Elections 2010 CHADEMA wafunika kanda ya magharibi: Kampeni za Zitto katika picha usipime

Nimempenda huyo kijana hapo kushoto, anamtizama Zitto kwa jicho fulani la kufurahisha.
Huyo mama hapo anamwaga sera hadi binti nyuma yake ameelimika kwa furaha (Steve Dii upooo):

Akina dada/mama wazuri na wanaopenda Tanzania kama dada yetu huyu (Ms Ruhwanya) walikuwepo:

Nimempenda huyo kijana hapo kushoto, anamtizama Zitto kwa jicho fulani la kufurahisha.
Huyo mama hapo anamwaga sera hadi binti nyuma yake ameelimika kwa furaha (Steve Dii upooo):

Hiyo sehemu inaitwa Mbongwe sehemu za Bukombe eneo zuri sana! Hizi issue za namna hii Steve Dii huzima bange zake
 
Hiyo sehemu inaitwa Mbongwe sehemu za Bukombe eneo zuri sana! Hizi issue za namna hii Steve Dii huzima bange zake

Asante sana Mwanamtama, sala na maombi yote kwa Prof Kahigi ashinde Bukombe.
Steve dii sijui kaishia wapi na bange zake.... inabidi nimpeleke Mbongwe akafanye kampeni.
 
Mwafrika umenifurahisha sana kwa uamuzi wako wa "kupumzisha" tofauti wakati huu wa lala salama, keep it up!
 
Ahsante Mwafrika,
yaani ndiyo nachokupendea, ukiamua kufuatilia issue, hubakizi kitu. Wewe ni kiboko, ni bonge ya mwanamageuzi.
Big up, nakutakia masomo mema pia..
 
Mwafrika umenifurahisha sana kwa uamuzi wako wa "kupumzisha" tofauti wakati huu wa lala salama, keep it up!

Ninafuraha sana moyoni mkuu ... na nimependa sana jinsi thread hii na mengine mengi yalivyochoma mioyo ya wanaccm mtaa wa Lumumba. Wamechoka wenyewe.
 
Ahsante Mwafrika,
yaani ndiyo nachokupendea, ukiamua kufuatilia issue, hubakizi kitu. Wewe ni kiboko, ni bonge ya mwanamageuzi.
Big up, nakutakia masomo mema pia..

Asante mfuatiliaji .... masomo yangu, MUNGU akipenda nitamaliza karibuni (nimekaribia darasa la kina nshomile - no class ahead ...lol).
 
I like this,nafurahi zaidi kwani nilikuwepo musoma,na sasa niko tarime naomba afike mapema huku
 
Back
Top Bottom