CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

Mkuu ifweero kwani kikwete aligombea uenyekit wa ccm na nani?au kwa chadema maccm mnakuwa wajuzi sana wa democrasia.
Chama chenu ni chakavu sana,kuhangaika na cdm is never a solution,bora mjitoe kwenye siasa mkajijenge kwanza.
 
Kwa ujauri anaouleta huku ameshaharibu chama na anaendelea kuharibu chama afukuzwe tu, ila kama atakiri makosa yake na kujirekesha afikiriwe kwa upya, ila nadhani zzk hajielewi angekuwa anajielewa angeshajis
 
Nimejitahidi kusoma katikati ya mistari ya uzi wako lakini sikupata ujumbe uliokusudia kufikisha.it's too short to effect the contract.

Nashauri wamsamehe kwani hili ni kosa la kwanza. Chama kifuate nyayo za Marehemu Mzee Mandela kuhusu kusameheana.
 
Zitto amefanya makubwa mno ndani ya hii saccos. Ndiye aliyeandika write up ya ufadhili wa chama cha cdu cha ujerumani kwa chadema kupewa mabilioni kuanzisha radio,tv na gazeti lakini mbowe akaanzisha freemedia km kampuni binafsi. Zitto akihoji ndo anakuwa msaliti. Hamjui kitu nyie wajinga sana

una kiherehere sana mkuu, nafananisha kiherehere chako na mnyama jike akiwa kwenye joto (akihitaji dume) jiangalie usije ukafirimbwa.
 
Nionavyo mimi ni kwamba kama Zitto Zuberi Kabwe hatanyang'anywa uanachama kwa makosa aliyoyafanya na anayoendelea kufanya kwa lengo la kuiangusha CHADEMA basi sioni kama kutakuwa na mwanachama yeyote atakayestahili kufukuzwa.Na ikitokea mwanachama mwingine akafukuzwa atakuwa ameonewa.

Kwani 14 days hazijatimia bado?Teh teh teh chukua kamba kajinyonge kwenye mti wa nyanya.....Hatoki mtu hapa!!!!
 
'Kumsamehe' Zitto ni kuhatarisha Nafasi ya Mbowe kwenye Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hapo June 2014.

labda kama halmashaur kuu ya ccm ndiyo itakuwa inachagua mwenyekit chadema,.! Yaan Tumpe uenyekit mtu aliyechukua advance ya kukiuza chama huo si upunguan..?
 
Nionavyo mimi ni kwamba kama Zitto Zuberi Kabwe hatanyang'anywa uanachama kwa makosa aliyoyafanya na anayoendelea kufanya kwa lengo la kuiangusha CHADEMA basi sioni kama kutakuwa na mwanachama yeyote atakayestahili kufukuzwa.Na ikitokea mwanachama mwingine akafukuzwa atakuwa ameonewa.

Ikija kutoke CDM wakawa na mfumo shindani na wawazi wa chaguzi ndani ya chama, basi utakuwa ni ukombozi na watu kama Babu Slaa, DJ Mbowe na Mtei pamoja na kibaraka wao Lissu watapaswa kuwajibishwa na kuvuliwa uanachama kwa kugeuza CDM kuwa Saccos (Refer:RUZUKU ya chama na PESA ZA SABODO)
 
nini makosa ya zitto kati ya haya?

1.kuhoji matumizi ya ruzuku ya chama?
2.kuhoji kuhusu ukaguzi wa ruzuku?
3.kukataa posho?
4.kutaka kugombea uenyekiti?
5.kuto watonya?
6.kuandaliwa na wakina kitila kuwa kiongozi kama mtei alivyo kuwa ana muandaa arfi?

Nenda kwa Dr Ndodi akupe dose ya ubongo ili baada ya lishe ya mwezi mzima tujaribu kukupa majibu labda utaelewa!pia punguza kula vihepe na sembe.
 
WTF!!!!!!!!

Tumsamehe tuu pamoja na kauwa sidhani kama atakuwa tayari kuomba msamaha, Tumsamehe na tujenge chama kwa upya kwa spidi isiyo ya kawaida.[/QUOTE]
 
Kichafu husafishwa kwanza ndo kitumike upya ikibidi au ikiwezekana. Kuendelea kutumia chombo kichafu bila mchakato wa kukisafisha kwanza ni kuchafua shughuli nzima husika inayoendelea. Kwa mantiki hii Zitto anatakiwa awe nje ya chama kwanza na baada ya kujisafisha ikiwezekana arudi. Kinyume cha hapo ni hatari kwa chama
.
 
yeyote atakayeshika mamlaka atakuwa amepewa na Mungu. hakuna kosa lisilosameheka kwa Mungu lijapokuwa jekundu kama damu. kwa hivo kwa kuwa cdm inaelekea kupata mamlaka kusamehe ni wajibu.
 
Bubu ataka kusema,kwani pia si anaweza samehewa,kama hawamwamini tena kumvua nyadhifa imetosha so hatokuwa na access kwenye siri za chama

Kama wewe inampenda basi hujachelewa kwani yule hana mke!!! Lakini cdm hana fungu tena.
 
yeyote atakayeshika mamlaka atakuwa amepewa na Mungu. hakuna kosa lisilosameheka kwa Mungu lijapokuwa jekundu kama damu. kwa hivo kwa kuwa cdm inaelekea kupata mamlaka kusamehe ni wajibu.

MUNGU hajawahi kusamehe na hawezi kusamehe mtu mwenye kiburi!MUNGU hutoa grace period na kukuonesha makosa yako waziwazi ili ujutie na ikiwezekana ujishushe ukiri kwa kinywa chako kuwa umemkosea na utubu.Huwezi kushupaza shingo halafu usivunjike.MUNGU ameweka kanuni za asili ambazo ukizivunja lazima ukabiliane na matokeo.Ukiutemea mate upepo yatakurudia usoni.Tena kwa wale tunaoamini biblia,kitabu cha Yeremia anasema "amelaaniwa yeye aushikaye upanga kilegevu ili asiue"Katiba ya CDM ni sheria hivyo ni kama upanga.Kutoitekeleza kumwajibisha zitto,kutasababisha laana kwa CDM.Naamini huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wakati wa haraksti za ukombozi wa afrika kusini wasaliti aina ya kina zzk walikiwa wanaitwa "imbhimbhi" hakuna adhabu stahiki waliyokuws wakipewa zaidi ya kuvishwa tairi shingoni na kuchomwa moto mpaka kufa...zito ajipime na kwa mifano hii ya wanaharakati na wskombozi wa kweli atoe maamuzi juu ya aliyofanya na aombe msamaha wa dhati la sivyo anastahili "kifo cha kisiasa" kwani ni "imbhimbhi wa kisiasa"
 
Back
Top Bottom