CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

superfisadi

JF-Expert Member
May 22, 2009
553
52
cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha
Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo.

Soc. tanzania daima

My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa
 
Good news but walitakiwa ku speculate that in the first place kwani CCM wanaroho ngumu kama ya paka, hawafi kwa runge la kitoto wana roho saba,
 
he, wabunge wanahamishwa siku hizi? hahaha. huko tuendako, sipati picha mie
 
Udhaifu wa katiba huu!

Hivi Rev. Tanzania tunayo Katiba? Nitakuwa sikosei kabisa nikisema tuliyonayo si Katiba ya Taifa letu la Tanzania bali ni itikadi ya chama kimoja iliyobatizwa na watu wasiojua maana ya demokrasia wakaiita katiba.
 
Mh. Itafika siku Transfer za wabunge zitakua Kama transfer za waalimu, Jamaa hawa wanaifinyanga sana nchi na akili za watanzania!
 
cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo. Soc. tanzania daima My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa
Kwa nini wasingefanya hayo hadi watu wamepoteza maisha ndo wanakumbuka shuka. Siasa za kifisadi hizo na tunashindwa kuwatofautisha na CCM.
 
Mambo haya, mbona uchaguzi ulishaisha zamani na Meya anajulikana, walikuwa wapi?
 
Mh. Itafika siku Transfer za wabunge zitakua Kama transfer za waalimu, Jamaa hawa wanaifinyanga sana nchi na akili za watanzania!
Hajapewa transfer ndiyo kwanza amepangiwa na chama chake kama chitanda anavyosema namna cdm wameamua ccm wamemwaga unga wao wanamwaga mboga
 
Kwa nini wasingefanya hayo hadi watu wamepoteza maisha ndo wanakumbuka shuka. Siasa za kifisadi hizo na tunashindwa kuwatofautisha na CCM.

Sasa rafu iliyochezwa uliitegemea wewe? Kikao kuangalia wenzao wako nje wanashauriana halafu ipigwe kura ghafla na kutangazwa Meya?? Ahh tafadhali ChiefmTZ!
 
Hakuwa ameripoti halmashauri yoyote kwa hiyo ni fresh km mary chatanda

sasa kama kuna wengine ambao hawajaripoti halmashauri nyingine na taratibu zinaruhusu kuwaforward arusha, basi wapeleke zaidi kwani huyo mmoja nadhani hatatosha

hii nafikiri inashusha hadhi ya hawa wabunge wa viti maalum. inprove udhaifu mkubwa sana wa katiba
 
cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha
Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo.

Soc. tanzania daima

My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa

Sasa CCM nayo ikiongeza wabunge zaidi wa viti maalumu kwenda kwenye halmashauri ya Mji wa Arusha, Chadema itapinga tena uhalali wa wabunge hao kuwa madiwani wa halmashauri hiyo? mchezo wa kitoto huu.
 
Back
Top Bottom