CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

Status
Not open for further replies.
chadema ;;;;;kupora wake za watu, kuvunja ndoa za watu na kutelekeza familia
ccm..........kudumu na ndoa ujana hadi uzeeni, kulea watoto na familia ktk maadili mema

JK feki alimuoa Mama Mwanaasha akiwa bikra?
Makamba alifukuzwa Ualimu kwa Kumdunga mimba Mwanafunzi... Unalijua hilo?
 
chadema ;;;;;kupora wake za watu, kuvunja ndoa za watu na kutelekeza familia
ccm..........kudumu na ndoa ujana hadi uzeeni, kulea watoto na familia ktk maadili mema

Hizo tabia za kinamwigulu,komba na m/kiti wenu si hatuna, alafu hizi porojo zako ulizotoa lumumba hatuzitaki.
 
nimeipenda hii tu ! chadema ;;;;;kupora wake za watu, kuvunja ndoa za watu na kutelekeza familia
ccm..........kudumu na ndoa ujana hadi uzeeni, kulea watoto na familia ktk maadili mema. Lol una ushahidi??
 
JK feki alimuoa Mama Mwanaasha akiwa bikra?
Makamba alifukuzwa Ualimu kwa Kumdunga mimba Mwanafunzi... Unalijua hilo?
Mkuu lengo la magamba hapa ni kututoa kwenye mada ya msingi na kutuingiza katika mipasho.Usikubali kutekwa maana naona na wewe huku ulikoanza kueleka siko.Kuwa makini unapojibu hoja za watu waliotumwa na baadae wanaenda kuchukua malipo yao.Mara nyingi hawatumii akili ya kawaida bali kuna force inayowasukuma..
 
mfuasi wa kambarage Sasa kama unadhani hizi ni point; kwa nini usiziweke kwenye post moja kinyume chake unaweka vipost kibao vinavyofanana halafu ndani hamna kitu? au lengo kuuharibu huu uzi?

Huyu jamaa kaajiliwa na analipwa kutokana na idadi ya post anazotuma hasa zile za kukichafua CDM hata kama hana point!!!
 
Bavicha at its best.

Hapa na yeye amezama na homework na akapata majibu mbadala.

Kwa ufinyu wake kifkra akaona hapa ndipo mahali ambapo panafaa kutema utumbo wake wa bavicha mentality with chekechea thinking.

Hapa siyo mtaa wa Togo. Umekosea sehemu ya kupeleka hii homework yako. Hili ni jukwaa la watu wenye fikra pana, hekima na busara.

Even standard seven school leavers can do comparison better than this gabbage.
 
CCM - wanaongoza kwa kulala bungeni

CDM - wanaongoza kwa kuongea bungeni hoja zenye mashiko (Point tupu)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom