CHADEMA wasusia msiba wa mzee Musobi Mageni Musobi

Chama cha Chadema,ambacho mara zote kimekuwa Kikijipambanua Kuwa ni Chama Makini na mtetezi wa Kweli wa Wanyonge,Kimeshindwa Kutuma Muwakilishi katika Msiba na Mazishi ya Baba Wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Letisia Musobi (Leticia Nyerere)

Pamoja na Chama cha CUF Kuwakilishwa na M/Kiti wa sasa Prof.Lipumba, Makamu Mwenyekiti Mhe. Machano Hamis Ali,Katibu Mkuu,Maalim Seif Sharif Hamad,Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi Mhe. Abdul Kambaya, Mbunge Viti Maalum Mhe. Magdalena Sakaya,Wajumbe wa Baraza KUU La Uongozi Kadhaa na Viongozi wa Wilaya za Kanda ya Ziwa,

Ajabu ni kwa Chadema ambao Pamoja na kuwa Mzee Musobi Mageni amewahi kushika Nyadhifa kadhaa za Kiserikali Kama Uwaziri,Ubunge na Ukuu wa Wilaya Kadhaa,Mwenyekiti wa Chama Cha Siasa Mstaafu,lakini Kwao wao Chadema Alikuwa Ni Baba wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Mhe.Letisia Nyerere.

Hata hili pia Chadema wameshindwa Kulithamini? Je ni chuki zao na CUF au ni kwa Kuwa LETICIA SI WA KASKAZINI Ndo maana hawajaupa Umuhimu Msiba Huu!?
If You can't grow.....You are busy dying.............Source: Bundewe wa JF.
 
mbona msiba wa Regia Mtema haujaja na point ya ukaskazini?.
Nyie kazi yenu ni kukaa mnaumiza kichwa ni jinsi gani muichafue chadema na kuinyong'onyesha.
Mshinde na mlegee mtetemeke muanguke chini.
siku zote wenye akili fupi kama maisha ya funza si lazima uonyeshwe, utawajua tu kwa vitendo vyao.
 
mbona selasini ni wa kaskazini lakini kwenye mazishi ya mama yake oparation okoa kusini haikusimama?ukiwa na kazi ya kuishambulia cdm lazima ulale umechoka sana.haya kachukue hiyo buku yako kwa mtatiro
 
Watanzania inatakiwa tuweke ushacik pemben 2weze ktpembua mambo na kuongelea ukweli,kama chama kiliitaj uwakilish na ule ni msiba wa kiongoz wa kitaifa
 
Chadema kwa unafiki hawajambo juzi walikuwa wanalalamika JK kashindwa kwenda kwenye misiba leo Mbunge wao kafiwa na baba yake mzazi hawakwenda unafiki ni kitu kibaya sana.
 
CDM acheni siasa za chuki; wekeni uafrika na uzalendo mbele, marehemu alikuwa kiongozi mkubwa na baba wa mbunge wenu wa viti maalum. Kama nyie ni wanadamu,OMBENI MSAMAHA kwa CUF
 
mbona selasini ni wa kaskazini lakini kwenye mazishi ya mama yake oparation okoa kusini haikusimama?ukiwa na kazi ya kuishambulia cdm lazima ulale umechoka sana.haya kachukue hiyo buku yako kwa mtatiro

Acha hizo; mama wa selasini hakuwa na wadhifa wowote kitaifa. Hapo mmelikoroga, ombeni msamaha mtaeleweka machoni mwa wazalendo wa nchi hii
 
Chama cha Chadema,ambacho mara zote kimekuwa Kikijipambanua Kuwa ni Chama Makini na mtetezi wa Kweli wa Wanyonge,Kimeshindwa Kutuma Muwakilishi katika Msiba na Mazishi ya Baba Wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Letisia Musobi (Leticia Nyerere)

Pamoja na Chama cha CUF Kuwakilishwa na M/Kiti wa sasa Prof.Lipumba, Makamu Mwenyekiti Mhe. Machano Hamis Ali,Katibu Mkuu,Maalim Seif Sharif Hamad,Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi Mhe. Abdul Kambaya, Mbunge Viti Maalum Mhe. Magdalena Sakaya,Wajumbe wa Baraza KUU La Uongozi Kadhaa na Viongozi wa Wilaya za Kanda ya Ziwa,

Ajabu ni kwa Chadema ambao Pamoja na kuwa Mzee Musobi Mageni amewahi kushika Nyadhifa kadhaa za Kiserikali Kama Uwaziri,Ubunge na Ukuu wa Wilaya Kadhaa,Mwenyekiti wa Chama Cha Siasa Mstaafu,lakini Kwao wao Chadema Alikuwa Ni Baba wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Mhe.Letisia Nyerere.

Hata hili pia Chadema wameshindwa Kulithamini? Je ni chuki zao na CUF au ni kwa Kuwa LETICIA SI WA KASKAZINI Ndo maana hawajaupa Umuhimu Msiba Huu!?

Waache wafu wawazike wafu wenzao!
 
Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchungu! Wiki iliyopita wana CDM walijifanya kumlaumu sana Nape kwenda kwenye msiba na kuwapa pole ndugu wa marehemu huku akiwa na ratiba ya kikazi.Sasa msiba wa baba wa mbunge wao wenyewe wanasema wako katika Operesheni Okoa Kusini (okoa nchi) ina maana CDM wote wako kusini?Acheni ubaguzi nyie angekuwa baba wa mbunge wa Kaskazini si wote wangejaa?

unaposema mbunge wa kaskazini unamaanisha nani? Mh. Selasini kapata ajali na hajatoka hospitali. Mama mkwe na mama mzazi wamefariki na kuzikwa, makamanda wapo kusini. Sasa sijui wa kaskazini ni nani hasa! Au Rombo ipo kanda ya ziwa!?
 
Hivi baada ya roho kukutoka unadhamani gani dhidi ya walio hai?
 
kama CUF mmepata mda wa kwenda msibani tunashukuru.Chadema kitaenda kwa mda wake au shida yenu kukutana na chadema msibani.?
 
Acha hizo; mama wa selasini hakuwa na wadhifa wowote kitaifa. Hapo mmelikoroga, ombeni msamaha mtaeleweka machoni mwa wazalendo wa nchi hii

kwa hiyo huyo baba'ake Leticia alikuwa na wadhifa gani kitaifa hadi cdm wasitishe ratiba iliyogharamiwa na wananchi!? Kama alikuwa mkuu wa mkoa au wilaya zamani si angeenda PM? Kama alikuwa waziri si angeenda rais? Kama alikuwa kiongozi cuf si viongozi wake wameenda? Maana hizo ndio taasisi zilizomteua. Kwani alishawahi kuwa hata mwanachama wa cdm? Kila mtu anaenda kwenye msiba kutokana na alivyoguswa! Inawezekana walikuwepo viongozi wa cdm lakini hawakwenda kuuza sura! Chama kinafahamu kufiwa kwa wabunge wao na wanajua ni namna gani ya kuwasilisha pole kwao. Ulitaka watangaze?
Peleka ujinga wako kwenu! This is too low for gt!
 
kama CUF mmepata mda wa kwenda msibani tunashukuru.Chadema kitaenda kwa mda wake au shida yenu kukutana na chadema msibani.?

Kweli vidole havilingani. Naona CDM mnapambana na serikali manake ujumbe wa CUF uliwasili hapa Mwanza na ndege ya serikali. Protokali ilizingatiwa kabisa manake alianza kushuka Maalim Seif, akafuata mjumbe mwingine kutoka SMZ, ndipo akafuata Mwenyekiti taifa wa CUF profesa I.H. Lipumba. zaidi ya hapo wakafuata kama wapemba watatu hivi waliofuga ndevu na mwishowe wanachama wengine wa CUF. walipokelewa na Serikali ya mkoa. si unajua tena makamu wa kwanza wa SMZ ni kiongozi wa serikali japo sijamuona kwenye katiba ya JMT. Sasa CDM sijui mngepata wapi ndege ya kuleta ujumbe wote huo huku mwanza. Kwa kuwakilishwa na uongozi wa mkoa nimeanza kuamini mtatumia vizuri kodi yangu.
 
Chama cha Chadema,ambacho mara zote kimekuwa Kikijipambanua Kuwa ni Chama Makini na mtetezi wa Kweli wa Wanyonge,Kimeshindwa Kutuma Muwakilishi katika Msiba na Mazishi ya Baba Wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Letisia Musobi (Leticia Nyerere)

Pamoja na Chama cha CUF Kuwakilishwa na M/Kiti wa sasa Prof.Lipumba, Makamu Mwenyekiti Mhe. Machano Hamis Ali,Katibu Mkuu,Maalim Seif Sharif Hamad,Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi Mhe. Abdul Kambaya, Mbunge Viti Maalum Mhe. Magdalena Sakaya,Wajumbe wa Baraza KUU La Uongozi Kadhaa na Viongozi wa Wilaya za Kanda ya Ziwa,

Ajabu ni kwa Chadema ambao Pamoja na kuwa Mzee Musobi Mageni amewahi kushika Nyadhifa kadhaa za Kiserikali Kama Uwaziri,Ubunge na Ukuu wa Wilaya Kadhaa,Mwenyekiti wa Chama Cha Siasa Mstaafu,lakini Kwao wao Chadema Alikuwa Ni Baba wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Mhe.Letisia Nyerere.

Hata hili pia Chadema wameshindwa Kulithamini? Je ni chuki zao na CUF au ni kwa Kuwa LETICIA SI WA KASKAZINI Ndo maana hawajaupa Umuhimu Msiba Huu!?
Unawajua wahudhuriaji wote waliokuwepo hapo mazishini?
Since mmeua kile kitengo chenu cha propaganda mmekuwa wabovu wa propaganda ili hali sera ziliwaishia kitambo sana.
 
Chama cha Chadema,ambacho mara zote kimekuwa Kikijipambanua Kuwa ni Chama Makini na mtetezi wa Kweli wa Wanyonge,Kimeshindwa Kutuma Muwakilishi katika Msiba na Mazishi ya Baba Wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Letisia Musobi (Leticia Nyerere)

Pamoja na Chama cha CUF Kuwakilishwa na M/Kiti wa sasa Prof.Lipumba, Makamu Mwenyekiti Mhe. Machano Hamis Ali,Katibu Mkuu,Maalim Seif Sharif Hamad,Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi Mhe. Abdul Kambaya, Mbunge Viti Maalum Mhe. Magdalena Sakaya,Wajumbe wa Baraza KUU La Uongozi Kadhaa na Viongozi wa Wilaya za Kanda ya Ziwa,

Ajabu ni kwa Chadema ambao Pamoja na kuwa Mzee Musobi Mageni amewahi kushika Nyadhifa kadhaa za Kiserikali Kama Uwaziri,Ubunge na Ukuu wa Wilaya Kadhaa,Mwenyekiti wa Chama Cha Siasa Mstaafu,lakini Kwao wao Chadema Alikuwa Ni Baba wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Mhe.Letisia Nyerere.

Hata hili pia Chadema wameshindwa Kulithamini? Je ni chuki zao na CUF au ni kwa Kuwa LETICIA SI WA KASKAZINI Ndo maana hawajaupa Umuhimu Msiba Huu!?

Mbona mpenda misiba JK ajaenda!!! au kunya anye kuku akinya bata! (op)
 
Hivi watu wengine wana akili kweli yaani unamkuta mtu anapoteza muda wake kuandika vitu vya kijinga kama hivi na isitoshe tena anaendekeza mambo ya ukanda hivi watu kama hawa wataelimika lini??Sasa basi mnataka kila siku kukitokea msiba basi Chadema watoe maoni hivi wewe mtoa hii mada kama babako akifariki au ndugu yako hao Cuf watakuja kwenu au CCm watakuja kwenu kwa kuwa babako au Aunt wako alikuwa member of the one of the party akifariki watakuja kwenu.Kaka unatakiwa uamke,sikutegemea kama karne hii kuna mtu kama wewe,kweli shule za kata zinazalisha watu wa ajabu sana.Kaka acha mambo ya kibaguzi
 
sisi sio kama wale wanaofunga barabara na kupeleka mapilau kwenye misiba by the way kwenda kwenye misiba sio hobby ya CHADEMA...
 
Oyaa mleta mada,
Unataka kuniambia hata "naniliu" hakwenda? Marehemu si alikuwa kama Baba mkwe wake,si nasikia Leticia ni zigo lake,ama?
 
Jamani eee, mbona Chadema wameshasema walikuwepo kwenye msiba? Mbona mnashadadia tu kusema kwamba hawakwenda wakati wameshasema walikuwepo? Nadhani mna lenu la rohoni.

Kwa taarifa yako uongozi karibu wote wa Wilaya na Mkoa tulikuwepo. Tatizo lako unataka kumuona Zitto au Mbowe ndo useme chadema Wapo.
 
Back
Top Bottom