CHADEMA wanani dissapoint kwa kweli

HAH HAH HAAAAA , MKUU TAFUTA PA KUEGESHA ! ACHANA NA HAWA WANA-MIPPASHO WA KICHAGGA aka CHADEMA NA WA KIKWERE aka CCM ! WALIOWACHAGUA NDO WAONE VIPAJI VYAO HALISI , KABANG'!:pound:
 
You have good shot but you should never downplay circumstantial factors.

CHADEMA wakinyamaza kimya waTz wengi wangeendelea kuamini uongo wa CCM. CHADEMA ndio chama cha upinzani wa ukweli na wa afya kwa Tz, na mfumo huo ni mgeni kidgo ktk Tz. Kwahiyo kila neno la CCM lenye kuhitaji kujibiwa lazima lijibiwe.

Lakini sio kujibu tu (na kuspin ikihitajika), lakini lazima CHADEMA waweke mkakati wa makusudi wa kupeleka sera mbadala. Kinachohitajika hapo ni kuwa na fine balance kati ya proactivity na reactivity.....ukijua kuvichezea hivyo viwanja basi mambo yako safi. I hope CHADEMA knows and are capable of more on those tenets.
 
Ukizoea mapenzi kila sehemu unawaza mapenzi tu! hii ni dhana ninayoiamini kwa siku nyingi sana; hata Mwalimu wa kike akija kufundisha wewe huwazi hesabu anazo kata ubaoni unawaza umbo lake na sauti yake inavyovutia na kulindima ndani ya ubongo wako, wanasema wataalam una 'sexual mind set' kuwa kuna nyingine inaitwa 'intellectual mind set' ndio iliyotakiwa kuwa Darasani!

Mkuu hapa inaonekana ni usiku wa giza, giza tororo; CDM ni chama cha Upinzani kazi yake ni kuikosoa chama Tawala ili kama ina masikio na ishilie, basi ichukue hatua, yaani nayo iisukume Serikali yake, Chama cha Upinzani hakiwezi kuisukuma Serikali bali chama Tawala, huo ndio msingi na maana halisi ya vyama vingi.

Chama cha Upinzani kazi yake ni kuikumbusha Jamii madhara ya kuendelea kuichagua Chama kilichopo madarakani na hasara zake; hii ina maana wananchni wakielewa madhara na hasara ya CCM ndipo watakapo acha kuichagua CCM, hii kazi kisheria ni kazi ya vyama vya siasa ni ushindani, sera ushindanishwa wakati wa uchaguzi wakati ambao si wa uchaguzi kazi ni kuikosoa na kuanika madudu ya chama Tawala.
 
Kwani wa chama gani wanajificha, na kwanini wajifiche? Kwa dhambi ipi? Hili ni jukwaa la mijadala na kinachoshinda ni hoja na siyo chama!

unajua naona mnashindwa kujua mwanzishi wa mada anajua chadema ndio saizi wake ccm lakini ccm hawatambui shida za walala hoi ndio maana analazimishwa kutambua chadema kocha ccm wachezaji wanapewa mbinu za kupambana na umasikini hawataki "hii game wamepotea''
 
poa boss ila tulichukulie ili kama changamoto ili tuzid kusonga mbele.chadema haiongozwi na malaika,inaongozwa na binadamu,so madhaifu madomadogo kama hayo sometimes yanatokea,so dont be dissapoint,mapema mno mzee!
 
wamekusoma vizuri i hope watajrekebisha boss,sometimes kujisaau kupo,chadema hakiongozi na malaika,kinaongozwa na watu!so dont be dissapointed,wake up man!
 
You have good shot but you should never downplay circumstantial factors.

CHADEMA wakinyamaza kimya waTz wengi wangeendelea kuamini uongo wa CCM. CHADEMA ndio chama cha upinzani wa ukweli na wa afya kwa Tz, na mfumo huo ni mgeni kidgo ktk Tz. Kwahiyo kila neno la CCM lenye kuhitaji kujibiwa lazima lijibiwe.

Lakini sio kujibu tu (na kuspin ikihitajika), lakini lazima CHADEMA waweke mkakati wa makusudi wa kupeleka sera mbadala. Kinachohitajika hapo ni kuwa na fine balance kati ya proactivity na reactivity.....ukijua kuvichezea hivyo viwanja basi mambo yako safi. I hope CHADEMA knows and are capable of more on those tenets.

mimi sioni kabisa kama wanajua hata hiyo balance...
wao kazi yao ni kujibu mashambulizi na kuanzisha mengine
 
binafsi sioni kama ni kosa kwa Chadema wanachofanya sasa. ila inabidi waende mbali zaidi na kuongezea strategies zaidi,. ,mfano wanapofanya maandamano katika kila mkutano ingependeza zaidi ikaambatana na kufungua matawi na kufanya survey ya watu gani strong katika kila mkoa ambao wanaweza kuweka uhai wa chama (hapa inabidi kuwa makini wasije wakawawaweka mamluki). On top of that wanatakiwa wawawekee mpango mkakati wabunge wote (including performance indicators) ili waweze kutekekeleza yale ambayo yameshindwa na chama tawala. in fact i was put off kusikia kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chadema wanashinda kwenye baa huko kanda ya ziwa badala ya kuchapa kazi kusaidiana na wananchi kuleta maendeleo (katika hili Chadema inabidi kutengeneza code of ethics).

Aidha, kama Chadema wanataka kufanikiwa zaidi katika uchaguzi wa 2015 inabidi kujizatiti zaidi katika level za chini, hasa vijijjini na maeneo ambayo walipata kura chache mfano Lindi, Tanga, Mtwara, Zanzibar, Singida, Tabora, Manyara.
suala la kupambana na ufisadi waongeze nguvu lakini liende hand in hand na mambo mengine yatakayowasaidia watanzania kunyanyuka angalau hatua moja mbele.
swali ninalotaka kuwauliza chadema: Je mlishawahi kufanya POSTMORTEM ya uchaguzi? inawezekana suala la hitilafu za uchaguzi isiwe sababu tosha ya nyie kushindwa, kuna sababu nyingine zinatotakiwa kuibuliwa na kufanyiwa kazi.. CCM ikiwapiga bao 2015 msishangae!!
 
Back
Top Bottom