Chadema, vijiji vya Arumeru Mashariki bado tunawahitaji

Vijijini ni ngumu mkuu Chadema kukubalika wazee wa Kimeru na Kimasai hawataki kuongozwa na mtoto mdogo ni kuvunja mila na desturi zao. Labda mgejikita zaidi sehemu za mjini.

Hujui hata kufikiri buddy!!! Kwani Siyoi ni Mzee?? Haya ndo madhara yakushabikia siasa! Unaropoka tuuuu!
 
Back
Top Bottom