Elections 2010 Chadema yaangukia pua zikiwa zimesalia dakika chache!!!

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
kumekucha ss si watu wa maneno ni vitendo

Monica Jimotoli.jpg

JK akipokea bendera ya CHADEMA, kutoka kwa mwenyekiti wa Wanawake wa chama hicho jimbo la Kwimba, Monika Jimotoli mara baada ya kutangaza kukihama chama hicho kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jimboni humo. Monika amehama chama hicho na wenzake 18.

sababu ya kujifonyoa kwenye Chama ati kinachojita Mbadala

Mwenyekiti wa wanawake Chadema Wilayani Kwimba Mama Monica Jimotolo, amerudisha kadi ya chama hicho na kuingia rasmi CCM.

Mama Jimotolo alieleza sababu kuu iliyomfanya kuingia CCM ni kuchoshwa kwake na siasa za chuki na uchochezi ambazo zinalenga kuvunja amani na mshikamano wa nchi yetu.

Alieleza hadhara hiyo kuwa baada ya kufanya uamuzi huo, wengine kumi na saba wameongozana naye na kusema chama hicho kimekufa wilayani hapo. Wanachama hao walikaribishwa na Mwenyekiti wa CCM taifa na kupewa kadi za Chama Cha Mapinduzi.

naam kimekufa na JK amekabidhiwa rasmi Tambara( eeh bendera) ya chama hicho

source: http://issamichuzi.blogspot.com/
 
Yale yale ya milion sitini, wenye njaa wanasahau kuwa bado hiyo siyo amani yao. Siasa ni zaidi ya dhambi na unafiki.
 
kumekucha ss si watu wa maneno ni vitendo

View attachment 15755

JK akipokea bendera ya CHADEMA, kutoka kwa mwenyekiti wa Wanawake wa chama hicho jimbo la Kwimba, Monika Jimotoli mara baada ya kutangaza kukihama chama hicho kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jimboni humo. Monika amehama chama hicho na wenzake 18.

sababu ya kujifonyoa kwenye Chama ati kinachojita Mbadala

Mwenyekiti wa wanawake Chadema Wilayani Kwimba Mama Monica Jimotolo, amerudisha kadi ya chama hicho na kuingia rasmi CCM.

Mama Jimotolo alieleza sababu kuu iliyomfanya kuingia CCM ni kuchoshwa kwake na siasa za chuki na uchochezi ambazo zinalenga kuvunja amani na mshikamano wa nchi yetu.

Alieleza hadhara hiyo kuwa baada ya kufanya uamuzi huo, wengine kumi na saba wameongozana naye na kusema chama hicho kimekufa wilayani hapo. Wanachama hao walikaribishwa na Mwenyekiti wa CCM taifa na kupewa kadi za Chama Cha Mapinduzi.

naam kimekufa na JK amekabidhiwa rasmi Tambara( eeh bendera) ya chama hicho

Mapandikizi hayo!!!
 
This is not unexpected crap from you! Pathological liar ........!
 
Hizi siasa za kununua waganga njaa zimepitwa na wakati siku hizi, kama wanaweza wawanunue wapiga kura wote wa Dr Slaa ambao si chini ya 12 million kati ya 19m waliojiandikisha.
 
wakati huo huo mama salma anatumia milioni 28 kukodi hili dege la kifahari kwa matumizi ya masaa matano tu:

2241536655_540d01c2cf.jpg
 
Amefanya jema kumpa huyo mama fedha ambazo hazitamsaidia maana ni siku tano zijazo tu anarudi kwenye umaskini wake:A S angry: Pole mama Monica kwa kujidharirisha. Makamba yuko huko anagawa fedha .:doh:
 
Jumla ya Gharama ya Picha zote hizi ...zinadhamani kubwa sana kuliko hizo nyumba...Tuwaachie watanzania waamue CCM kama hajaangukia pua itakuwa imeangukia nini?

But hiki Chama kimeshindwa kukemea ufisadi sasa ona umasikini unavyoangamiza heshima ya mwanaadamu wa Kitanzania...Msaada anaopewa...Karatasi ya picha ya Kiongozi wake...Wapi heshima ya Utu wa mtu huyo? .... Hao wanoishi hapo ni watu...si wanyama... Ni watu wanaoihitaji kuheshimiwa na kuhusishwa kwenye pato la taifa... Madini, Samaki na rasilimali...kadhaa..lakini...Picha ndio zimekuwa Rasilima na mgao wa Taifa! God Help us!
 
mmeishiwa mwenyekiti wa wilaya wa akina mama kachoka fitna na majungu ya chadema
 
Back
Top Bottom