STIDE najua EL amechafuka lakini kumbuka politics is a dead game anaweza kuja na gea ya kumshambulia Kikwete, am sure wananchi wataanza kumkubali waki-refer matatizo waliyonayo na rais wao. Na nikuambie my friend, wananchi wengi vijiji hawajui makosa ya Lowassa wala hawajui Richmond ni mdudu gani ni mimi na wewe tu wenye uelewa kidogo the rest EL kwao ni hero si tunaona anavyopokewa akienda makanisani? Mimi nakwambia Lowassa akipata mpiga kinubi mzuri na Lowassa mwenyewe kuanza kumrushia madongo ya waziwazi Kikwete atarudi upya kwenye political arena. Mwisho hata mimi na wewe hatuna uhakika kama Richmond ni yake au kambebea mtu.
Nimekusoma hapo mkuu, lakini unatakiwa kujiuliza kwanini Lowasa asiende chama kingine ila CDM?
Kwanini tuangaike na mtu ambae atatughalimu!? Usisahau hata mimi na wewe tumepata kufahamu Lowasa ufisadi wake baada ya kutajwa/kuchafuliwa na CDM, iweje leo hii mtu tuliyemtuhumu tuangaike kumsafisha!?
Hakika nakwambia madhara ya kumpokea EL ni makubwa kuliko faida!! Na kama unasema EL tuhuma zile hazikuwa zake inamaana huna imani na Dr. Slaa kwenye ile list of shame!! Yaani kwamba Dr. aliitoa bila uchunguzi!!
Ooh, eti akitubu asamehewe!! Si aende kanisani? Atubu nini wakati roho za ndugu zetu zimeishaondoka!!?
Nakuhakikishia ikitokea EL akaja CDM, ujue CDM KWISHA!!!