CHADEMA ya ngoswe muachieni ngoswe mwenyewe !

Nilikuwa najiuliza kuna tofauti gani kati ya Gaddafi na CCM? sasa nimepata jibu kuwa wote ni wamoja. Kwa kuwa wote wanatumia mbinu moja nayo ni ku-hire MERCENARIES Japo Gaddafi yeye anawatumia kuua raia wake, CCM wanawatumia kuzomeazomea kwenye mikutano ya CHADEMA
Duh babu hapo umechemsha!
 
Ni hapa hapa JF watu mbali mbali walimsifu na kutoa pongezi mbali mbali kwa Meya wa jiji la Mwanza , Ndg. Josephat Manyerere, akiwamo Mh. Zitto ambae alituma salamu rasmi hapa JF kuwa wamempata meya ambaye ni kipenzi cha wananchi na mchapa kazi mahiri.

Meya huo, ameshindwa kazi mapemaaa hata hakujacha kwa wananchi wa jiji la mwanza kumzomea kwa kusema ‘ muondoe , mshushe,msaliti mkubwa huyo na hatumtaki’wakati Slaa alipokuwa kwenye mkutano baada ya maandamano ya hivi karibuni jijijini humo. Kwa hili yaonyesha CHADEMA hawakuwa makini kuchuja na kufanya utafiti wa kutosha yupi anae faa kuwa meya, badala yake walikurupuka tu kwa vile jamaa ana hela zake. Na hii bila shaka aliwanunua wajumbe wa mkutano na kupitishwa. Mling’ang’ania mmeshindwa waacheni wenye uzoefu na kuongoza wawaongoze, na hao si wengine ni CCM.

Source : Mwananchi 26th Feb,2011 – pg 14

kama ameshindwa kazi ukweli wamuwajibishe!!! ila unaposema tuwaachie sisiem wazoefu hapo umetema shudu!!!
 
Back
Top Bottom