Mkuu, unataka Chadema wawaokoe kivipi? Fafanua
Sawa kabisa Ritz ,kwa lipi elezea ili usaidiwe.Kulipia 100 au unataka watoe msaada kama magamba mil 500 jimboni ili mgawane nakulipia hiyo 100 nyingine?
Mkuu, unataka Chadema wawaokoe kivipi? Fafanua
CDM hawa watu hawana maana ni Mandumilakwili :eyebrows:! nadhani wajibange kwa 2015! Alafu wajue tunahitaji kuendelea hii nchi kodi zetu ndio maendeleo yetu.Gharama za maisha juu sana na mafuta ndio usisemeee!! hata wabunge wameongezewa Posho.Hivi ninyi wanakingamboni kile kivuko kinatumia maji ya bahari kujiendesha,Mbona nauli za daladala hamkupiga kelele.Dr.magufuli Big up mi nadhani katika mwaka wa bajeti ufuatao ikiwezekana kifanane na gharama za Chato au Pangani na wakibisha waje huku Pangani waone tunavyojitoea kuleta maendeleo.Sidhani kama CDM kwenye hoja ya maendeleo wakawa wapinga maendeleo.tumechoka ubabaishaji kama wa wanasiasa wa dar.Tubadilike
..........Umeweza kujiuliza kwa yule kibarua aliyeajiria kwa muhindi, mshahara wake ni sh 120, 000 na anakwenda kwa siku 6 kwa wiki kazini (go and return ) kwa mwezi mzima atakuwa ametumia sh 15000 kwenye kivuko tu. na hapo asiwe anaishi kibada, Geza ulole ,Vijibweni au Kisiwani. sasa mchotile ongeza 28, 000 za daladala toka hapo fell mpaka mtu huyo anapoishi. Kama atakuwa anafanyia kazi mwenge ama ubungo atakuwa na ongezeko la sh 24, 000, Jumla itakuwa sh 67, 000. ukitoa sh 120000 ambao ndiyo mshahara unamkuta mtu yule anabaki na ......... jaza mwenyewe.......
Ni siku tano sasa tangu lile ongezeko la nauli limeanza kutelezeka, hakika mambo yanakwenda ndivyo sivyo. kwa kawaida mtu anaweza kudhani sisi ni walalamishi tusiyopenda kuchangia pato la taifa ( cost shareling) shida inakuja pale hata pale bei ya mizigo ilipopanda,
Mfano mwenye guta ( baiskeli ya miguu mitatu sh ni 3500, sasa kiuchumi zile cost anazibeba mlaji wa bidhaa hizo, bei hizi zimepanda mara dufu.
Kwa wale wanafunzi wa vyuo(IFM, MAGOGONI , DIT, CBE Pamoja na Mwalimu nyerere memorial academy) wamepndishiwa nauli sasa ni sh 200
Niko kanda ya ziwa lakini hapo ulipo nakuona,
Usitudanganye sisi watu wazima, vyakula haviwezi kupanda kwa hiyo bei kuongezeka.
Kwanza Viazi vya Dar vinatoka na samaki zainatoka huko huko Kigamboni kwa hiyo bei itashuka kama hamtavusha.
Unalalamika Tsh.200 mwanafunzi wa Mabibo Hostel asemaje anaesoma UDSM?
Hamko Serious badala ya kulalamikia mafuta, yashuke ili gharama uendeshaji zisiwe juu nyie mnalalamikia mlipoangukia pua
duh mchotile umeingia kwa kishindo yani leo leo umeingia na kumpa uyu kichomi magufuli big up?? Natmai we hauishi kigamboni, hakuna mandumilakuwili uku, we voted for cdm lakini changamoto ni kuwa hatukuzilinda kura zetu.bidhaa uku zimepanda bei kwa sababu ya ili tukio, wajua kati ya uku na upande wa pili bei ziko tofauti? Imagine ni bora kuvuka ukanunue just a 1kg ya mchele upande wa pili wa kivuko.pia zingatia km mbunge anayepokea mamilioni ya shilingi kaona maisha ni magumu sasa jiulize sie waendesha maguta, na hii ni moja kwa moja tunabaliki inflation wkt wenzetu nchi jirani wanaumia vichwa jinsi ya kupunguza inflation, tunaongozwa na mavuvuzela.... ,cdm hawa watu hawana maana ni mandumilakwili :eyebrows:! Nadhani wajibange kwa 2015! Alafu wajue tunahitaji kuendelea hii nchi kodi zetu ndio maendeleo yetu.gharama za maisha juu sana na mafuta ndio usisemeee!! Hata wabunge wameongezewa posho.hivi ninyi wanakingamboni kile kivuko kinatumia maji ya bahari kujiendesha,mbona nauli za daladala hamkupiga kelele.dr.magufuli big up mi nadhani katika mwaka wa bajeti ufuatao ikiwezekana kifanane na gharama za chato au pangani na wakibisha waje huku pangani waone tunavyojitoea kuleta maendeleo.sidhani kama cdm kwenye hoja ya maendeleo wakawa wapinga maendeleo.tumechoka ubabaishaji kama wa wanasiasa wa dar.tubadilike
mwita unayoyasema ni sahihi, lakini huu upuuzi ambao watanzania kwa nafasi pia mahala petu tofauti tumekuwa tukiumizwa wadhani tufanye nini?? Hao cdm tunaowahita wamepigwa marufuku ata kufanya mikutano kwa kisingizio cha alshaabab, maandamano hayaruhusiwi, i am so serious to join maandamano kupaza sauti zetu lkn are well organised, au ndo tutaandaa move ndani umo wakiwamo makenge ya ccm pia???kaka naona bado tunasafari ndefu ya kwenda kuweza kuwasilisha mashinizo yetu, problem hatuko organized, na najua tutasikilizwa sana na kutekelezewa wanatikisa kiberiti, kwani awa wakubwa waoga sana, wakumbuka maandamano ya cdm wakati ule ata president aliogopa na akasema wanataka kuiangusha serikali hawa cdm, together we can but we are not organisedni siku tano sasa tangu lile ongezeko la nauli limeanza kutelezeka, hakika mambo yanakwenda ndivyo sivyo. Kwa kawaida mtu anaweza kudhani sisi ni walalamishi tusiyopenda kuchangia pato la taifa ( cost shareling) shida inakuja pale hata pale bei ya mizigo ilipopanda,mfano mwenye guta ( baiskeli ya miguu mitatu sh ni 3500, sasa kiuchumi zile cost anazibeba mlaji wa bidhaa hizo, bei hizi zimepanda mara dufu.kwa wale wanafunzi wa vyuo(ifm, magogoni , dit, cbe pamoja na mwalimu nyerere memorial academy) wamepndishiwa nauli sasa ni sh 200nadhani sasa chademahuu ndiyo wakati wenu wa kulisimamia taifa kutoka kwenye uonevu wa watanzania wanyonge, semeni kitu ndugu zangu najua serikali hii itawasikiatumebaki mayatima hatuna hata mtetezi.
kwanini hamkuwachagua kwenye udiwani na ubunge?
Leo ndio mnaona umuhimu wao?
BADILI TABIA, unajua sisi wana Kigamboni tunaishi kwa presha sanaaa..mara tunahamishwa......mara mji mpya, ..... oooohh msijenge...., Dah.. sijui hata tufanye nini, sasa leo nauli juuu...... alafu mbunge wa CCM... YAANI NDUGU ZANGU HATUJUI HATA Kesho watasema nini.
BADILI TABIA mimi nadhani nauli ingeendelea kuwa sh 100 na kama wangeweza wanafunzi wa vyuo vikuu wavuke bure kwani vipato vyao ni duni
Na hapa ndipo napopata wasiwasi na hisia zako, hebu wewe ndg yangu una uwakika kuwa niliwapigia Magamba kura?hilo la kujenga nakuunga mkono, kigamboni imechelewa na itachelewa,walipaswa kuweka miundombinu na utaratibu wa uendelezaji,ununuzi na upimaji,kigamboni ingekua mbali sana.
Ila si mlimchamgua mbunge wenu kwa kishindo? Amesaidia vipi?
Jamani nataka kuuliza swali..
Hivi Tanzania hakuna utaratibu wa bunge au City vyombo vya wananchi kikatiba kupitisha ongezeko la bei za huduma za Kitaifa?..Kwnai inanipa chachu kubwa sana napojaribu kumeza swala hili maanake mashindwa kuelewa waziri anawezaje kupitisha kupanda kwa nauli jinsi atakavyo baada ya yeye na wizara yake kufikia maamuzi..
Je, makosa ni ya Magufuli kukiuka kanuni au katiba yetu wenyewe ndio inayompa mamlaka haya, maanake maamuzi kama haya hufanywa na shirika binafsi sio wizara ya serikali ama shirika la Umma..Jambo lolote linaloamriwa na waziri wa wizara huku majuu mara zote lazima liwe limepitishwa na bunge..
Alaaa kumbe wabunge ndio walipitisha sheria? sasa nadhani inabidi wakuu zangu tuzame ktk swala hili vizuri sana kuwabana hawa wabunge wenyewe maana naona kila mtu anamlalamikia Magufuli ningependa sana kuwajua wabunge waliounga mkono bungeni kuongezeka kwa nauli za Kigamboni...maana isiwe mchezo wa kinafiki mtupu.si unawajua watanzania ndugu yangu, magufuli yupo sahihi ajavunja sheria yoyote na ndio maana kawajibu wabunge wa dar kuwa ni wao wenyewe wabunge kwa ujumla walipitisha sheria ya kumpa waziri mamlaka ya kuongeza nauli, labda hapo mada zinachanganywa!
Mkuu, unataka Chadema wawaokoe kivipi? Fafanua