Elections 2010 CHADEMA wafunika kanda ya magharibi: Kampeni za Zitto katika picha usipime

Zitto -- hiyo redbull ni ya nini sasa teh teh teh
Nyerere - hii nimeikuta hapa, hata sijui ni ya nani....

 
Mkuu Pasco, conventional wisdom inakubaliana nawewe kwa kila kitu ulichoandika hapo juu. Hata mimi nakubaliana nawe. Ingekuwa rahisi kukaa kimya na kutosema chochote, kwangu mimi ingekuwa unafiki. Debate kali sana ilifanyika live hapa jamvini kati yangu na Zitto (au wale wanaomuunga Zitto) hivi karibuni.

Kumbuka kuwa hizi debates hazikuanza leo, zimekuwepo toka kipindi cha buzwagi na zitaendelea kuwepo. Hata leo hii chama cha Obama US bado kuna internal debates za kati ya liberal na conservative democrats.

Haya ni mambo ya kawaida sana kwenye vyama vikubwa. Chadema ni chama kikubwa na tofauti za kisera na mwelekeo zipo na zitaendelea kuwepo. Vyama ni mkusanyiko wa watu na watu wanafikiria tofauti.

Kuacha hayo yaliyopita, inawezekana matumizi ya neno kufuatilia yamekukwaza. Nilitafsiri tu toka kwa sentensi ya kingereza (I have been following). Bahati mbaya, wengine wetu ambao bado tuko shuleni, inabidi tufikirie kwa kingereza all the time ili kufanya home works. Hilo neno kufuatilia halikuwa na maana nyingine mkuu Pasco.

All is well, we enjoy picha ....asante
Mwafrika, asante, nimekuelewa na kukukubali, thanks for Zitto pix update.
 
Hapa Zitto yuko movenpick kwenye debate ya wagombea ubunge vijana (kama sikosei) .... namuona Mnyika akiwa katulia tuli:

 
kwenye kampeni za Mnyika Ubungo, nani alisema chadema hawako Pwani?

 
wauwaji wa mwanzo ni mwafrika wa kike na vijana wenziwe

wajuvi sana hawa na hicho ndio kifo chao kilipo
 
Makamba akimuona huyo polisi hapo kwenye hii picha, ataagiza afukuzwe kazi.

 
Back
Top Bottom