CHADEMA tafuteni hoja, bwawa kujaa maji ni jambo la kawaida duniani kote

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
385
2,530
1000807701.jpg

Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere.

Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani.

Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya masikini wa katesh imepotelea wapi?
 
Yani hawa CHADEMA wanashangaa hata polisi wetu kupiga watu, Yani bwawa kuvuja maji na kuathiri maisha ya watu Tanzania ni jamabo la kushangaza?

Wenyewe waliopatwa na majanga, wanamshukuru Mamam Samia kuwaletea Janga hilo.

Wamepewa Magodoro mapya juzi, na vyakula lakini wanafukuzwa shuleni waliko jisitiri, halafu CHADEMA wanaona ni big deal sana, au walitaka liwakumbe wao nini?
 
..Tanzania ni nchi ya ajabu.

..mvua zikiadimika mabwawa hayazalishi umeme.

..mvua zikinyesha mabwawa hayazalishi umeme.
Na kwa kuongezea yanatishia uhai wa watu na mali zao maana kuna tabiri nyingi za kupasuka. Sijui wenyeji wanajisikiaje wakiyasikia haya.
 
View attachment 2957063

Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere.

Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani.

Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya masikini wa katesh imepotelea wapi?
Ni wananchi wanataka majibu.Siyo CHADEMA. Kunguni wewe!
 
View attachment 2957063

Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere.

Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani.

Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya masikini wa katesh imepotelea wapi?
Bwawa kujaa maji ni jambo la kawaida, wewe unaleta picha ya bwawa lililopasuka! Uelewa wako ni mdogo, kwa hili sihitaji kujadili.
 
View attachment 2957063

Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere.

Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani.

Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya masikini wa katesh imepotelea wapi?
Hebu tuwekee hapa official statement ya Chadema juu ya haya madai yako. Nyie hata mkishindwa kuwatia mimba wake zenu lazima muitaje Chadema.
 
Yani uzembe bwawa likijaa maji?

Si mlisema halitajaa?

..na CCM si mlikuwa na uhakika bwawa litajaa maji? Sasa kwanini mmesimamisha uzalishaji wa umeme? Tatizo nyinyi ni WAZEMBE ndio maana maji yapo lakini mnashindwa kuzalisha umeme?
 
Rufiji mafuriko hayajaanza mwaka huu trace back miaka ya 1970,1980 na kubwa kuliko 2020 hili la bwawa ni kiki tu

..kama mafuriko yamekuwa yakitokea tangu miaka ya 70, 80, 90, kwanini mpaka leo hamjatoka na mbinu ya kukabiliana au kudhibiti mafuriko? yaani CCM mko tu madarakani lakini hamjifunzi chochote, wala hamjiongezi? yaani mnakiri kwamba nyinyi ni wajinga, na wapumbavu?
 
Back
Top Bottom