Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
Siku ya jumamosi tarehe 26 March ilikua na hekaheka za kufanyika kwa College Baraza,College ya Social Science and Humanity! Kabla ya Baraza hilo kulikua na maandalizi ya Wafuasi wa CHADEMA hapa UDOM kuhamasisha mgomo usio na kikomo kwa mambo matatu:
1.Kuandamana kudai katiba Mpya
2.Kumkataa Profesa Mlacha (DVC Finance and Administration)
3.Kukataa Wanafunzi wa humanity kuhamia kwenye mabweni yao yaliyojengwa kwa madai kuwa hakuna huduma bora!
Mheshimiwa Tundu Lissu(MB) alifika hapa dodoma siku ya Jumatano kwa ajiri ya kuongea na wanaharakati wa CHADEMA kuhusu maandalizi hayo,kikao cha kwanza kilfanyikia mjini Nam Hotel kikiwa na Vijana 20 wa Udom. Kikao kingine kilifanyikia eneo la Makulu ambalo liko karibu na Chuo. Kikao hicho hakikuhudhuliwa na Mh Lissu siku ya Ijumaa bali alikuja Mtu mmoja alie jitambulishakuwa anatoka makao makuu ya CHADEMA dar es salam pamoja na Lecturer mmoja ambae ni kiongozi wa UDOMASA.
Mheshimiwa Lissu alikutana na Bwana Singo Rais wa College ya Social Science kumwambia umhimu wa mgomo huo na kwamba lazima ajue kuna maisha baada ya Chuo.
Mheshimwa Lissu alitoa Shilingi Milion 3 kwa ajili ya vijana kufanya kazi,ugomvi mkubwa ulianzia hapa baada ya baadhi yao kusema mgawo wa pesa utafanyika baaada ya siku ya pili ya mgomo! Siri yote ilivuja kwani kulibandikwa matangazo kila kona ya college yenye ujumbe TUMEKUJA KUSOMA SIO KUFANYA SIASA,CHADEMA ACHENI TUSOME,na jingine lilisema PEOPLES POWER INATUHARIBIA CHUO,UDOM SIO CHUO CHA KUFUNDISHA MIGOMO!
Siku ya Baraza kulikua na vituko kwani kabla ya Rais Kuanza kuongea watu wakaanza kuimba hatutaki mgomo wa kisiasa! Na mwisho wa Baraza mambo yakawa magumu kufikia maamuzi ya kugoma!