sijakuelewa hivi mtu akifanya makosa mfano ukiwa unaendesha gari ukagonga mtu akafa police akija na yeye anaruhusiwa kukupiga risasi?Mbona asubuhi sana matusi ya nini? hujifunzi tu kuwa mstaarabu humu JF?, mwanzoni tulifikiri ni ugeni kumbe ndivyo ulivyolelewa.
Hata wauaji wakifahamika, lakini ukumbuke kuna kuua bila kukusudia, lakini kitu kibaya ni chanzo cha mauaji, na kwa hili CDM watajiwekaje pembeni?
Kujipendekeza na kujikombakomba kwa mkuu wa kaya tu hawana lolote wachumia tumbo tu hao.
Huwezi kabisa katika mazingira ya kawaida kumpelekea barua mtu ambae hutambui nafasi yake katika nchi. Tena viongozi wa chama kwa kauli zao wao wenyewe walilisema hili.
Katika watu ambao wamekuwa wakiaminiwa kuwa na msimamo na wanayoamini ni huyu babu wa chadema.
Kwa hili la kujikomba kwa mheshiwa rais ni kujivunjia heshima yake binafsi kwa kuonekana kuwa kigeugeu, kujivunjia heshima kwa wanachama walioiusudu ile kauli yake ya kutomtambua rais na wao kujiona kama mayatima maana kiongozi wao kasaliti kauli yake na mwisho kuvunja heshima ya chama chake.
Sheria ni msumeno, Ningekuwa Rais ningeanza na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA kwa sababu, chanzo cha vifo vya watanzania wasiyo na hatia ni maandamano na mikutano yao isiyo rasmi.
wacha kukurupuka mkuu tuliza akiliHawa CHADEMA naona wanataka adhabu kutoka kwa Rais, vifo wasababishe wao halafu wanaomba hatua zichukuliwe? kaz kweli kweli.
Nadhania Rais akiamua na sheria zikapitiwa vizuri, ni wazi CDM wataingia matatani, ngoja tusubiri reaction ya Rais.
Rais yeyote aliyepewa ridhaa kupitia chama chake, lazima afanye maamuzi kwa kufuata ushauri wa mlezi wake ambaye ni chama chake na siyo wanasiasa, itachekesha sana eti rais anawawajibisha watendaji wake kwa shinikizo la wanasiasa, ni kitu ambacho hakiwezekani. Haiwezekani watu kwa chuki zao binafsi na watendaji wa Serikali wamshinikize Mkuu wa nchi kuwachukulia hatua. Wapi watanzania mlishasikia chama kimoja cha siasa kinashinikiza Kiongozi mkuu wa nchi kufanya hivyo, nchi zingekuwa zinatawalika kweli? CDM pitieni sheria zinazoongoza nchi mjiridhishe kama mmeiva
Hawa CHADEMA naona wanataka adhabu kutoka kwa Rais, vifo wasababishe wao halafu wanaomba hatua zichukuliwe? kaz kweli kweli.
Nadhania Rais akiamua na sheria zikapitiwa vizuri, ni wazi CDM wataingia matatani, ngoja tusubiri reaction ya Rais.
Hawa CHADEMA naona wanataka adhabu kutoka kwa Rais, vifo wasababishe wao halafu wanaomba hatua zichukuliwe? kaz kweli kweli.
Nadhania Rais akiamua na sheria zikapitiwa vizuri, ni wazi CDM wataingia matatani, ngoja tusubiri reaction ya Rais.
Sheria ni msumeno, Ningekuwa Rais ningeanza na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA kwa sababu, chanzo cha vifo vya watanzania wasiyo na hatia ni maandamano na mikutano yao isiyo rasmi.
teh teh teh, kweli hii nchi sasa itakuja kuongozwa na ma-teja, kama wamiliki wa madanguro wamejaribu, Wazinzi wamethubutu kugombea japo walikosa, na sasa tunawasema majambazi, hakika si teja tu watakaojitokeza kugombea bali hata mashoga manake naona hawa nao wanakuja kwa kasi kweli.
cdm kweli hawana akili nyie ndio mnaochochea vijana wafanye vurugu ili nchi isitawalike nyie hao hao mnamtaka rais achukue hatua? mantiki ipo wapi hapo?
Mkuu Jogi, achana na huyo brain dead idiot mla tende na halua. Wanyisanzu wanakusalimia!Ulikuwa na prof. Kushughulikia kuanguka kwa yuro au wewe ulibaki bububu uzini.