Elections 2010 Chadema yaangukia pua zikiwa zimesalia dakika chache!!!

Mwafrika - huku ni wapi??

Oopppsss, nilisahau kutoa credit kwenye picha. Picha ni kwa hisani ya Safari ni Safari (member wa JF). Sina hakika sana ila inaonekana kama maeneo ya nyanda za kati (sio mbali na ziwa victoria though) ambako ccm inadai kuwa ni kambi yake ya kudumu.
 
teh teh.. endeleeni kujirisha upepo tuone kama mtashiba.:bowl:
 
masai_boma3_2.jpg

Thanks Mwafrika kwa picha. Kuna wakati nikiangalia hali hii ya maisha halafu nikaangalia jinsi ambavyo watu wanaendelea kuishabikia CCM, huwa naona bora kuhangaika na maisha yangu binafsi tu. Maana watanzania wenyewe ni wajinga, hawajitambui wala hawaoni kwamba umasikini wao umesababishwa na CCM. Katika hali hiyo kuna lipi tena la kufanya ili kuwasaidia hawa watu wanaodanganyika na tshirt na khanga. Waache waendelee kuteseka tu. Nimewaambia ndugu zangu, wanaonitegemea, kwamba wakimpigia kura Kikwete tu, wasiniombe tena hela, wamwombe huyohuyo Kikwete.
 
wakati huo huo mama salma anatumia milioni 28 kukodi hili dege la kifahari kwa matumizi ya masaa matano tu:

2241536655_540d01c2cf.jpg

.
Waalah huyu mama nyendo zake za kutumbua pesa ya walipakodi haina tofauti na ya mke wa aliyekuwa rais wa Phillipins bwana Marcoz
 
Mwafrika - huku ni wapi??

.
Haya ni makaazi ya binadamu, yaliyobahatika kupigwa picha zamani za kabla ya gharika ya Nuhu. Picha hizi zipo kwenye jumba la makumbosho na nakala zake zinapatikana pia kwenye ofisi za ccm ambapo inawezekana kuziambatanisha na picha ya mgombea wao jk kama kumbukumbu muhimu za mambo ya kale
 
duh,kazi kweli kweli aiseee!
Na kikwete kaaibika kweli leo,kijana hajawahi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa lakini kajaza watu kampeni zake zaidi ya jk,kweli mnaangukia pua mwaka huu
 
mama kweli msanii kamshikisha jk bendela bila kupenda kwa kadi feki -- Hongera Mama
 
Asante mkuu Mwafrika kwa ujumbe wa picha. Nafikiri wahusika kama akina mtu wa pwani umewaingia kisawasawa, na dhamiri zao zinawahukumu. Kwa ujumla sisiemu wanatumia pesa vibaya sana. Huyu mama si bure, kalambishwa kilo mbili za sukari na kakubali kujidhalilisha namna hii. Baada ya uchaguzi atajutia hiyo dhambi yake ya usaliti.
DR. Slaa, rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
kikwete....! THE WORSE PRESIDA EVA...!

Hahahahahahahaha mkuu. Umenikumbusha nilikuwa naangalia programu fulani BBC wakionyesha mji wa Nevada kama sikosei jamaa mmoja alipoulizwa kuhusu Obama akasema hayahaya maneno yako hapo juu.
 
mwafrika - huku ni wapi??

hapo nadhani ni geza ulole kule alikotulazimisha baba enu wa taifa tuishi!! Na ndiko huko slaa na chadema wanataka kuturudisha tena maana sera yao ni kumuenzi baba o wa taifa ambae yuko ulimwengu mwingine!!
 
mazagazaga kibao halafu unadai ni watu wa vitendo! Kwa mfano mlipokabidhiwa nchi mwaka 2005 bei ya kilo ya sukari ilikuwa shilingi 400 leo hii ni zaidi ya 1,600. Hivi ndivyo vitendo vyenu vya maisha bora kwa kila mtanzania

mbona usianzie wakati wa utawala wa mzee mwinyi ambapo sukari ilikuwa chini ya sh.200 kwa kilo!! Chadema kwa udini tu! Yaani unaanzia wakati wa mkapa ili kuonyesha kuwa jk hafai!

Sasa kama slaa ataupata urais basi ujue bei ya sukari itazidi sh.3000 kwa kilo!!!
 
Back
Top Bottom