CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

Kwa ushindi huu ni dhahiri kwamba cc-magamba wamefilisika kisiasa, kisera na kiushawishi kwa wananchi na hi ni indicator tosha waliyowashiwa ili kupisha ikulu mwaka 2015. TANZANIA BILA CC-MAGAMBA INAWEZEKANA, hongera viongozi na wapenzi wa CDM kwa mshikamano na uvumilivu mliouonesha katika kipindi chote cha kapeni Arumeru mashariki... CHADEMA... VEMA,TUNAJIVUNIA NGUVU YA UMMA.... KAMA BWANA (MUNGU) YU UPANDE WETU NANI ATASIMAMA KINYUME NASI...???? T2015 CDM.
 
Naomba alietoa ahadi ya kujinyonga arudi na new ID tu maana sijui kama atapona! Namsubiri kwa hamu zote anaejiita PASCO!
 
Najisikia Kama 2015 chadema insignia Ikulu, watu sasa wameshajua mbivu na Mbichi ni zipi, mtaji wa ujinga sasa kwisha, tunaombea mungu mwendelee kuleta mapinduzi ya fikra, mambo ya piga makofi sasa basi, unafanya kazi you win otherwise you go! God bless you!, nilipokuwa naandika barua kwa Rais Slaa watunwalikejeli sana, lakin siyo lazima Slaa but Chadema can take the Lead of the country! Uzalendo kwanza!

kiru cha ngiki meku!unajisikia kama cdm inaingia ikulu? 2015 ikulu ni ya CDM kha...
 
Hongera sana makamanda wetu mlioko Arumeru kwa ushindi huu mnono.Hongera makamanda wetu wa Mbeya na Kirumba Mwanza kwa kufanikisha ushindi wa viti vya udiwani.Hongera watanzania wapenda mageuzi hasa wanaJF kwa sala zenu na hatimaye Mungu ametusikia.HAIKUWA RAHISI.Tunajua ilikuwa ni mapambano ya usiku na mchana,njaa na kiu,jasho na damu,mapanga na visu,kejeli na matusi.

Kwa ushindi huu...leo laleni mpumzike mkiota njozi njema za kuendelea kulikomboa taifa hili.Tutazidi kuwaombea Mungu azidi kuwatia nguvu,akiwahepusha na mapanga,visu,mundu,mishale,ngumi,mahabusu,mahakamani na risasi.Mapambano bado yanaendelea.....
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mwanakijiji unaweza kufafanua hapa kidogo? Kama CCM wameshinda kata 3 tuu inakuwaje Chadema wameshinda kwa zaidi ya kura 6000 tuu? Au CCM wamepata ushindi wa "kishindo" kwenye hizo kata 3 walizoshinda? Au walikoshinda Chadema margin ya ushindi ilikuwa ndogo sana?

Pole mkuu anamaanisha cdm wameshinda kwa tofauti ya kura zaidi ya 6000
 
Ni jambo la kumshukuru mungu, kwani alisema atatufanya kuwa vichwa tukimtegemea yeye. Furaha niliyo nayo ilinibidi nitoke nje nikaa angalia mbingu na kumshukuru sana mungu kwani ukombozi umefika kama alivyo wakomboa wana wa israel kutoka utumwani. WAKATI NDO HUU AMKA TANZANIA.
 
Niseeeeme nisiseeeeme!!!!!!!semaaaa!!!!!!!niwalambe nisiwalambeeeeee!!!! pipooooooooz pawaaaaa!!!!!!ahaaa...LOL..I wish that dumb ass lusinde was reading this now.........God bless CHADEMA and its fate in changing TZ........aluta continua CHADEMA.........

Haaaaaaa mzee wa kudadadeki kashakimbia lol
 
Hongera sana makamanda wetu mlioko Arumeru kwa ushindi huu mnono.Hongera makamanda wetu wa Mbeya na Kirumba Mwanza kwa kufanikisha ushindi wa viti vya udiwani.Hongera watanzania wapenda mageuzi hasa wanaJF kwa sala zenu na hatimaye Mungu ametusikia.HAIKUWA RAHISI.Tunajua ilikuwa ni mapambano ya usiku na mchana,njaa na kiu,jasho na damu,mapanga na visu,kejeli na matusi.

Kwa ushindi huu...leo laleni mpumzike mkiota njozi njema za kuendelea kulikomboa taifa hili.Tutazidi kuwaombea Mungu azidi kuwatia nguvu,akiwahepusha na mapanga,visu,mundu,mishale,ngumi,mahabusu,mahakamani na risasi.Mapambano bado yanaendelea.....

Hata usingizi hauji aiseee.....daaah Mungu wetu ni mwema sanaaa na ashukuriwe. Wapi papaa Lusinde?hivi anajua kuwa amechangia sana CDM kupata kura za kishindo lol
 
Kwa ushindi huu ni dhahiri kwamba cc-magamba wamefilisika kisiasa, kisera na kiushawishi kwa wananchi na hi ni indicator tosha waliyowashiwa ili kupisha ikulu mwaka 2015. TANZANIA BILA CC-MAGAMBA INAWEZEKANA, hongera viongozi na wapenzi wa CDM kwa mshikamano na uvumilivu mliouonesha katika kipindi chote cha kapeni Arumeru mashariki... CHADEMA... VEMA,TUNAJIVUNIA NGUVU YA UMMA.... KAMA BWANA (MUNGU) YU UPANDE WETU NANI ATASIMAMA KINYUME NASI...???? T2015 CDM.
 
Dr. Slaa nae amethibitisha kupitia Twitter kwamba CDM inaongoza kwa kura Arumeru, so to mean CDM is the overall winner though he used technical political term! We are leading.....
 
Huu ni mwanzo tu, uhalisia wa hali halisi ya ni 2015 au kabla ya hapo. Lazima nchi hii ikombelewe kama MALI walivyofanya. Wtamzania tuondoe woga. Tujitokeze mstari wa mbele kusema no. saa ya ukombozi iko mikononi mwetu. Kila kitu kimesha iva. \nani apulize kipenga tuelekee magogoni?
 
Mkapa kakubari? manaake wengine hawoni taabu kumwaga damu ili mradi watangazwe wameshinda
 
Back
Top Bottom