CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,148
221,971
Taarifa hii ya Kibinadamu imetolewa na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Aman Golugwa , na kwamba Chama hicho kitaendelea na Ratiba ya Maandamano kwenye Maeneo mengine.

Tundu Lissu ndiye aliyepangwa na Chama hicho kuzindua Wiki ya Maandamano Karatu.

Screenshot_2024-04-23-21-51-00-1.png
Screenshot_2024-04-23-21-50-52-1.png
 
Ndio tulikuwa tunasema jana kwamba we note with great concern kwamba Makonda amekwenda Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Maadili na mkoa umebaki bila uongozi.

Sasa hawa watu kwa bahati nzuri hakuna mtu aliyekufa; hawa watu wana bahati katika vijiji vyao wanasafiri kwa mitumbwi?
 
Mvua ya mwaka huu imekua kubwa, kama Dubai tumeona mafuriko karatu tusishangae . Maboresho ya mikondo ya maji yafanyike na kuheshimiwa
 
Mvua ya mwaka huu imekua kubwa, kama Dubai tumeona mafuriko karatu tusishangae . Maboresho ya mikondo ya maji yafanyike na kuheshimiwa
Utawezaje kuboresha mikondo ya maji kwenye ziwa Vikitoria, Tanganyika na Nyasa, yote haya yamefurika na yanabomoa majumba.
 
Mapambano hayajawahi kuogopa maji , huu tulioufanya ni ubinadamu tu .

Chadema siyo chama cha kiangazi
ubinadamu ni kufanya maandamano ya kuwaunganisha wanaKaratu waTanzania wenye mapenzi mema kuunganisha nguvu kwa hali na mali kuwasaidia wahanga wa mafuriko eneo hilo :BASED:

mna mbwelambwela tu na coded aims zenu zisizo eleweka behinde the scene, mkadhani malango yenu hayajulikani japo ni dhaifu sana na yasio na madhara wala tija yoyote kwa Taifa, politically speaking......:NoGodNo:
 
Taarifa hii ya Kibinadamu imetolewa na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Aman Golugwa , na kwamba Chama hicho kitaendelea na Ratiba ya Maandamano kwenye Maeneo mengine.

Tundu Lissu ndiye aliyepangwa na Chama hicho kuzindua Wiki ya Maandamano Karatu.

HAHAAAAA lissu kawatosa kwenda kwenye maandamano uchwara yao wamesingizia mafuriko kwani kila sehemu karatu kuna mafuriko? na hii ubinadamu mumeanza lini chadema mpaka mahirishe maandamano kwaajili ya mafuriko kama mliweza kuandamana arusha kukiwa na msiba mzito nyie ni binadamu?? niyo kama wanyama wengine tu
 
Back
Top Bottom