mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,947
Acha kuwa kilaza wa karne wewe, si lazima uongee kama hauna point kaa pembeni usitupotezee mda na nafasi hapa. Ukimwona mwizi anaiba unamwacha tu aibe ili uje kuongea katika jamiiforum kwamba ulimwona, go to hell! Kama uliona wakipokea rushwa ulishindwa nini kuchukua hatua hapo hapo tena ukawaumbua hata kwa picha tu. Au ndo wewe ulikuwa umetumwa kuwahonga na mwongaji mwenzako J.W.Malicela ikashindikana, sasa mnaanza kujisema wenyewe, Ahaaaaaaaaah!! Magamba bwana, mmebanwa kwelikweli. Mtaisoma!!
Huyo Kigoma Kwetu wala hajatumwa na J.W.Malecela bali hao ni mtu mmoja kwa ID tofauti. Hii hadithi ya wabunge wa CDM kupokea rushwa ililetwa na baharia baada ya kushindwa uchaguzi wa ubunge wa EA. Kaona anapata vipigo kila aleta hiyo hadith yake kaamua kuja na ID mpya ili ionekane wengi wanam-support.