ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
- Thread starter
- #21
Kwa uchokozi, nitamuuliza Irene Mark hili swali (yule mwandishi wa freemedia ama tanzania daima la mbowe) pamoja na yule hellen katabazi sijui !
Mzee unajua kitila mkumbo ni mtu makini sana humu ndani i have to acknowledge that na ndio maana naamini kasema kitu cha ukweli na anachokijua kwamba chadema was a docile NGO !
Kitila sio mtu wa kukurupuka anajua anachoongea, maneno hayo angesema Zitto au Mnyika wala nisingejisumbua kuanzisha thread.
Ila hii ni thread ya pili inayomuhusu Kitila moja kwa moja ambayo ameamua kuidiss.
Alipokuwa Rais wa DARUSO hakuwa na tabia ya kudiss mijadala, sijui nini kimemsibu.
Je Kitila ukirudi kugombea tena Ubunge mwaka 2010 utakuwa unakimbia mijadala, ukitaka kuongoza nchi ni lazima uwe tayari kujibu maswali ya wapiga kura.