CHADEMA wanaangaza, wanatoa nuru njema kuliko mwenge wa uhuru

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Kumekuwa na mwenge wa uhuru unaokimbizwa mikoa yote ,kuzindua miradi mbalimbali ambayo mwishoni ni mibovu,ubadhirifu na ufujaji wa mali ya umma imegundulika ndani ya miradi hiyo mfano shule,visima vya maji safi, majosho ya ngombe tumeshudia yakiwa hayana ubora! Ila wanaume na wanawake wa chadema kule bungeni angalau wanatuamsha na kujiskia tuko kwenye nchi wamegeuka NURU ya Taifa sasa hakuna anayebisha mawaziri ,wakuregenzi wanakaa kwenye nafasi zao kwa makini ili wasijefyatuliwa na chadema ambao kwa wakati huu ndio wamegeuka mwanga wa nchi ! hongera Chadema tena hongera sana
 
Chadema ni chama cha ukombozi kwa watanzania,uhuru wa ukweli kupatikana soon kupitia CHADEMA.VIVA CHADEMA.
 
Kama bunge la leo nimelipenda...Suzan Lyimo kawachana tena serikali...safi sana!!
 
mwenge wa ukweli ni CDM, sio huo wa kibatari wakutafuna kodi zetu, kwanza wauzime coz mafuta ya taa yamepandishwa kodi.
 
Kama bunge la leo nimelipenda...Suzan Lyimo kawachana tena serikali...safi sana!!
kawachana wake wa marais wanaoingia ikulu kuacha kuunda taasisi tofauti tofauti wakiondoka wanaondoka nazo. iundwe taasisi moja kila anapoingia rais mkewe au km rais ni mwanamke basi mme aongoze hiyo taasi akiondoka taasisi iko pale pale. ukumbi ulikuwa kimyaaa kusikiliza nondo za CHADEMA na upinzani kwa jumla
 
Back
Top Bottom