CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

Thread hii inasema wamempangia kituo cha Arusha na sio kwa sababu za uchaguzi lakini watu wabishi vidole vinawasha. Nahitaji kujua Komu ni mbunge viti maalum kutoka mkoa gani? hivi viti maaalumu wa Kigoma anaweza kuwa na uchungu na watu wa singida?
 
Kama hii Kweli basi Miaafrika tuna matatizo..Tuliambiwa chanzo cha mauaji ya Arusha ni huyo mama wa viti maalum sasa CDM wanafanya yaleyale..kweli nyie ni mipumbavu....nimechukia sana
 
Kama hii Kweli basi Miaafrika tuna matatizo..Tuliambiwa chanzo cha mauaji ya Arusha ni huyo mama wa viti maalum sasa CDM wanafanya yaleyale..kweli nyie ni mipumbavu....nimechukia sana

msauzi habari ya Jozi au jobegi..... usichukie kwani siasa zina wenyewe na zina mbinu zake.., tena mbinu hizo mara nyingi zinazingatia udhaifu wa sheria na kanuni...... please tunachotaka sasa ni kuona kuna sheria mama iliyo madhubuti itakayosimamia haki na maslahi yote kwa maendeleo ya mtanzania....
 
Kama hii Kweli basi Miaafrika tuna matatizo..Tuliambiwa chanzo cha mauaji ya Arusha ni huyo mama wa viti maalum sasa CDM wanafanya yaleyale..kweli nyie ni mipumbavu....nimechukia sana
Usichukie cdm watakuwa wamefanya hivyo kumtega mkurugenzi kwani sheria inasema watapangiwa halmashauri za jirani sasa kwa kuwa kamkubali chatanda wa ta basi na komu wa dar itabidi amkubali vinginevyo awatimue wote
Kwa mawazo yangu hili ndilo ninaloliona
 
cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha
Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo.

Soc. tanzania daima

My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa

TUMECHELEWA JAMAA HAWAACHII MADARAKA MPaKA MAHAKAMA IAMUE,KAZI IPO ATOWN
 
Son of Soil hiyo Avatar yako ni ile ya Nazi au herufi ya kichina?
 
Waungwana ninaomba kuuliza kama Kura aliyopiga Chatanda kumchagua Meya ni halali au haramu kwa mujibu wa sheria?
 
Usichukie cdm watakuwa wamefanya hivyo kumtega mkurugenzi kwani sheria inasema watapangiwa halmashauri za jirani sasa kwa kuwa kamkubali chatanda wa ta basi na komu wa dar itabidi amkubali vinginevyo awatimue wote
Kwa mawazo yangu hili ndilo ninaloliona

Superfisadi ,mi baado natatizwa na hili,Je Chatanda hakuwa na haki ya kuwa Diwani Arusha? kutokana na sheria unayosema?Kama ni hivyo CDM wanataka kujaribu nini?Kujaribu kufanya uwizi kama CCM au mimi sijakuelewa
 
cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha
Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo.

Soc. tanzania daima

My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa

Hapo ndipo penye utamu, Uchaguzi kurudiwa!!?? Sijui tusubiri
 
Superfisadi ,mi baado natatizwa na hili,Je Chatanda hakuwa na haki ya kuwa Diwani Arusha? kutokana na sheria unayosema?Kama ni hivyo CDM wanataka kujaribu nini?Kujaribu kufanya uwizi kama CCM au mimi sijakuelewa

Mary Chatanda siyo diwani..utata ni uhalali wa mary chatanda kuingia kuwemo kwenye baraza la halmashauri/jiji kama mbunge ...na ikizingatiwa yeye ni mbunge wa viti maalum akitokea Tanga.... utata huu unatokana na contadictions za uwakilishi kutokana na geographical locations na si kama ilivyo kwamba mbunge anapangiwa sehemu ya kazi na chama chake...halafu ndiyo iwe justification ya geographical location
 
Sasa CCM nayo ikiongeza wabunge zaidi wa viti maalumu kwenda kwenye halmashauri ya Mji wa Arusha, Chadema itapinga tena uhalali wa wabunge hao kuwa madiwani wa halmashauri hiyo? mchezo wa kitoto huu.

kwa wewe mwenye uelewa finyu huu kwako ni mchezo wa kitoto, watu wenye akili zao wamekaa na wamepanga strategy hii, ambayo hata kama ccm waking'ng'ania meya aendelee yule batili lakini no bussiness as usuall. chadema itakuwa na majority kwenye council ya Arusha. nadhani unajuwa nini maana ya majority kwenye vyombo vya maamuzi. sumbuwa akili yako kidogo kufikiri deeper, ndio maana halisi ya Great Thinkers.
 
kuna idadi ya mwisho pia ya kupangiwa wabunge nadhani si tu kuhamisha nadhani kama sijakosea kila jimbo linatakiwa kuwa na mbuge maaalumu asiezidi mmoja na wakula mmoja
 
Ukizijua sheria kunanoga. Baada ya makamba kuleta utetezi uchwara kuwa chatanda kaenda arusha coz hajaripoti alimashauri yoyote,Tundu Lissu na Marando wakacheka sana,wakasemezana,"mbona na cdm tunao ambao wako free"wakamwambia Maulda afike Arusha. Mkwere amechukia sana,akahaidi akitoka safari atafika anateua wabunge 5,waungane na akina Zakia Meghji watimie8 kati ya 10 ambao katiba inamruhusu kuteua ,na ameamua kuwapeleka Arusha wote. Hapa mchezo utakuwa mgumu zaidi. Kama riwaya vile?

Gsana nilikuwa na hasira lakini imenibidi kucheka, nahisi kwa akili za akina makamba mchezo utakuwa kama uilivyotabiri. Ni wakati wa kutafakari zaidi na kukemea upumbavu huu wa sisa za kukomoana.

MSOMI ni mtu mwenye kuvutiwa na fikra na mwenye mbinu za kizisarifu na kuzitumia vilivyo (fikra hizo) baadhi au zote: Profesa Ali Mazrui.
 
This is now chaos kwa sababu nao CCM wataongeza wengine.......................................vurugu tupu................
 
Mambo haya, mbona uchaguzi ulishaisha zamani na Meya anajulikana, walikuwa wapi?

Uchaguzi wa Meya bado haujafanyika Arusha. Huyo meya unayemjua ww ni mgombea Umeya kupitia ccm.
 
Sasa CCM nayo ikiongeza wabunge zaidi wa viti maalumu kwenda kwenye halmashauri ya Mji wa Arusha, Chadema itapinga tena uhalali wa wabunge hao kuwa madiwani wa halmashauri hiyo? mchezo wa kitoto huu.

Hii inaumiza sana,why all that war against Mary Chatanda? hawakuzijua sheria au ni kupindisha sheria kwa kuwa walikuwa hawajajipanga???Hii imewagharimu watu,inaumiza sana sana!!!!! Sasa wanaonekana watu wa ajabu???Wao wange-capitalize kwenye ukiukwaji wa sheria za uchaguzi wa Meya kwakuwa hawakushiriki uchaguzi na ni sharti theluthi mbili ya madiwani wawepo???sasa ignorance yao ndo wajenge chuki na kusambaza uongo kuwa CCM wamemweka Mary Chatanda kimakosa??mmemfanya mama wa watu hata kuwakosea maaskofu adabu and now you are doing the same thing????AIBU AIBU AIBU,next time kabla ya kukurupuka na kuropoka na kujenga chuki dhidi ya wenzenu,JIFUNZENI SHERIA,mna wanasheria wazuri sana,walikuwa wapi????:Cry::Cry::Cry::ban:
 
Back
Top Bottom