CHADEMA wako tayari kumpokea Lowassa

Hii ndo shida ya kudandia gari kwa mbele, "LOWASA sio FISADI, ila CCM yenyewe" what is CCM? People? who is Lowasa? People? ulitakiwa kusema LOWASA sio FISADI peke yake, LOWASA NI FISADI papa, sio tu FISADI, hapana, ni FISADI wa viwango vya juu ....


NAkubaloana nanyi kwa hayo mawazo yenu
Lakini EL wakati yuko halmashauri nyingi zilikuwa zinaogopa kufuja pesa maana ikibainika hakuna mjadala, ila kufukuzwa kazi mara moja. Na hii ndio tatizo kubwa tulilonao mtu anaiba huku anapelekwa kule.... sasa hiyo ni adhabu kweli????

Hakuna atakae kuwa msafi 100% tena ni better kwa wale waliotenda dhambi na kutubu kweli maana hao watawajibika ipasavyo, kama pesa anazo atakachotaka ni kuhudumia wananchi hata siku ikifika akatwaliwa basi akiulizwa ulifanya kipi duniani kwa ajili ya watu wangu awe na cha kujibu...
 
Kuwaingiza Mafisadi chadema will be suicidal to the party kwasababu credibility ya chadema inatokana na kuwa anti-mafisadi!! It is o.k. kuwakubali wafuasi wao kwanza ni vijana na itakuwa rahisi kuwabadilisha lakini sio mapapa wenyewe!!
 
huyu mwenyekt namashaka nae kasha lambishwa ela za kifsad au ni rafk wa shitambalala nn? aoni ata kumkalbsha lowasa ata kuwa mwanachama wakawaida ni shda koz lowasa na ufsad wake ndo umempa umaarufu dr.slaa ivyo kumkarbsha lowasa kwa chama ni umaarufu wa dr. Kushuka chn. pili kuwapa ccm oja ya kuogea majukuani. Tatu uyu lowasa ndo nan?? Nne uyu jamaa kaujumu ata viwanda vye2 ukiachlia ufsad wa richmod. Tano c 2napenda cdm ili ije ishke madaraka na kuwa weka wote roc up walio2fkisha apa 2lipo akiwemo lowasa koz dr. slaa anaushaid wa ufsad wake
 
Mimi ni mwanachama HAI wa CDM but hua najiuliza KOSA LAKE huyu bwana mkubwa "Specifically" ni nini hasa??
Naomba kujuzwa please!!


Richimond,EPA KAGODA MEREMETA, vyote hivi vimefanyika yeye akiwa mtendaji mkuu wa serikali na kuhusika mojakwamoja!! Kimsingi huyu ndie amekufanya uwe hapo ulipo(tajiri ama kama mimi kapuku)!! Umenielewa mkuu?
 
Lowasa ana mengi sana ambayo alishindwa kuyaongea kwenye kikao kimojawapo cha nec ila alifnikiwa kuwanyamazisha. Akija cdm ninamatumain tutajua mengi ambayo yatafanya ukweli ujulikane na mbaya afahamike. Karibu lowasa ila kabla hujapewa kadi tunakuomba weka kila kitu hadharani.
 
Chadema ikimpokea EL itakuwa imejimaliza yenyewe. Katika hili wanahitaji hekima ya hali ya juu.
 
huyu mwenyekt namashaka nae kasha lambishwa ela za kifsad au ni rafk wa shitambalala nn? aoni ata kumkalbsha lowasa ata kuwa mwanachama wakawaida ni shda koz lowasa na ufsad wake ndo umempa umaarufu dr.slaa ivyo kumkarbsha lowasa kwa chama ni umaarufu wa dr. Kushuka chn. pili kuwapa ccm oja ya kuogea majukuani. Tatu uyu lowasa ndo nan?? Nne uyu jamaa kaujumu ata viwanda vye2 ukiachlia ufsad wa richmod. Tano c 2napenda cdm ili ije ishke madaraka na kuwa weka wote roc up walio2fkisha apa 2lipo akiwemo lowasa koz dr. slaa anaushaid wa ufsad wake


Kumkaribisha Lowasa, CDM itajiunga na NCCR-MAGEUZI na CUF kwenye list!! Mimi nitaenda fasta kuomba changu nilichoisha changia maana CDM itakuwa imepata mfadhili tiyari!!

Yaani wananchi tunajibana, tunajinyima tunachangia chama ili kipate nguvu ya kupambana na mafisadi alafu eti wajiunge nao!!? This is non-sense!! CDM msituchezee akili zetu!! Tutaficha wapi nyuso zetu ambao tumekuwa tukipiga kelele mitaani tukijisifu CDM ndo mkombozi wetu na iko makini!!?

Nawahakikishia siku mkimkaribisha huyu mwizi sikilizia huku mitaani tutakavorudisha kadi!!
 
Chadema ikimpokea EL itakuwa imejimaliza yenyewe. Katika hili wanahitaji hekima ya hali ya juu.


Mkuu S. Liondo, nakataa hili haliitaji hekima hata kidogo!! Kwani kuna ugumu gani kumkataa shetani ki-masomaso!!?

Lowasa hatakiwi, piriod!!
 
CDM ikimpokea EL itapoteza credibility.
si kweli la msingi ni mtu kukiri makosa na kusamehewa,akikiri kosa lazima asamehewe,hivi ni nani ambaye hajawahi kufanya kosa?tuache kuhukumu tumpe mtu nafasi apate pa kutubu dhambi zake
 
Siamini ninachokisoma hapa..kweli EL ana mkono mrefu. Nini alichonacho EL ambacho hakipatikani ndani ya CDM?. Huyu jamaa akiingia huko haya ni baadhi ya mambo ambayo hayatakwepeka
1. Dhambi ya makundi kushamiri ndani ua chama
2. Kutoweka kwa tofauti kati ya CDM na CCM katika kupiga vita rushwa na ufisadi
3. Watanzania kuaminishwa kirahisi kwamba CDM ni chama cha kifisadi kwa kurejea matamko ya awali ya CDM dhidi ya EL, RA, CHENGE n.k
4. CDM kukimbiwa na wanachama na viongozi wengi..na labda kushihudia kuibuka kwa chama mbadala wa CDM haraka sana!
 
tatizo nililogundua wengi wetu tunaongea kwa hasira! na nimekumbuka wkt nikiwa shule mwl wa kiswahili kila wakt alikuwa na msemo wake ambao nauona kuwa na maana haswa kwa wkt huu. "hasira ina hasara, hasara ina hasira." embu naomba tutulie na tupate busara za viongozi wetu pia. Japo najua kila mtu anapaswa kutoa wazo lake lakin nahisi kwa hili tunaweza kupoteza umakini sababu ki ukweli mamvi ankera na ana mbinu chafu za
waziwazi kwa kutumia mihela ambayo ni kodi zetu! tena hana huruma hata tone. lakin narudia wito wangu naomba tusubiri busara na hekima za viongozi wetu tunawaamini kuwa wako makini vya kutosha.. nawakilisha hoja
 
Lowasa siyo fisadi bali ccm yenyewe. Kama umesiliza michango ya wabunge jana utaligundua hilo. Kama angekuw fisadi nchi ingekuwa na maendeleo mskubwa baada ya kuondoka kwake madarakani. Kinyume chake ni kama vile kuondoka kwake kwenye u PM kumewapa nafuu akina Mkulo na wenzake.

Leo ! hiii!... mwaongea hivo!..
 
...Sidhani kama CHADEMA watakuwa tayari kufanya makosa makubwa kiasi hicho ya kumpokea fisadi EL. CCM ndio inakufa taratibu wengi wao wanatafuta pakutokea kabla magamba hakijazikwa rasmi.

Hakuna ubaya kuwapokea watakaotoka magamba lakini mafisadi wote ndani ya magamba na wala/watoa rushwa kamwe wasiruhusiwe ndani ya CHADEMA.

Ni kipofu wa ufahamu, fikra na macho ya miwani anayeweza kuthubutu kumpokea EL CDM. It will never happen and make any significant meaning to the renewal of changes in the Country!

The snake must be killed! The great part of the process is done!! ... Kumpokea EL ni kumpa ahueni nyoka ambaye kesha jeruhiwa vibaya!! Na Nguvu atakayoipata baada ya kupona majeraha haitamfanya awe nyoka yuleyule bali .. Mbaya zaidi na Gamba litakomaa zaidi!! Uharibifu wake haupimiki kamwe!!!

It is obvious It will never happen!!!!
 
Back
Top Bottom