GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Ni hapa hapa JF watu mbali mbali walimsifu na kutoa pongezi mbali mbali kwa Meya wa jiji la Mwanza , Ndg. Josephat Manyerere, akiwamo Mh. Zitto ambae alituma salamu rasmi hapa JF kuwa wamempata meya ambaye ni kipenzi cha wananchi na mchapa kazi mahiri.
Meya huo, ameshindwa kazi mapemaaa hata hakujacha kwa wananchi wa jiji la mwanza kumzomea kwa kusema muondoe , mshushe,msaliti mkubwa huyo na hatumtakiwakati Slaa alipokuwa kwenye mkutano baada ya maandamano ya hivi karibuni jijijini humo. Kwa hili yaonyesha CHADEMA hawakuwa makini kuchuja na kufanya utafiti wa kutosha yupi anae faa kuwa meya, badala yake walikurupuka tu kwa vile jamaa ana hela zake. Na hii bila shaka aliwanunua wajumbe wa mkutano na kupitishwa. Mlingangania mmeshindwa waacheni wenye uzoefu na kuongoza wawaongoze, na hao si wengine ni CCM.
Source : Mwananchi 26th Feb,2011 pg 14