CHADEMA waweweseka na mkutano wa CCM JANGWANI, na sasa Rukwa na Katavi

Siamini na ngumu sana kuamini kuwa chama hiki kinachojiita kikuu cha upinzani nchini kimeteswa na sana na mkutano wa ccm Jangwani kiasi kwamba kila wakiongea hawaachi kuutaja mkutano ule, ambao ni kichaa tu atapinga kuwa ulifunika mbovu.
Sasa mapigo hayo yamehamia Sumbawanga, ambapo jana kwa hakika CCM imefanya kile kilichokosekana kwa muda mrefu sana. Kimetatua kero papo kwa papo ambazo kwa kweli zilikuwa zinakera sana Rukwa. Na mtaani kila mtu anakiri sasa kuwa CCM kwa mwendo huu vyama vya upinzwni vilie tu, wako mbali sana CCM.

Ushabiki kweli siyo mzuri!!! Kwa hiyo Malima kuzomewa sumbawanga jana ndiko ambako kunawafanya CDM Kuchanganyikiwa na ccm? Acha ushabiki wa kijinga, leo wanakuja nyumbani, nyumbani ambako cdm inaongoza jimbo kwa mwaka wa saba sasa, na hapa ndiyo nyumbani kwa Pinda, tumemzomea mara kadhaaa kwa kuiponda CDM na Mbunge wetu Arf, kama hao akina Mwigulu hawana tahadhari, hii ndiyo mpanda, mkutano unaweza usiishe, wawe waangalifu na wawe makini sana. Wakiongea ujinga, hatuogopagi polisi, tutawaporomoshea matusi hadi wahame mji!!!! Hakuna kitu hatukipendi Hapa Mpanda kama CCM na wafuasi wake! Tunawakaribisha, lakini wawe na NIDHANI katika kuongea.
 
wametatua kero?wamegawa khanga na t-shirt plus kofia ngapi na usisahau kutujuza kama watu wamefinya ubwabwa
 
Siamini na ngumu sana kuamini kuwa chama hiki kinachojiita kikuu cha upinzani nchini kimeteswa na sana na mkutano wa ccm Jangwani kiasi kwamba kila wakiongea hawaachi kuutaja mkutano ule, ambao ni kichaa tu atapinga kuwa ulifunika mbovu.
Sasa mapigo hayo yamehamia Sumbawanga, ambapo jana kwa hakika CCM imefanya kile kilichokosekana kwa muda mrefu sana. Kimetatua kero papo kwa papo ambazo kwa kweli zilikuwa zinakera sana Rukwa. Na mtaani kila mtu anakiri sasa kuwa CCM kwa mwendo huu vyama vya upinzwni vilie tu, wako mbali sana CCM.

Heeeeeeeee! Dogo inataka moyo kama wa kichaa hivi kuwatetea Chadema leo! Hakika kifo cha CDM hakikwepeki! KIFO CHA CHADEMA KWASASA HAKIKWEPEKI KAMA ISIVYWEZEKANA KUZUIA JU LISICHWE!
Ili uamini kwanza unapaswa kujua chanzo cha kero ni nini, pili utatuzi wa kero sio porojo za majukwaani kwani zinahitaji utendaji dhahiri kama ujenzi wa miundo mbinu, kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma hususan waalimu na madaktari, kurejesha pesa zetu zilizoko uswis, kukusanya kodi kwenye migodi ya dhahabu na kuwakamata watuhumiwa wote wa ufisadi akiwemo Chenge na Idrisa.. ikifikia hapo ccm itapita mitaani kifua mbele lakini si kwa porojo, kajipangeni upya...

Siku zote mwenye kuweweseka ni ccm maana anachanganyikiwa mambo yatakuwa vipi pindi kikiangushwa, cdm wanachofanya ni kuongeza mwendo huku wakisaidiwa na mfumo mbovu wa ccm, mathalan taarifa ya Kova kuhusu Ulimboka hebu dadisi mitaani usikie mahakama ya umma inasema nini...!
 
Jamani msishangae hao jamaa wanaojifanya wanashambulia ukiwasema ukweli chadema ni watu wachache sana sema wamejisajiri kwa IDs tofauti tofauti ni kikundi kazi cha chadema kipo makao makuu yao kinajumuhisha vijana wakiongozwa na Mnyika kazi yao ni kuingia mitandaoni na kupotosha umma juu ya ukweli wowote na kushawishi umma kuichukia serikali ya CCM na kuiona chadema ndiyo inafaa,hawa vijana wanapewa vitendea kazi na Posho nono lengo kuudanganya umma wa watanzania kwa namna yoyote ile, ukianzisha maada yoyote inayosema ukweli juu ya chadema watakushambulia wakiona mzuri kutetea hoja yako na wao wameshindwa wataanza kukuudhi kwa namna yoyote ile kukukejeli,kukutukana ,kukufedhehesha ili ukasirike na we uwajibu jeuri wawaambie MODs waifute maada yako na wewe upigwe Ban na wala usishangae MODs wanaweza wakakufanyia hivyo si unajua fitina! Hao vijana wanapata training kwa kazi hiyo ya kipuuzi!
 
Siamini na ngumu sana kuamini kuwa chama hiki kinachojiita kikuu cha upinzani nchini kimeteswa na sana na mkutano wa ccm Jangwani kiasi kwamba kila wakiongea hawaachi kuutaja mkutano ule, ambao ni kichaa tu atapinga kuwa ulifunika mbovu.
Sasa mapigo hayo yamehamia Sumbawanga, ambapo jana kwa hakika CCM imefanya kile kilichokosekana kwa muda mrefu sana. Kimetatua kero papo kwa papo ambazo kwa kweli zilikuwa zinakera sana Rukwa. Na mtaani kila mtu anakiri sasa kuwa CCM kwa mwendo huu vyama vya upinzwni vilie tu, wako mbali sana CCM.

je siku ya mkutano huo ulimsikiliza vizuri Wassira gombe na Magufuli mzee wa kukariri? common sense is not always common, nimekuelewa.
 
Ili uamini kwanza unapaswa kujua chanzo cha kero ni nini, pili utatuzi wa kero sio porojo za majukwaani kwani zinahitaji utendaji dhahiri kama ujenzi wa miundo mbinu, kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma hususan waalimu na madaktari, kurejesha pesa zetu zilizoko uswis, kukusanya kodi kwenye migodi ya dhahabu na kuwakamata watuhumiwa wote wa ufisadi akiwemo Chenge na Idrisa.. ikifikia hapo ccm itapita mitaani kifua mbele lakini si kwa porojo, kajipangeni upya...

Siku zote mwenye kuweweseka ni ccm maana anachanganyikiwa mambo yatakuwa vipi pindi kikiangushwa, cdm wanachofanya ni kuongeza mwendo huku wakisaidiwa na mfumo mbovu wa ccm, mathalan taarifa ya Kova kuhusu Ulimboka hebu dadisi mitaani usikie mahakama ya umma inasema nini...!

Wewe ni kijana mdogo huwezi jua kitu kama ni mtu mzima unajichetua na kujifanya kichaa,ebu waulize wazazi wako wakiwemo viongozi wa chadema tumepata uhuru hii nchi ilikuwaje je ilikuwa hivi ilivyo sasa kwenye masuala ya miundombinu,shule,vyuo,mahospitali,mawasiliano na ta uvaaji wetu na mambo mengine mengi ambayo wewe unayaona na kuyasikia ila unajichetua ! Mashabiki wa Chadema naomba mnijibu swali langu lifuatalo Taja jina la jimbo liongozwalo na chadema, jina la mbunge wake,ahadi alizotoa wakati wa uchaguzi mwaka 2010 na ahadi alizozitekeleza mpaka sasa? mkishindwa kujibu swali hilo ujue wananchi huku mitaani ndivyo waliuzavyo vinginevyo chaguzi zijazo mmepoteza majimbo yote kwa kuwa mlihaidi mmeshindwa kutekeleza ahadi zenu watu wameschoshwa na porojo zenu,hiyo ndiyo chadema porojo nyingi na maneno mengi utekelezaji zero!
 
Miaka 50 toka uhuru bado unakimbizana na kivuli cha cdm ya juzi tu? Na mpaka mzimalize kero zoooooote mlizozianzisha nyie wenyewe kwa kushabikia chama badala ya kero za wananchi

shame on u ccm

Shame on u CHADEMA kwa kuchochea fujo,migomo na maandamano kwa wanafunzi vyuoni,madaktari na walimu ili wananchi waichukie CCM na serikali yake na nchi isitawalike kwa uroho wenu na tamaa yenu ya madaraka lengo lenu ni kuvuruga Amani,Umoja na Mshikamano wa watanzania hamfahi ata kidogo kupewa madaraka ni chama cha kindugu,kijamaa,kirafiki kidini na kikabila na uzuri wake watanzani wameshawajua uchaguzi ukifika imekula kwenu mnapandikiza chuki na kupotosha watanzania bila kujali utaifa mmeweka tamaa mbele juu ya rasirimali za watanzania!
 
Siamini na ngumu sana kuamini kuwa chama hiki kinachojiita kikuu cha upinzani nchini kimeteswa na sana na mkutano wa ccm Jangwani kiasi kwamba kila wakiongea hawaachi kuutaja mkutano ule, ambao ni kichaa tu atapinga kuwa ulifunika mbovu.
Sasa mapigo hayo yamehamia Sumbawanga, ambapo jana kwa hakika CCM imefanya kile kilichokosekana kwa muda mrefu sana. Kimetatua kero papo kwa papo ambazo kwa kweli zilikuwa zinakera sana Rukwa. Na mtaani kila mtu anakiri sasa kuwa CCM kwa mwendo huu vyama vya upinzwni vilie tu, wako mbali sana CCM.

Tupe chanzo cha habari acha kutokwa na povu lisilokua na tija kwa wachangia hoja. :yawn:
 
Wewe ni kijana mdogo huwezi jua kitu kama ni mtu mzima unajichetua na kujifanya kichaa,ebu waulize wazazi wako wakiwemo viongozi wa chadema tumepata uhuru hii nchi ilikuwaje je ilikuwa hivi ilivyo sasa kwenye masuala ya miundombinu,shule,vyuo,mahospitali,mawasiliano na ta uvaaji wetu na mambo mengine mengi ambayo wewe unayaona na kuyasikia ila unajichetua ! Mashabiki wa Chadema naomba mnijibu swali langu lifuatalo Taja jina la jimbo liongozwalo na chadema, jina la mbunge wake,ahadi alizotoa wakati wa uchaguzi mwaka 2010 na ahadi alizozitekeleza mpaka sasa? mkishindwa kujibu swali hilo ujue wananchi huku mitaani ndivyo waliuzavyo vinginevyo chaguzi zijazo mmepoteza majimbo yote kwa kuwa mlihaidi mmeshindwa kutekeleza ahadi zenu watu wameschoshwa na porojo zenu,hiyo ndiyo chadema porojo nyingi na maneno mengi utekelezaji zero!
Hapo kwenye bold hapo vaa kiatu hicho kwa upande wa ccm halafu uje tena.. pia usiangalie tu wabunge angalia na ahadi za rais kisha uje tena kuitetea. Ulivyo ***** hunijui unaniita kijana mdogo kimsingi jazba haziwezi kutukwamua hapa tulipo. Wizi wa pesa za serikali, mikataba ya ki-mangungo, siasa za udini, misamaha ya kodi isiyo na tija wakati tunatembeza bakuli kwa wageni nk. yote haya ni chini ya serikali ya ccm sio chadema wala cuf au wapinzani kwa ujumla.

Unataka kufanya ulinganifu wa wakati wa uhuru na sasa katika sekta za miundo mbinu, elimu, mawasiliano nk bila kukumbuka kufanya ulinganifu wa uvunaji wa rasilimali wakati wa uhuru na sasa! Kameze panadol labda utazinduka maana naona kifikra umeganda.. watanzania wa sasa sio wale wa wakati ule..!
 
Tujadili mambo ya msingi sio matusi ya nguoni.... CDM haina haja ya kuogopa CCM kwa sababu CCM tayari wapo serikalini siku zote na kwa hali halisi ilivyo kila sehemu CCM imechokwa na asilimia kubwa ya watu. Kwa mtu anaekaa na watu wa CCM muda wote hawez kujua hili ila kwa wale wanaojichanganya na watu wa aina tofauti wanajua hili. CCM haina sababu ya kujisifu kwa kuizidi CDM kujaza watu kwenye mapokezi au mikutano ya hadhara.
 
kero gani ambazo mmetatua hapo sumbawanga,zitaje,make iringa ulikuja ukaagiza barabara ya magereza ifunguliwe na hadi leo haija funguliwa.kwanza barabara ya magereza haikuwa kero ya wanairinga.kama na huko mmetatua kero ambazo siyo kero za wanarukwa imekula kwenu.
 
Back
Top Bottom