia technlogy ni bonge ya Advantage kwa mwenye kukimbia mita mia kukumbatia technlogy inakula kwake.CDM wamekumbatia sana technlogy na ndio maana ITAKUWA NGUMU ZILE ZAMA ZA ZAMANI ZA KUSEMA NGOJA NEC ITHIBITISHE,wakati wasimamizi wa vituo kila chama kina wake ambapo kila mmoja anaemaliza kuhesabu kura kwenye kituo anawajibika kutoa TAARIFA zake za KITUO husika kwa chama chake na anapaswa kufanya hivyo haraka sana mara baada ya kusign na kukubaliana kuwa kura za mgombea wake ni kadha wa kadha.

Hivyo kale kastyle ka michezo ya zamani ya wazee wetu ya kusubilia matokeo apelekewe mnene fulani ndio aseme tangaza hakika kwa dunia ya sasa ambayo mtu yuko USA anajua DAR nini kinaendelea wakati alie Dar ajui nini kinaendelea mlangoni mwa nyumba yake, umekwisha.

Hivyo ukusanyaji wa matokeo kupitia wasimamizi wa vituo umetibua kabisa milango ya watu wa sarakasi na maunipalation of data na kuleta TRANSPARENT hivyo matokeo ya kituo ambayo yanatangazwa kwenye kituo husika yanajitoshereza kutoa mwelekeo wa mshindi na mshindwa kwa uwazi zaidi.Hivyo CDM kupitia mawakara wao wana sababu zote tosha kujithibitishia kuwa wameibuka kidedea au wamekula za uso.Lakini kupitia thread hii ya Mwanakijiji ndio kusema CCM this time wamekula za uso.
 
asante sana makamanda! peoples poooooooooooooooooooooooooooowerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Najaribu kuwaza kwa sauti (think loud) hivi yale mashamba waliosema wameyarudisha kwa mwananchi watasema walikosea bado hayajarudishwa? au itakuaje ??????????????
 
Kwa upepo ulivyo ni dhahiri shahiri kuwa CDM imeshinda Arumeru mashariki tena kwa ushindi wa kishindo
Naomba kuchukua nafasi hii kumpongeza Mh Mbunge mteule Nassari kwa ushindi wake
pongezi za dhati ziende kwa team ote a CDM kwa ushindi huu muhimu kwenu.
Mie ni ni mkereketwa na mfurukutwa wa Chama Cha Mapinduzi CCM.
Na kwa kuzingatia siasa safi napongeza wenzangu pale wanapofanya vyema kwenye chaguzi.
Utaratibu wa kukubali matokeo ndio siasa safi na ya kweli.
Mshindi amepatikana na sasa nguvu zetu zijikite kujenga Taifa letu la Tanzania
Natoa rai kwa CDM kutimiza yote ilioahidi kutimiza kwa wananchi wa arumeru,pia ni nafasi ya Chama changu CCM kukaa na kutafakari ni nini kimetukosesha ushindi kwenye uchaguzi huu.
Mie nayajua machache nayo ni
1.matusi na kejeli dhidi ya vyama vya upinzani hasa CDM..Mkapa na lusinde mwajua nini namaanisha
2.Kusimama kwa fisadi namba moja nchini kuinadi CCM..mwamjua huyu jamaa mpenda madaraka
3.Vita ya makundi ndani a CCM imekigharimu san chama chetu..inauma kuona ndani ya CCM kuna watu wanakenua meno kuona Siyoi kaanguka kwani hakuwa chaguo la fulani..
4.
5.


OTIS
The Illuminati
 
Hata usingizi hauji aiseee.....daaah Mungu wetu ni mwema sanaaa na ashukuriwe. Wapi papaa Lusinde?hivi anajua kuwa amechangia sana CDM kupata kura za kishindo lol

Unajua nilipoisikia ile clip ya matusi ya Lusinde nishaanza kuhisi kitu -kwamba hawa jamaa maji ya shingo.Ingawa huyu Lusinde kuna haja ya kushinikiza achukuliwe hatua maana yale matusi kwa kweli hayavumiliki na hayaleti impression nzuri kwenye jamii tunayotaka ibadilike kwa kuwaamini vijana kuwa wanaweza kuongoza-vijana wa leo sio kesho.Huyu jamaa na siasa zake nyepesi si wa kumvumilia kabisa.
 
[h=6]Wilbrod Slaa
[/h][h=6]Confirmed. Tumeshinda udiwani Kirumba, Lizaboni na Kiwira na tunaongoza Arumeru. We shall overcome.[/h]
app_2_2231777543_7567.gif
Like · · @wilbrodslaa on Twitter · 12 minutes ago via Twitter · Wilbrod Slaa
[h=6]Confirmed. Tumeshinda udiwani Kirumba, Lizaboni na Kiwira na tunaongoza Arumeru. We shall overcom[/h]
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hiyo ni njema,ushindi huu uwe chachu ya ushindi 2015,hakuna kubweteka hata kidogo.Pongezi zote kwa CDM family( makamanda wangu),Zito hongera sana kwa kutusaidiaa kushinda viti muhimu vya udiwani katika sehemu nyeti kwa mstakabali wetu. Ushindi wa Udiwani kiwira moja ya ngome kubwa ya magamba ni pigo kubwa sana.Viva Mageuzi
 
..sasa Mkapa anawaita CDM mafedhuli.

..inaelekea kuitwa fisadi imemuudhi sana.

..lakini toka lini mwenyekiti wa chama[ccm] cha kijamaa akanunua mgodi wa makaa ya mawe??

..au, alivyojiuzia kwa bei ya kutupa ndiye ilikuwa ku-underscore his "ujamaa credentials"??
 
@zittokabwe: #ArumeruEast #CHADEMA beats #CCM by 6000 votes. I bring you our final tally in minutes
 
Dr. Slaa na Zitto Kabwe wamethibitisha sasa hivi kuwa CDM imeshinda kwa zaidi ya kura 6000 mbele ya CCM. Its all over now lets celebrate....
 
Back
Top Bottom