nafikiri chadema walikuwa na madai mengine zaidi ya hilo la kuhamisha mbunge chatanda
Walikuwa na madai gani? si walisema aliyesababisha fujo ni chatanda? ama
nafikiri chadema walikuwa na madai mengine zaidi ya hilo la kuhamisha mbunge chatanda
Udhaifu wa katiba huu!
Walikuwa na madai gani? si walisema aliyesababisha fujo ni chatanda? ama
sasa kama kuna wengine ambao hawajaripoti halmashauri nyingine na taratibu zinaruhusu kuwaforward arusha, basi wapeleke zaidi kwani huyo mmoja nadhani hatatosha
hii nafikiri inashusha hadhi ya hawa wabunge wa viti maalum. inprove udhaifu mkubwa sana wa katiba
Umefikiria kweli mkulu hapa? CHADEMA wame-capitalize udhaifu wa katiba yetu.
Teh teh teh, mkuu twende taratibu.
Kwanini isiwe kuwa ccm ndo wali capitalize hiyo katiba kwa chitanda? Na nini chazo hadi chadema kujitoa ktk kikao cha mwanzo ambacho kilipelekea ccm kuchagua diwani? namomba tuelezane tu taratibu mkuu.
Ilikuwa ni tko ya siasa za majitaka. Ndo maana na wao wamejifunza namna ya kuzicheza. Hoja yangu ni kuwa they ought to know how to play and the rules thereto.Sasa rafu iliyochezwa uliitegemea wewe? Kikao kuangalia wenzao wako nje wanashauriana halafu ipigwe kura ghafla na kutangazwa Meya?? Ahh tafadhali ChiefmTZ!
jino kwa jino
jino kwa jino
Ukizijua sheria kunanoga. Baada ya makamba kuleta utetezi uchwara kuwa chatanda kaenda arusha coz hajaripoti alimashauri yoyote,Tundu Lissu na Marando wakacheka sana,wakasemezana,"mbona na cdm tunao ambao wako free"wakamwambia Maulda afike Arusha. Mkwere amechukia sana,akahaidi akitoka safari atafika anateua wabunge 5,waungane na akina Zakia Meghji watimie8 kati ya 10 ambao katiba inamruhusu kuteua ,na ameamua kuwapeleka Arusha wote. Hapa mchezo utakuwa mgumu zaidi. Kama riwaya vile?
CHADEMA are good in squaring the differences! In that case its our constitution to be sodomized.....!
Ilikuwa ni tko ya siasa za majitaka. Ndo maana na wao wamejifunza namna ya kuzicheza. Hoja yangu ni kuwa they ought to know how to play and the rules thereto.
cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha
My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa
he, wabunge wanahamishwa siku hizi? hahaha. huko tuendako, sipati picha mie
Sio kuhamishwa Judith. Huyo ni mbunge wa viti maalum ambaye kikanuni anapaswa kusimama ktk halmashauri km mjumbe. CDM wamemsimamisha mama Komu kuwa mjumbe halmashauri ya Arusha.