Chadema wasipewe fedha za ruzuku zilizotokana na ubunge wa Mdee na wenzake

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,009
20,684
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.

Huwezi kula usichopanda.

Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
 
Chinembe wakati mwingine tuijadili na CCM yetu basi au kwa sababu tunakatazwa ku-challenge fikra za mwenyekiti wetu? Si unaona gharama za maisha zilivyopanda ndani ya utawala wa sisi wenyewe wala sio ACT? Anyway kama wanavyokuelezea wanazi wa CHADEMA hapo juu. Ruzuku zinatokana na uwingi wa kura za mgombea urais wa Chama husika na wala sio wabunge wa viti maalum..umeelewa eeh..
 
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.

Huwezi kula usichopanda.

Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
Leo umepangiwa thread ngapi? Maana si kwa fujo hii. Na, nadhani mmpewa mada ya covid 19 wiki hii hapo Lumumba.
 
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.

Huwezi kula usichopanda.

Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
Aisee kumbe wee ni mweupe hivi..??!
Ruzuku ya Chama chochote cha Siasa inapatikana kwa idadi ya kura alizopata mgombea wa Urais wa Chama husika na sio idadi ya wabunge.
 
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.

Huwezi kula usichopanda.

Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
Nenda kakojoe ulale,
We chawa unaishi Dunia gani?
Kawaambie CCM kukusaidie.
 
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.

Huwezi kula usichopanda.

Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
Wewe kweli kichwa maji, uliambiwa hiyo ruzuku imetokana na wabunge wa viti maalum?
 
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.

Huwezi kula usichopanda.

Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
Ndugu waonekana kuwa bado unaathiriwa na LEGACY ya kule Burigi.

Utaonyesha ukomavu na kukua kama utaacha taratibu za kisheria ndio ziseme cha kufanyika.
 
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.

Huwezi kula usichopanda.

Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
Rais alitaka kutupatia tukamwabia asante kwa ukarimu HATUZIHITAJI tunaweza kujibeba wenyewe
 
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.

Huwezi kula usichopanda.

Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
Kumbe wewe ni kilaza, ruzuku inatokana na idadi ya kura za mgombea urais, hata hizo nafasi za huo ubunge zimekokotolewa kutokana na idadi ya kura za za mgombea urais, na Chadema walishazikataa hizo hela za ruzuku
 
Kumbe wewe ni kilaza, ruzuku inatokana n na ifadi ya kura za mgombea urais,hata hizo nafasi za huo ubunge zimekokotolewa kutokana na idadi ya kura za za mgombea urais, na Chadema walishazikataa hizo hela za ruzuku
Wanazitaka
 
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.

Huwezi kula usichopanda.

Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
Wao waliikata haramu kutoka day one pamoja na kulazimishiwa kuukubali haramu,au weye ulikuwa usingizini na kupitwa na uamuzi wao huo🤔
 
Back
Top Bottom