CHADEMA wakiongozwa na Dr. Slaa kufanya mkutano SAUT-Mwanza

Wana SAUTI mmejipanga vyema. Waambieni hao viongozi waeneze sera za kumletea mtanzania mabadiliko na sio kujibizana na chama tawala. Je wakichukua dola wataboreshaje elimu, afya, maji, barabara, ardhi, madini, gesi, mazao, kodi nk? Je ili wachukue dola wamejipangaje kupata tume huru ya uchaguzi? Wamejipangaje kuwafikia wananchi wa chini huko vijijini ili wawapigie kura? Mikakakti ya kupata pesa ya kueneza chama ni misingi ikoje?
 
poleni sana wasomi wa st.agustine ambao bado mnaendelea kudanganywa na vilaza wa CDM ambao wapo kwa kupoza njaa nzao!
 
Siku ya kesho Jumamosi Tanzania yote itahamishia macho na masikio hapa Mwanza ambapo Dr Slaa ataongoza timu niliyotaja hapo juu ktk kongamano pamoja na mkutano ktk mahafali ya kuwaaga makamanda wa CHADEMA SAUT watoa mada ni wote tajwa hapo juu mada ni pamoja na elimu yetu na hatma ya katiba mpya hivyo karibuni watu wote!
Acha kukuza mambo ..
 
Wana SAUTI mmejipanga vyema. Waambieni hao viongozi waeneze sera za kumletea mtanzania mabadiliko na sio kujibizana na chama tawala. Je wakichukua dola wataboreshaje elimu, afya, maji, barabara, ardhi, madini, gesi, mazao, kodi nk? Je ili wachukue dola wamejipangaje kupata tume huru ya uchaguzi? Wamejipangaje kuwafikia wananchi wa chini huko vijijini ili wawapigie kura? Mikakakti ya kupata pesa ya kueneza chama ni misingi ikoje?

Vizuri sana nadhani ukimpa Dr.Slaa atakijibu vizuri sana haya maswali yako ya msingi
 
Back
Top Bottom