Nimejitahidi kusoma katikati ya mistari ya uzi wako lakini sikupata ujumbe uliokusudia kufikisha.it's too short to effect the contract.
Zitto amefanya makubwa mno ndani ya hii saccos. Ndiye aliyeandika write up ya ufadhili wa chama cha cdu cha ujerumani kwa chadema kupewa mabilioni kuanzisha radio,tv na gazeti lakini mbowe akaanzisha freemedia km kampuni binafsi. Zitto akihoji ndo anakuwa msaliti. Hamjui kitu nyie wajinga sana
Nionavyo mimi ni kwamba kama Zitto Zuberi Kabwe hatanyang'anywa uanachama kwa makosa aliyoyafanya na anayoendelea kufanya kwa lengo la kuiangusha CHADEMA basi sioni kama kutakuwa na mwanachama yeyote atakayestahili kufukuzwa.Na ikitokea mwanachama mwingine akafukuzwa atakuwa ameonewa.
'Kumsamehe' Zitto ni kuhatarisha Nafasi ya Mbowe kwenye Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hapo June 2014.
Wachaga na Zittophobia
Nionavyo mimi ni kwamba kama Zitto Zuberi Kabwe hatanyang'anywa uanachama kwa makosa aliyoyafanya na anayoendelea kufanya kwa lengo la kuiangusha CHADEMA basi sioni kama kutakuwa na mwanachama yeyote atakayestahili kufukuzwa.Na ikitokea mwanachama mwingine akafukuzwa atakuwa ameonewa.
If wishes were horse, beggars would ride !.
nini makosa ya zitto kati ya haya?
1.kuhoji matumizi ya ruzuku ya chama?
2.kuhoji kuhusu ukaguzi wa ruzuku?
3.kukataa posho?
4.kutaka kugombea uenyekiti?
5.kuto watonya?
6.kuandaliwa na wakina kitila kuwa kiongozi kama mtei alivyo kuwa ana muandaa arfi?
Jihurumie wewe na familia yakouna maanisha nini? nakuhurumia sana maana hujitambui
Bubu ataka kusema,kwani pia si anaweza samehewa,kama hawamwamini tena kumvua nyadhifa imetosha so hatokuwa na access kwenye siri za chama
yeyote atakayeshika mamlaka atakuwa amepewa na Mungu. hakuna kosa lisilosameheka kwa Mungu lijapokuwa jekundu kama damu. kwa hivo kwa kuwa cdm inaelekea kupata mamlaka kusamehe ni wajibu.
Nadhan Zitto ndio awasamehe chadema.