CHADEMA ya ngoswe muachieni ngoswe mwenyewe !

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Ni hapa hapa JF watu mbali mbali walimsifu na kutoa pongezi mbali mbali kwa Meya wa jiji la Mwanza , Ndg. Josephat Manyerere, akiwamo Mh. Zitto ambae alituma salamu rasmi hapa JF kuwa wamempata meya ambaye ni kipenzi cha wananchi na mchapa kazi mahiri.

Meya huo, ameshindwa kazi mapemaaa hata hakujacha kwa wananchi wa jiji la mwanza kumzomea kwa kusema ‘ muondoe , mshushe,msaliti mkubwa huyo na hatumtaki’wakati Slaa alipokuwa kwenye mkutano baada ya maandamano ya hivi karibuni jijijini humo. Kwa hili yaonyesha CHADEMA hawakuwa makini kuchuja na kufanya utafiti wa kutosha yupi anae faa kuwa meya, badala yake walikurupuka tu kwa vile jamaa ana hela zake. Na hii bila shaka aliwanunua wajumbe wa mkutano na kupitishwa. Mling’ang’ania mmeshindwa waacheni wenye uzoefu na kuongoza wawaongoze, na hao si wengine ni CCM.

Source : Mwananchi 26th Feb,2011 – pg 14
 
Mh, nimepita tu nawahi kugombania daladala...nitarudi nikishafika gongo la mboto.
 
Ni hapa hapa JF watu mbali mbali walimsifu na kutoa pongezi mbali mbali kwa Meya wa jiji la Mwanza , Ndg. Josephat Manyerere, akiwamo Mh. Zitto ambae alituma salamu rasmi hapa JF kuwa wamempata meya ambaye ni kipenzi cha wananchi na mchapa kazi mahiri.

Meya huo, ameshindwa kazi mapemaaa hata hakujacha kwa wananchi wa jiji la mwanza kumzomea kwa kusema ' muondoe , mshushe,msaliti mkubwa huyo na hatumtaki'wakati Slaa alipokuwa kwenye mkutano baada ya maandamano ya hivi karibuni jijijini humo. Kwa hili yaonyesha CHADEMA hawakuwa makini kuchuja na kufanya utafiti wa kutosha yupi anae faa kuwa meya, badala yake walikurupuka tu kwa vile jamaa ana hela zake. Na hii bila shaka aliwanunua wajumbe wa mkutano na kupitishwa. Mling'ang'ania mmeshindwa waacheni wenye uzoefu na kuongoza wawaongoze, na hao si wengine ni CCM.

Source : Mwananchi 26th Feb,2011 – pg 14
Huko Chadema taratibu ulofa wake utaonekana...
 
Hahahahahahah Shem unamajibu sana wewe! Ana kadi ya kijani yenye nembo ya jembe na nyundo!
Kwa kelele zinazopigwa hapa JF, hapana shaka Manyerere, ameitia aibu kubwa Chadema, zaidi ni wazi kuwa ameshindwa kabisa kuweka mikakati kwa wamachinga wa Jiji la Mwanza. Asione tabu kutafuta washauri hata kama wapo nje ya Chadema! Kwani lengo ni kuondoa kero tu za wananchi!

Na kuna mwingine ameshaanza kuropoka kuhusu wanamuziki, Sasa siasa za taarabu na mipasho zinahamia chadema?
 
Nadhani mchezo ni ule ule mkurugenzi wa manispaa ya mwanza aakwamisha kila kitu ili chdema waonekane wameshindwa kazi hilo ni angalizo kwa halmashauri zingine zinazoongozwa na chadema. Hayo ya kukwamisha yalishatokea hata karatu wanajua michezo yenu
 
Kwa taarifa yako, Mkurugenzi ni mtendaji tu kwa Meya na Madiwani!
 
meya si anashirikiana na baraza la madiwani? Basi halamshauri nzima imeshindwa maana yeye si dictator wala monarch. ni mipango ya Baraza zima.
 
Ni hapa hapa JF watu mbali mbali walimsifu na kutoa pongezi mbali mbali kwa Meya wa jiji la Mwanza , Ndg. Josephat Manyerere, akiwamo Mh. Zitto ambae alituma salamu rasmi hapa JF kuwa wamempata meya ambaye ni kipenzi cha wananchi na mchapa kazi mahiri.

Meya huo, ameshindwa kazi mapemaaa hata hakujacha kwa wananchi wa jiji la mwanza kumzomea kwa kusema ' muondoe , mshushe,msaliti mkubwa huyo na hatumtaki'wakati Slaa alipokuwa kwenye mkutano baada ya maandamano ya hivi karibuni jijijini humo. Kwa hili yaonyesha CHADEMA hawakuwa makini kuchuja na kufanya utafiti wa kutosha yupi anae faa kuwa meya, badala yake walikurupuka tu kwa vile jamaa ana hela zake. Na hii bila shaka aliwanunua wajumbe wa mkutano na kupitishwa. Mling'ang'ania mmeshindwa waacheni wenye uzoefu na kuongoza wawaongoze, na hao si wengine ni CCM.

Source : Mwananchi 26th Feb,2011 – pg 14

Nilikuwa najiuliza kuna tofauti gani kati ya Gaddafi na CCM? sasa nimepata jibu kuwa wote ni wamoja. Kwa kuwa wote wanatumia mbinu moja nayo ni ku-hire MERCENARIES Japo Gaddafi yeye anawatumia kuua raia wake, CCM wanawatumia kuzomeazomea kwenye mikutano ya CHADEMA
 
Haaaa haaaa haaaa...! Mmeshanza visingizio sio!
 
tatizo hapo si manyerere, kwa mtizamo wangu mimi tatizo ni wenje pamoja na ccm, kwa nini nasema hivyo? Kabla ya uchaguzi kukaribia wamachinga walikuwa wakifanya biashara katika maeneo husika waliyopangiwa, uchaguzi ulipokaribia ccm wakawaachia wamachinga kuzurura hovyo kwa nia ya kupata kura, Wenje akawasapoti kwa kusema akishinda hawatasumbuliwa, baada ya uchaguzi kwisha mkurugenzi wa jiji pamoja na manyerere wakataka kuwaondoa wamachinga mjini ili hali ya usafi irudi kama ilivyokuwa kabla ya uchaguzi, sera ya chadema ilikuwa ni kuwabakiza wamachinga mjini na wamefanikiwa, sera ya ccm, mkurugenzi wa jiji na meya ilikuwa ni kuwaondoa ambayo imeshindwa, Hapa Wenje anawaongoza watu kuvunja sheria za jiji kwa kisingizio cha watu kujitafutia riziki, manyerere akitaka kusimamia sheria anakutana n aupinzani wa wenje hivyo kaamua kutulia kuangalia utaratibu mwingine
 
Ni hapa hapa JF watu mbali mbali walimsifu na kutoa pongezi mbali mbali kwa Meya wa jiji la Mwanza , Ndg. Josephat Manyerere, akiwamo Mh. Zitto ambae alituma salamu rasmi hapa JF kuwa wamempata meya ambaye ni kipenzi cha wananchi na mchapa kazi mahiri.

Meya huo, ameshindwa kazi mapemaaa hata hakujacha kwa wananchi wa jiji la mwanza kumzomea kwa kusema ' muondoe , mshushe,msaliti mkubwa huyo na hatumtaki'wakati Slaa alipokuwa kwenye mkutano baada ya maandamano ya hivi karibuni jijijini humo. Kwa hili yaonyesha CHADEMA hawakuwa makini kuchuja na kufanya utafiti wa kutosha yupi anae faa kuwa meya, badala yake walikurupuka tu kwa vile jamaa ana hela zake. Na hii bila shaka aliwanunua wajumbe wa mkutano na kupitishwa. Mling'ang'ania mmeshindwa waacheni wenye uzoefu na kuongoza wawaongoze, na hao si wengine ni CCM.

Source : Mwananchi 26th Feb,2011 – pg 14

Mgando wewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom