CHADEMA wasusia msiba wa mzee Musobi Mageni Musobi

mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu! Wiki iliyopita wana cdm walijifanya kumlaumu sana nape kwenda kwenye msiba na kuwapa pole ndugu wa marehemu huku akiwa na ratiba ya kikazi.sasa msiba wa baba wa mbunge wao wenyewe wanasema wako katika operesheni okoa kusini (okoa nchi) ina maana cdm wote wako kusini?acheni ubaguzi nyie angekuwa baba wa mbunge wa kaskazini si wote wangejaa?
wana cdm tukikaa kimya mtatuona wajinga kama mlivyo ninyi nyote mnaotaka kuiaminisha jamii upumbavu wenu joseph selathini alipata ajali ya gari na akafiwa mama yake mzazi ulimuona nani amekatiza ziara na kwenda kwenye mazishi ya mama yake mbunge wa rombo? Kama huna cha kusema ni bora kukaa kimya halafu wajinga wote mnaotaka kutuambia cdm ni ya kaskazini acheni upumbavu huo ni wajinga kama nyie ndiyo wanaweza kuamini ujinga huo hivi cdm mlitaka kianzie kwa baba zenu au vyumbani mwenu au wapi ndipo kiwe halali kwenu? Hizo dini zetu pia zilianzia ulaya na uarabuni mbona hakuna anayesema ni dini za weupe na badala yake waafrica ndiyo wengi zaidi kwenye hizo dini kuliko hata waliozileta?

Kifupi naomba muelewe wajinga wote mliotumwa kuhadaa watu, kuwa kila kitu lazima kiwe na mwanzo bila kujali mwanzo huo ni kusini kaskazini mashariki au magharibi kama zilivyo dini zenu zilianzia ulaya na uarabuni ndipo zikafika africa na cdm ni hivyo kaeni kimya watu wapo kazini na siyo kijiweni kuandika majungu mmeshachelewa ndege iko angani.
 
Chama cha Chadema,ambacho mara zote kimekuwa Kikijipambanua Kuwa ni Chama Makini na mtetezi wa Kweli wa Wanyonge,Kimeshindwa Kutuma Muwakilishi katika Msiba na Mazishi ya Baba Wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Letisia Musobi (Leticia Nyerere)

Pamoja na Chama cha CUF Kuwakilishwa na M/Kiti wa sasa Prof.Lipumba, Makamu Mwenyekiti Mhe. Machano Hamis Ali,Katibu Mkuu,Maalim Seif Sharif Hamad,Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi Mhe. Abdul Kambaya, Mbunge Viti Maalum Mhe. Magdalena Sakaya,Wajumbe wa Baraza KUU La Uongozi Kadhaa na Viongozi wa Wilaya za Kanda ya Ziwa,

Ajabu ni kwa Chadema ambao Pamoja na kuwa Mzee Musobi Mageni amewahi kushika Nyadhifa kadhaa za Kiserikali Kama Uwaziri,Ubunge na Ukuu wa Wilaya Kadhaa,Mwenyekiti wa Chama Cha Siasa Mstaafu,lakini Kwao wao Chadema Alikuwa Ni Baba wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Mhe.Letisia Nyerere.

Hata hili pia Chadema wameshindwa Kulithamini? Je ni chuki zao na CUF au ni kwa Kuwa LETICIA SI WA KASKAZINI Ndo maana hawajaupa Umuhimu Msiba Huu!?

wana cdm tukikaa kimya mtatuona wajinga kama mlivyo ninyi nyote mnaotaka kuiaminisha jamii upumbavu wenu joseph selathini alipata ajali ya gari na akafiwa mama yake mzazi ulimuona nani amekatiza ziara na kwenda kwenye mazishi ya mama yake mbunge wa rombo? Kama huna cha kusema ni bora kukaa kimya halafu wajinga wote mnaotaka kutuambia cdm ni ya kaskazini acheni upumbavu huo ni wajinga kama nyie ndiyo wanaweza kuamini ujinga huo hivi cdm mlitaka kianzie kwa baba zenu au vyumbani mwenu au wapi ndipo kiwe halali kwenu? Hizo dini zetu pia zilianzia ulaya na uarabuni mbona hakuna anayesema ni dini za weupe na badala yake waafrica ndiyo wengi zaidi kwenye hizo dini kuliko hata waliozileta?

Kifupi naomba muelewe wajinga wote mliotumwa kuhadaa watu, kuwa kila kitu lazima kiwe na mwanzo bila kujali mwanzo huo ni kusini kaskazini mashariki au magharibi kama zilivyo dini zetu zilianzia ulaya na uarabuni ndipo zikafika africa na cdm ni hivyo kaeni kimya watu wapo kazini na siyo kijiweni kuandika majungu mmeshachelewa ndege iko angani.
 
mbona selasini ni wa kaskazini lakini kwenye mazishi ya mama yake oparation okoa kusini haikusimama?ukiwa na kazi ya kuishambulia cdm lazima ulale umechoka sana.haya kachukue hiyo buku yako kwa mtatiro

Wakumbushe kauli ya Mbowe: "..... Nikifa katika mapambano ya haki wekeni mwili pembeni, msonge mbele".
 
Kwa taarifa yako uongozi karibu wote wa Wilaya na Mkoa tulikuwepo. Tatizo lako unataka kumuona Zitto au Mbowe ndo useme chadema Wapo.
yaani hapa bro umesema cha maana maana mijitu mingine mibongo yao cheche kabisa anafikiri chadema ni slaa zito mboe ajui kuna watu wengi tu katika jamii ya chadema lakini nimeshaona thinking capacity yake very low si unaona alivyoorodhesha public figure za cuf? bullshi -i i -i --itii
 
Acha kujibiza na gambo ambaye uwezo wake unaishia hapo kufikiri angekuwa ana fikira nzuri angewashauli wanachama wenzake wana mikakati gani ya kuondoa umasikini wa nchi ya tanzania ambayo ni tajiri kwa maliasili.
 
sisi sio kama wale wanaofunga barabara na kupeleka mapilau kwenye misiba by the way kwenda kwenye misiba sio hobby ya CHADEMA...

Kumbe kwenda msibani ni hobby! Nimekuelewa kumbe Chadema sio hobby yenu.
 
Back
Top Bottom