CHADEMA wamepotezwa na Paul Makonda

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Ndio maana hata maandamano yao yalidorola.

Wananchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda ambaye anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.

Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea.

Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu.
 
Wanannchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda amabae anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.

Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu
Ccm mmelogwa na kulogeka haswaa! Naamini ule msemo pendwa unaosema huko ccm wamejaa watu wasiojua lolote zaidi ya uchawa.
Hebu nope agenda moja tu kati anayoinadi makonda.
Usichokijua na ambacho unatakiwa kukijua sasa ni kuwa hiyo makonda wako anawavua nguo na anamharibia na kumchafua Sana mwenyekiti wenu na serikali yake kwa teuzi zake zisizo makini. Hangaika nalo hili.
 
Makonda anapaswa kuwa magereza ama amenyongwa. Ni suala la muda tu.
 
Ndio maana hata maandamano yao yalidorola.

Wanannchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda amabae anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.

Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea.

Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu
Labda uko sahihi kuwa Chadema wamepotezwa na Makonda.
Sababu yenyewe iko wazi.
Makonda amethibitisha pasipo shaka kuwa MFUMO WA UTAWALA nchini umejaa DHULUMA, MANYANYASO na UTEKAJI wa raia.
Nilitegemea CHADEMA wamuenzi Makonda kwa kuthibisha yale wanayohubiri kwamba CCM imeshindwa kuongoza Nchi yetu.
Kwamba ndani ya Nchi, kwa Katiba hii iliyopo, HAKI kwa Watanzania haipo na haiwezi kupatikana.
Makonda ni LULU kwa Upinzani, maana anaiumbua Serikali ya CCM na Watendaji wake mchana kweupe
 
Ndio maana hata maandamano yao yalidorola.

Wanannchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda amabae anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.

Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea.

Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu
Wako busy kumfurumushia mapropaganda ya hadithi ya hapo kale kulikuwepo sungura na simba, huku makonda akiondoka na kijiji chote cha tanzaniaa.
 
Ndio maana hata maandamano yao yalidorola.

Wananchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda ambaye anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.

Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea.

Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu.
Umevaa miwani ya Mbao. Makonda anaivua nguo serikali ya CCM na kuichonganisha na Wananchi na kujijenga yeye binafsi.
 
NIMEIPENDA SANA APPROACH YA CHADEMA,WAMEGOMA KABISA KUTOA KICK ZISIZO ZA MSINGI,BASHITE KAWATAFUTA NA KUWACHOKONOA SANA ILA WAO WAMEPIGA KIMYA,HATA HII YA KINANA TUNDU LISU KAJA KUIJIBU KWA KUWA WANAJUA KUWA YULE NI SIZE YAO,HATA MNYIKA VILE VILE HAKUTOA KICK...
 
Back
Top Bottom