Mshindo
JF-Expert Member
- Mar 5, 2009
- 478
- 186
Asante kwa maoni yako mkuu! You are entitled to it anyway.
Kwa maoni yangu, kukosa focus ndiko kunakosababisha kuingia kwenye mitego ya kuingia kwenye malumbano ambayo kwa bahati mbaya hayana tija yoyote kwa mwananchi wa kawaida.
Mimi nitaelewa kama chama kitafanya hivyo kinapokuwa under attack na hasa inapohusiana na viongozi wake, lakini hiyo haiwezi kuwa ni mpambano wa kudumu kama inavyoonekana kuwa sasa hivi.
Nape anapozunguka nchi nzima kuwaambia wananchi kuwa CCM sasa ni chama makini,safi,adilifu kwa vile kimewapa mafisadi woooooote watatu siku 90 wajiondoe....bila shaka kuna tija kwa mwananchi wa kawaida. Na wala siyo attack pale anapohubiri kwamba viongozi wa CDM ndio mafisadi kwasababu wananunua "magari chakavu".....na katibu wao anayarudia matapishi yake kwa kulipwa mshahara mkubwa mno.Si attack pale CDM kinapohubiriwa kuwa cha kichaga,cha kikristo,cha kikaskazini,cha kidugu n.k
Kama vile walivyojiingiza kwenye mabishano ya katiba mpya, bei ya sukari, EPA, mikataba ya nishati na madini n.k Bcoz to you these are non-issues!Hali hii itawafanya wafuasi wao na most importantly, watanzania wataona wazi kabisa kwamba pengine chama hiki hakiko issue driven bali ni mkusanyiko ambao unasubiri kuona kuna mabishano gani na wao wajiingizeje ili kuendesha vita vya maneno na kuibuka washindi.
Yeah, an ALMIGHTY,DIVINE legislative agenda ambayo,kwanza spika Anne makinda atairuhusu ijadiliwe,halafu wabunge 230 wa CCM wataipitisha unanimously. Out of this world!Kuna mambo kadhaa yanayohitaji kutengeneza a legislative agenda ambayo itawasaidia kulisukuma bunge kutengeneza mazingira mazuri ya uchaguzi ulio huru zaidi na pia kuandaa mazingira mazuri ya namna nzuri ya kulinda rasilimali zetu na kuwafanya wanachi kufaidika zaidi.
Ndio,wakae ofisini,waandike matangazo kuwa sasa CDM si chama cha kidini wala cha kikaskazini. Kazi ya kwenda huko vijijini ifanywe na mawaziri wa kikwete wakati wanazunguka kuelezea "mafanikio" ya serikali kama walivyoelekezwa juzi.Mikutano ya hadhara, pamoja na uzuri wake, haitoshi kukiweka chama kuwa karibu na wananchi kama hakuna juhudi za makusudi za kujenga mazingira ya kujenga kuaminiwa.
Ni kweli,sipendi kweli! wako bize wanalialia tuu,mara ooo serikali haina fedha mapato yameporomoka....mara ooo tunaburuzwa bungeni kwa uchache wetu si kwa hoja....mara wasusie vikao kisa eti kuburuzwa katika maamuzi kwa kupindisha sheria na taratibu...mara ooo kodi ya mafuta ipunguzwe ili mafuta yashuke bei....mara ooo...gharama za maisha zipo juu mnoo....siwapendi hawaa!Miaka mitano ni kipindi kifupi na kama wasipojijengea mazingira ya kupigania mageuzi, wasikae kuja kupiga kelele wakati wa uchaguzi na kuchochea wananchi kufanya machafuko kwa mambo ambayo wana fursa ya kuyabadilisha leo lakini wako busy kulumbana na kulia lia.